ulinzi na usalama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Joseph Butiku: Vyombo vya Ulinzi na Usalama visijifanye havijui mambo yanayoendelea nchini

    TAARIFA YA TAASISI YA MWALIMU NYERERE KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU TABIA MBAYA ZINAZOHATARISHA USALAMA WA MAISHA YA WATANZANIA NA MALI ZAO Ndugu wanahabari nimewaiteni hapa, kuwaombeni kwanza; muisaidie Taasisi ya Mwalimu Nyerere kuwataarifu Watanzania wote na kuwaomba sisi sote tushirikiane...
  2. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya Ulinzi na Usalama duniani hutumia nguvu kiasi kudhibiti fujo na kupambana na uhalifu kulingana na pingamizi, kiburi na ukaidi wa wahalifu

    Kwa kawaida, kazi ya mwanzo na muhimu sana ya vyombo vya ulinzi na usalama ni kulinda amani na utulivu wa watu, mali na makazi yao, bila kutumia nguvu. Vyombo vya ulinzi na usalama duniani kote, mara nyingi hufikia hatua ya matumizi ya nguvu kiasi, matumizi ya silaha nyepesi na nzito baada ya...
  3. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Naibu Kamishna Polisi (DCP): Wananchi Tanzania wanalifurahia jeshi lao la polisi

    "Tanzania ni miongoni mwa nchi chache katika nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ambazo, askari na wananchi wana mahusiano mazuri kuliko nchi nyingine katika jumuiya hii, na wananchi wanalifurahia jeshi lao kwa namna linavyolinda maisha yao na mali zao". Naibu Kamishna wa Polisi (DCP)...
  4. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya ulinzi na usalama barabarani , lichunguzeni haraka sana suala hili na kama ni kweli basi mfanye ufumbuzi ili kunusuru Maisha ya Watanzania

    Naandika kama mzalendo na mwenye upendo wa dhati na taifa langu Tanzania. kuna mazunumzo niliyasikia yanayohusu Teknolojia kutoka kwa watu nisiowafahamu maana nilikutana nao stendi ya basi wote tukiwa kama wasafiri tu wao walikua wawili walikua wakipiga story za hapa na pale kutokana na...
  5. WAPEKEE_

    JamiiForums Tanzania SoC04 Ulinzi shirikishi iwe taasisi rasmi ya kijamii kwa ustawi wa ulinzi na usalama kwa jamii

    UTANGULIZI Ili taifa lolote liendelee, suala la Ulinzi na Usalama ni moja ya jambo nyeti na muhimu sana , kwani limebeba dhana ya kimaendeleo kwa kuwalinda wananchi na mali zao pamoja na kudumisha Amani na utulivu katika jamii. Jukumu hili ni la Jeshi la polisi ndio hasa chombo kinachowajibika...
  6. Superbug

    JamiiForums Tanzania KERO Same Mjini wizi wa TV umekithiri, mwezi mmoja zimeibiwa TV zaidi ya 30?

    Mji wa Same ni mdogo sana ila inashangaza ndani ya wiki tatu zilizopita zimeibiwa TV nyingi sana, je, zinakwenda wapi? Au zinauzwa wapi? Maeneo ya Sterling na Stesheni kwa mfano zimeibiwa TV nne kwa siku moja, hii sio kawaida. Polisi hebu fuatilieni zinakopelekwa? Au kama hazijatoka Same...
  7. Kong xin cai

    JamiiForums Tanzania SoC04 Sekta ya ulinzi na usalama Kwa upande wa Polisi wanapuuzia kigezo cha elimu wakati wa udahili

    Tanzania Tuitakayo inahitaji ulinzi imara ili kuimarisha usalama WA wananchi na mali zao. Kwa sasa kumekuwa na uhitaji wa mkubwa wa Polisi Jamii kwenye kata mbali nchini, Hali hii inatupa taswira sio tu ongezeko la watu lakini hata ongezeko la uharifu. Kwa kipindi Cha miongo kadhaa hapo nyuma...
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mohammed Issa: Rais Samia anabaguliwa kwa Uzanzibar wake

    Mbunge Khalifa Mohammed Issa (ACT) kutoka Jimbo la Mtambwe, Zanzibar amesema Rais Samia anabaguliwa kwa Uzanzibar wake. Amebainisha kuwa wanzanzibari hubaguliwa kwa uzanzibari wake na kauli zingine husema Rais Samia anatawala nchi isiyo yake, amekopeshwa kutoka Zanzibari aje kuwa Rais wa Jamhuri...
  9. Alubati

    JamiiForums Tanzania SoC04 Majeshi ya Ulinzi na Usalama yaunde Sera na Mkakati maalumu wa ajira kwa jamii ya watu wenye ulemavu

    Ulemavu ni hali ya mtu kuwa na upungufu kimwili ambao hufanya iwe vigumu kufanya shughuli kulingana na mazingira yanayomzunguka. Kuna aina nyingi za ulemavu kama usikivu hafifu, ulemavu wa viungo vya nje ya mwili kama kama miguu, ulemavu wa ngozi,ulemavu wa kutoweka kutamka maneno, kushindwa...
  10. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama yatembelea maghala ya jeshi na chuo cha taifa cha ulinzi

    KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA MAMBO YA NJE, ULINZI NA USALAMA YATEMBELEA MAGHALA YA JESHI NA CHUO CHA TAIFA CHA ULINZI NA KUFURAHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MIRADI HIYO Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Dkt. Stergomena Tax, machi 16, 2024 ameshiriki katika ziara ya kikazi ya Kamati ya...
  11. Ghost MVP

    JamiiForums Tanzania KERO Ving'ora na Plate Number zisizo rasmi vimekuwa kero Mitaani

    Hizi namba za 3D imekuwa Ghafla sana kung'olewa, na Jeshi la polisi limesimama imara katika Hili, Ombi langu kwa Jeshi la Polisi ni hili:- Namba za Ajabu Mtaani huku kuna namba nyingi ambazo sio rasmi, Nyeusi, Nyeupe na Njano hapo nyuma mlitoaga tamko lakini hizi namba bado zipo na hatujui...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina apiga kura kukataa azimio la Bunge la kufuta kigezo cha JKT kuajiriwa kwenye Majeshi ya Ulinzi na Usalama

    Bunge limepitisha azimio la kuondoa kigezo cha kupitia mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) pamoja na Jeshi la Kujenga Uchumi (JKU) kwa vijana wanaoomba nafasi za ajira katika vyombo vya ulinzi na usalama huku Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina akipiga kura ya hapana kutounga mkono azimio hilo...
  13. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hivi CCM huwapa nini Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama na kupelekea wao kukaa kimya hata pasipobidi?

    Hilo ndilo swali huwa najiuliza siku zote. Wazi huwa yapo mambo mengi ambayo kwa macho ya kawaida kabisa, huhitaji Vyombo vya Dola viikemee Serikali inayoongozwa na CCM kwa kuhatarisha usalama wa Taifa. Ajabu wala hawajishughulishi! Mbaya zaidi, CCM hutumia sababu ya machafuko kama silaha ya...
  14. Msanii

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa ulinzi na usalama tutafsirieni kauli hii ya IGP. Je, ameelekeza polisi ama kuwarai?

    Video imejaa na kusheheni taarifa muhimu ambazo raia tunapaswa kufahamu kuhusu utendaji wa polisi, itazame hadi mwisho.... NImekosa mlinganisho wa vifungu vya sheria kwa kauli ya IGP. Neno reasonable force inatafsiriwaje kisheria? Je, polisi anapomkamata mtuhumiwa ambaye hana silaha na...
  15. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Kuuliza si ujinga, Tanzania tuna Amiri Jeshi wakuu wangapi? Je Chalamira ana mamlaka Kwa Majeshi ya ulinzi na usalama?

    Kuna haja ya CDF kutoka hadharani na kukataa kudharauliwa kiasi hiki kwamba Leo hii mkuu wa mkoa anaweza kumuamuru CDF? hii mliwahi kuona wapi? Jeshi la Misri linajitambuwa, lilikataa Amri kutoka Kwa Amiri Jeshi wao Hosni Mubarak na kusimama na wananchi, leo Tanzania anatoka Mlevi mmoja wa...
  16. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha vyombo vya ulinzi na usalama Tanzania vimegeuka kuwa ngao ya mafisadi

    Naomba nyie masoja niwaulize maswali kidogo 1. Nyie Sukari mnanunua wapi au mnapewa bure na Samia? 2. Petrol na diesel mnajazaga bure magali yetu.? 3. Nyama mnapewa bure? 4. Vipi mchele na maharage bado nyie mnanunua Kwa 1600.? 5. Vipi mkisafiri kwenda kwenu kagera nauli ni sh 40000.? 6...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Sagini aagiza Miradi ya Vyombo vya Ulinzi na Usalama Mkoani Geita kukamilika kwa wakati

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Jumanne Sagini (Mb) amewataka Viongozi wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama pamoja na wakandarasi wanaosimamia miradi ya ujenzi Mkoani Geita kukamilisha Ujenzi wa Miradi yote kwa wakati na kuzingatia ubora. Mhe. Sagini ametoa maagizo hayo Novemba 25, 2023...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Bunge Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama yatembelea Kiwanda cha Maji Mgulani kuona mitambo mipya

    Mwenyekiti Kamati ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, Victor Kawawa amesema wameridhishwa na jinsi SUMA JKT walivyotekeleza maelekezo yao kwa kukifanya kiwanda cha maji ya Uhuru kuongeza kasi ya uzalishaji. Ameyasema hayo kwa niaba ya wajumbe wa Kamati hiyo wakati wa ziara kwenye kiwanda hicho...
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Kudumu ya Bunge Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama (NUU) yakagua ujenzi wa Makazi ya Askari Zimamoto - Dodoma

    Kamati ya Kudumu ya Bunge Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama ikiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe. Vincent Mbogo (Mb) imefanya ziara na kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba za makazi ya Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji unaoendelea katika eneo la Kikombo Jijini Dodoma Novemba...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Ulinzi na usalama wilaya na Mkoa ina mamlaka ya kisheria kugawa ardhi?

    Je, sheria ya ardhi kuna Sehemu inamtaka mkuu wa Mkoa au Wilaya na kamati zao za ulinzi na usalama wana mamlaka yakumilikisha watu ardhi? Je, kuna mjumbe wa kamati hizi ambaye ni mtaalam wa ardhi? Je, sheria inatamka kwamba migogoro ya ardhi itatatuliwa na hizo kamati za ulinzi na usalama au...
Back
Top Bottom