Hi
Nimependa sana hii sinema na sio maigizo, je? Si ni tofauti kati ya sinema na maigizo
Nimeona mgawanyiko huu unaenda kuwapoteza baadhi ya wananchi wengi wa kawaida ambao wachanga kwenye siasa na wasiojua lolote
Tujiandae wakuu wa nchi wakimiliki vyama tofauti na kimoja tawala, na kumuweka...
Makabidhiano ya boti ya kisasa kwa Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi kwa ajili ya kuimarisha shughuli za ulinzi na usalama katika mwambao wa Ziwa Tanganyika, hatua inayolenga kudhibiti vitendo vya uhalifu na kuongeza usalama wa wananchi wanaotegemea ziwa hilo kwa shughuli mbalimbali za kiuchumi...
Wakati kakaake Fidel akiwa Rais ye ndo kidume cha utekaji, utesaji, ufiraji, ubakaji na mauaji
Lakini hizi jinai za damu huwa haziozi. Methali za mavi ya kale hayanuki ni uongo tulikaririshwa shule. Shule zetu zile zilikuwa mbovu, ndo maana tunaagiza viberiti Kenya.
Charge sheet, hati ya...
Ulinzi wa taifa si kulinda mipaka pekee.
Ni pia kulinda misingi inayolifanya taifa libaki taifa.
Taifa hulindwa si kwa bunduki tu, bali pia kwa:
Taasisi imara,sheria zinazoheshimiwa, mahakama huru, bunge lenye uwezo wa kuisimamia serikali, uchaguzi unaoaminika, na wananchi wanaoamini kuwa haki...
KWA: Uongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Viongozi Wote wa Mataifa ya Afrika.
KUHUSU: Vita Mufilisi Dhidi ya Sauti za Wananchi na Kupuuza Bomu Halisi la Kiuchumi na Usalama wa Taifa.
Waheshimiwa Viongozi,
Nawaandikia waraka huu wa wazi kutoa tahadhari ya kimkakati kuhusu mwelekeo wa sasa...
Supapawa wa Dunia akishirikiana na supapawa wa Middle East Israel wakipigana na nchi iliyowekewa vikwazo na kutengwa na Dunia kwa miaka zaidi ya 40 Iran.
Sasa tuangalie bajeti zao za ulinzi kwa mwaka 2025.
Iran
Iran's official military and security budget for the 2024–2025 period was set at...
Aliyekuwa waziri wa ulinzi wa Uganda Jacob Oboth-Oboth ameapishwa kuwa spika wa Bunge la 12 la nchi hiyo.
Oboth aliteuliwa na chama tawala cha NRM, kuwania nafasi ya spika iliyokuwa na wagombea watatu na alipata kura nyingi kati ya kura 519 za wabunge waliopiga kura.
Anachukua nafasi hiyo...
Jana nimemsikia Mnyika akiongea kwenye mkutano wa Hadhara kwa kweli zile kauli si zakuongea mtu ambaye ni mzalendo na anauchungu na amani ya Taifa letu.
Tunaviomba vyombo vyetu vya ulinzi na usalama kufatilia kwa ukaribu sana hizi kauli za uchochezi na vichukue hatua stahiki na Kali ili iwe...
Kama kweli tuna nia ya dhati ya tume kufanya kazi zake, basi tufuate misingi ya haki.
Taasisi ya Rais kuunda tume ya kuchunguza Jinai, ina maana ya Wakuu wote wa taasisi za ulinzi, usalama wanatakiwa kujiuzulu kwa hiyari kabla tume haijaanza kazi. Ni kanuni za Utawala bora wala si hiyari.
Ndio...
Japo tunaelekea huko kwa huu utawala wa tokea kupata uhuru.Leo nchi hii unaogopa watekaji kuliko mungu na kifo.
Maisha ya naijeria ni kama serikali iliyojifia siku nyingi ila maisha yapo yana endelea tu.
Nchi imegawanyika kuanzia kikabira,udini,kitabaka mpaka kimaovu.
Kuna majimbo mengine...
Yerusalemu ni zaidi ya mji. Ni moyo wa Wayahudi, mahali ambapo historia, imani, na utambulisho hukusanyika pamoja katika vizazi vyote.
Leo tunaadhimisha Siku ya Yerusalemu na miaka 59 tangu kuunganishwa tena kwa mji mkuu wa milele wa Israeli. Kuanzia mawe ya kale ya Jiji la Kale hadi sauti...
Mfumo wa ulinzi wa anga wa **Iron-Dome**ya Israeli haina mpinzani!!
Dk. Yuval Steinitz, mwenyekiti wa Rafael Advanced Defense Systems, alisifu mfumo wa Iron-Dome wa Israeli katika hotuba yake kwa mkutano wa mikakati.
"Hakuna teknolojia inayofanana na **Iron-Dome**duniani," alisema Steinitz...
Wamiliki wa makampuni ya ulinzi binafsi wanapaswa kuwasilisha kilio chao kwa njia ya kitaalamu, kisheria na yenye hoja nzito kuhusu umuhimu wa kutungwa kwa sheria maalum ya kusimamia sekta hiyo pamoja na madhara ya kucheleweshwa kwa muswada husika.
Wanapaswa kueleza kuwa kucheleweshwa kwa...
Imenibidi niulize tena swali hili, ambalo watu wengi wameamini tu kwa kusikia/kuambiwa kwamba ni "vyombo vya dola" vinahusika na mauaji hayo.
Hivi vyombo vinavyojulikana ni polisi, Jeshi, au hata TISS?
Kuna ushahidi wowote unaoonyesha uhusika wa polisi au jeshi katika mauaji hayo?
Picha zote...
Ukimuita tu dada mwenye makebo makubwa uanshangaa yeye lazima aje wa kwanza utafikir umemuita yeye, kila sehemu unakuta anamshika mkkono ila tu auze nae sura na kumpa ushauri wa kila mwanaume anaemtaka. Looh!
Yeye ndio haji manara wake, yanj muda mwingine unajikuta unakosa fursa ya kutafuna...
Rais wa Tunisia, Kais Saied, amemfuta kazi Waziri wa Nishati, Fatma Thabet, leoJumanne ya Aprili 28, 2026. Hatua hii imekuja huku kukiwa na mzozo mkubwa kuhusu miradi ya nishati mbadala inayotarajiwa kupigiwa kura bungeni.
Rais Saied amemteua Waziri wa Nyumba na Miundombinu, Salah Eddine...
Balozi Luteni Jenerali Paul Mella akizungumza wakati Tume ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 ikizungumza na Waanadishi wa Habari, amesema tukio la Oktoba 29 limetoa funzo kubwa kwa vyombo vya Ulinzi na Usalama na kwamba vitakuwa...
Haijalishi nani mhusika au nani mwenye makosa; kitendo cha viongozi wa juu wa serikali pamoja na vyombo vya ulinzi na usalama kushindwa kujiuzulu kufuatia vifo vya Watanzania zaidi ya 500 kinaweka mfano hatari sana kwa siku zijazo linapokuja suala la uwajibikaji katika kulinda uhai wa raia.
Ukisikiliza simulizi za watoto wanaoishi katika mazingira magumu Shinyanga unaweza kujiuliza Serikali iko wapi na inafanya nini kulinda ustawi wao kisheria, kanuni na miongozo mingi mizuri iliyopo kwa ajili yao.
Utafiti uliofanywa na NIPASHE kwa miezi mitatu umebaini sio ongezeko tu la watoto...