ulinzi

  1. JamiiForums Tanzania Ulinzi wa TV kutoka na umeme

    Habar zenu wakuu wa humu ndani, Kuna TV nahitaji kununua (maelezo yake yapo katika picha), nakuiunganisha na circuit breaker kwa ajili ya usalama. Je, nichague circuit breaker yenye rating gani(single pole) kwa ajili ya usalama wa TV yangu?
  2. JamiiForums Tanzania Barabara ya Morogoro ina ulinzi hali ya juu. Leo nimetoka Posta mpaka Mbezi tumesimamishwa na trafiki mara 8

    Naomba kutoa pongezi kwa Jeshi la Polisi kwa ukaguzi na usimamiaji mzuri wa barabara zetu mimi leo nipo kwa daladala toka Posta mpaka Mbezi tumesimamishwa karibu sehemu 8 na askari ni wengi safi kabisa hii nimeikubali sana.
  3. JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi Dkt. Stergomena amtembelea Jenerali mstaafu Robert Mboma

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax amemtembelea Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenerali (Mstaafu) Robert Philemon Mboma nyumbani kwake Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam kwa lengo la kumjulia hali. Waziri Stergomena amemtembelea Jenerali Mboma akiwa ni mwendelezo...
  4. JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi, Dkt. Stergomena aongoza ufunguzi wa Maonesho ya Zana, Teknolojia ya Kijeshi

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mheshimiwa Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) ameongoza Ufunguzi wa Maenesho Madogo ya Zana na Teknolojia ya Kijeshi ya India (India Mini Defence Expo). Maonesho hayo yaliandaliwa na Ubalozi wa India nchini Tanzania. Maonesho hayo yamefanyika tarehe 30...
  5. JamiiForums Tanzania Wizi mpya, makufuli yanafunguliwa kwa gesi kimya bila kelele, tununue makufuli yapi?

    Ni kimya kimya tu, kufuli linapigwa moto wa gesi linaachia lenyewe ama kuyeyuka.... Nakumbuka kuna kipindi flani hapo miaka ya 2021 kuna mwizi alikuwa anahisiwa ndiye anaibia sana maduka ya mtaani kwa mbinu hii, alipoona watu wanamhisi ndiye ila hawana ushahidi ikabidi ahame mji, ni maduka kama...
  6. JamiiForums Tanzania Marekani: Twitter yapigwa faini ya tsh. 349,050,000,000 kwa kukiuka Sheria ya Ulinzi wa Taarifa za watumiaji

    Kampuni ya Twitter nchini Marekani mapema wiki hii, imepigwa faini ya Tsh. bilioni 349,050,000,000 sawa na dola Milioni 150 za Marekani, baada ya kudaiwa kutumia kinyume cha sheria taarifa za wateja wa mtandao huo wa kijamii Tume ya Biashara ya Shirikisho (FTC) na Idara ya Haki wanasema kwamba...
  7. JamiiForums Tanzania Trump: Kipaumbele cha Marekani iwe ulinzi wa shule siyo kuisaidia Ukraine

    Marekani imetakiwa kuhakikisha inawezesha kiuchumi suala la ulinzi wa shule za taifa hilo badala ya kutumia fedha nyingi kuisaidia Ukraine katika vita yake dhidi ya Urusi. Ushauri huo umetolewa na Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump baada ya tukio la watoto 19 kuuawa kwa kufyatuliwa risasi...
  8. JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi, Dkt. Stergomena amuwakilisha Rais Samia Siku ya Afrika Uganda

    Mhe.Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) akipokea tuzo aliyozawadiwa Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan na Pan African Women Organization (PAWO) kwa kutambua mchango wake katika Uongozi na maendeleo ya jamii tangu aingie madarakani mwezi March 2021. Waziri wa...
  9. JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi Na JKT, Dkt Stergomena Tax akiwasilisha Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Ulinzi 2022/23 Bungeni

    Hotuba ya Waziri wa Ulinzi na JKT, Dkt. Stergomena Tax wakati akiwasilisha Bajeti ya Wizara yake kwa mwaka wa Fedha 2022/2023 Bungeni, Mei 19, 2022. HOTUBA YA DKT. STERGOMENA LAWRENCE TAX (MB), WAZIRI WA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI KWA MWAKA WA...
  10. JamiiForums Tanzania Frank Morris na wenzake watatu alivyo toroka kwenye gereza lenye ulinzi mkali Alcatraz

    Hapa ni muonekano wa angani wa Kisiwa cha Alcatraz mnamo Januari 1932. Kisiwa hiki kilitumika kama gereza la shirikisho lenye usalama wa hali ya juu kuanzia 1934 hadi 1963. Huu ni muonekano wa ndani ya gereza la Kisiwa cha Alcatraz mwaka wa 1986, ukiangalia kusini kutoka kituo cha ulinzi cha...
  11. JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi Dkt. Stergomena atoa angalizo kwa wananchi wanaovamia maeneo ya Jeshi

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) ametoa wito wananchi kuacha kuvamia maeneo ya jeshi na kuweka makazi kwa kuwa ni hatari kwa usalama kwao na nchi kwa jumla. “Ili Jeshi liweze kutekeleza majukumu yake linahitaji maeneo, na maeneo hayo yanakuwa ni ya...
  12. JamiiForums Tanzania Msaada juu ya maswali ya usaili Tume ya Utumishi wa Mahakama kada ya ulinzi

    Habari wanadau!! Nimechaguliwa kuitwa kwenye usaili tume ya Utumishi wa Mahakama kada ya ulinzi ambapo usaili unafanyika tarehe 17/05/2022,Sijawahi fanya usaili wa Mahakama kada ya ulinzi naomba mnijuze yafuatayo 1. Maswali kutokana na hii kazi 2. Kiwango cha mshahara 3. Nizingatie nini...
  13. JamiiForums Tanzania Wenyeviti wengine sikio la kufa. Wiki imekwisha hata kuitisha vikao vya ulinzi shirikishi wamegoma

    Serikali inafanya kazi yake, watendaji wanatushangaza Sana. Alianza Mh Rais akasema waache. Wakavamia kunduchi. Lahaullah! Mkuu wa mkoa ametangaza jeshi la police likawataka wakuu wa vituo na wananchi washirikiane, Cha ajabu Kuna mitaa imekaa kimya. Kwa mtaa nilipo mie hata wakija Leo...
  14. R

    JamiiForums Tanzania EWURA waongezewe Ulinzi, wanatufumbua macho

    Hatua zinazochukuliwa na EWURA kupandisha bei ya mafuta kila wiki kwa sh. 300 hadi 500 zaweza kuwa ni baraka tusiyoitarajia Hatua kama hizi ziliweza kuleta mabadiliko ya fikra na uongozi katika baadhi ya mataifa, tuwaache waendelee hadi kikombe kijae.. Kuna mambo yanaendelea katika nchi hii...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Kamati ya ulinzi na usalama DSM naomba ipitishe huu utaratibu kwa dharula kuondoa panya road

    Juzi nilihoji humu juu ya sintofahamu kuhusu Sera ya ulinzi shirikishi! Nilisema ulinzi shirikishi mijini kinadhalia inawezekana lakini kivitendo haiwezekani! (Niliainisha sababu ikiwemo upigaji wa michango ya ulinzi na ukubwa wa maeneo) Panya road ni vikundi vinavyoratibiwa na watu kwa...
  16. E

    JamiiForums Tanzania Bonyokwa Dar - Mwenyekiti wetu wa mtaa hataki kuanzisha ulinzi shirikishi wananchi hatuna lu kumfanya

    Tumepiga kelele weee kwa kutizama yanayotukia mitaa mingine ya dar, tukimsihi mwenyekiti kuanzisha ulinzi shirikishi mtaani kwa wasio na mda wa kulinda kuchangia na wasiopenda kuchangia kupangiwa zamu za kulinda wenyewe wala mwenyekiti hana habari. Tunaomba viongozi watusaidie kinga ni bora...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Tujuzane Je, Mbinu gani mnatumia kuwalipa ulinzi shirikishi mtaani kwenu ili kuepuka upigaji?

    Ulinzi shirikishi ni jambo zuri sana! Maeneo ya vijijini limeonyesha kufaulu kwa asilimia kubwa kutokana na watu wake kujitolea au kupangwa kwa zamu! Tatizo kubwa la ulinzi shirikishi mjini una harufu ya upigaji! Kuna wakati huwa nashawishika kuamini huenda PANYA ROAD ni PROJECT? Kwasababu...
  18. JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi, Dkt. Stergomena afungua kikao cha Baraza la Wafanyakazi, wajadili Mwelekeo wa Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2022/23

    Dkt. Faraji Kasidi Mnyepe Katibu Mkuu Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa na Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi akimkaribisha Waziri wa Ulinzi na JKT, Dkt. Stergomena Lawrence Tax ili afungue Kikao cha Baraza la Wafanyakazi kwa njia ya Mtandao (Video Conferencing). Waziri wa Ulinzi na...
  19. JamiiForums Tanzania Bajeti ya wizara ya ulinzi ,Marekani mwaka 2022 ni dola bilion 700 sawa na trilion zaid ya 1400 ,why anamsaidia ukrain trilion 2

    Hapa Ukraine ajiulize mara mbili anasaidiwa au anaangamizwa ,haiingii akilini mtu anakula mboga saba alafu anakupa kipande cha silesi eti kakupenda , Kwa kamsaada hako usitegemee utamshinda Russia kwa hako kamsaada. Yani wmarekani siwaelewi kabisaaa,msaada wa dola million 800 mdogo sana...
  20. JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi, Dkt. Stergomena akutana na wanajeshi wastaafu wa JWTZ

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) amekutana na kuzungumza na Wanajeshi wastaafu kutoka Jimbo la Uchaguzi la Kawe Jijini Dar es Salaam, kwa lengo la kusikiliza changamoto zinazowakabili na kuangalia namna ya kuzitatua. Mkutano huo uliratibiwa na Mbunge...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…