Wakuu huyu mama ni Katili sana haijapata Kutokea !!.
Kumbe Baadhi ya Viongozi wa Kimasai Eneo la Ngorongoro, walikamatwa Kwa Nyakati tofauti tofauti majira ya Usiku, na Kusafirishwa kimya kimya mpaka Gereza la Kisongo Arusha ambapo walikaa Jela hiyo Kwa miezi zaidi ya Sita.
Yaani ni...
gerezani
hatua
kimyakimya
kuhamishwa
mbele
mpaka
ndugu
sababu
samia
sana
serikali
serikali ya samia
serikalini
ulinziulinzinausalamausalama
ushindi
viongozi
vyombo
vyombo vya ulinzi
wazalendo
wote
zao
Kuna mwana mama mmoja alikuwa anatapeli watu viwanja na mali zao, yani anaweza uza swiming pool yako kwa mwarabu bila kukushirikisha, anaweza uza mashamba yako ya miti na mifugo bila kukushirikisha na humwambii kitu, ukiongea tu unapotea mazima.
Hatimaye amedhibitiwa. Asanteni sana vyombo vya...
Majira ya saa tano usiku wa jana walivamia kwa dadaake na Polepole kwa kile kinachosemwa kusaka taarifa! Uhalisia ni kwamba "walipangwa" wakapangika wakaingizwa cha city kwamba muhuni yuko nchini
Nina hakika walishakagua entries zote na kujiridhisha kwamba muhuni hajazitumia.. Ila kwakuwa...
Habari za leo wapendwa, Katika muendelezo wa ziara za mh.Rais katika kanda ya ziwa ,mengi yanatokea,na mengi yataendelea kutokea.
Hii inashaabiana moja kwa moja na kauli ya wahenga inayosema "kwenye wengi kuna mengi"
Binafsi sishangazwi sana na mijadala mbalimbali inayoendelea kwenye mitandao...
Oya wadau Hivi protocal haiuhisiani na malipo ya hivi vyombo?
Kwa mfano,Katika vyombo vyote vya ulinzi JWTZ,POLICE,MAGEREZA,TISS,UHAMIAJI,ZIMAMOTO hapo chombo mama(senior force) ni JWTZ then vinafwata POLICE nk kama nilivyoviainisha hapo navovitaja.Mkuu wa JWTZ ndiye mwenyekiti wa ulinzi na...
Hii ni observation yangu.
Baada ya Utandawazi kubomoa mfumo huu muhimu wa jamii yetu kwa kisingizio cha uasherati na ukeketaji sasa ndio tunaanza kuona matokeo yake halisi.
Vijana balehe wanaingia ukubwani bila kupata dose muhimu ya mabadikiko ya kimaumbile,jinsi ya kuishi na mwenza ,jinsi ya...
Asalam aleykum!,
Kwa uoni wangu hafifu, ningeliomba waandamizi na kamati zote za kiusalama, kuyajadili madhaifu yote yanayolalamikiwa na hatimaye kuja na suluhisho moja, namna jinsi watakavyojipanga kuhakikisha madhaifu yote, yanashughulikiwa kwa ukaribu pamoja na ulinzi kuimarishwa zaidi, huku...
Yapo matukio kadhaa ya kisiasa yaliyotokea na yanayoendelea kutokea nchini mwetu nyuma yake kukiwa na factor moja muhimu yaani #Kenya#
hii trend sio ya bahati mbaya kama unachambua mambo kwa kina.
mfano:
1-Lissu baada ya kupigwa risasi alienda kitibiwa Kenya.
2-lema alitorokea kupitia Kenyana...
Piga 0746373222 Kwa mahitaji ya vitasa janja (smart lock) yani vitasa ambavyo unaweza kufungua kwa funguo za kawaida na pia ukitaka unafungua kwa password au fingerprint au app ya simu au card.
Vipo vitasa kwa ajili ya milango ya mbao,milango ya alminium,milango ya vioo na pia milango ya...
Ndugu zangu Watanzania,
Napenda kuwaambieni ya Kuwa Taifa letu na Nchi yetu chini ya Nahodha wetu Maridadi na Hodari Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru...
DUNIA sasa iko kasi, nchi kama Rwanda inawaza kujitanua kiuchumi na kijiografia, Wazungu watu wenye akili wanawaza kujiimarisha kiuchumi kwa kupata rasilimali toka mataifa mbalimbali, nchi za Asia nazo wanawaza namna ya kuvuna rasilimali toka kwenye mataifa ya wajinga.
Sisi Tanzania mpaka sasa...
RC Chalamila akipiga marufuku mikutano ya kisiasa eneo la Kariakoo pasipokuwa na mamlaka ya kisheria kufanya hivyo
Uovu binafsi hutendwa na mtu mmoja mmoja kutokana na maamuzi ya mtu mmoja huyo.
Lakini, uovu wa kimfumo hutendwa na watumishi wa taasisi kutokana na maamuzi ya vikao vya ndani ya...
“Nani anaharibu amani, anayetumia nguvu uchaguzi uende anavyotaka yeye au anayesema turudi mezani mfumo wa sasa hautupi viongozi wanaopatikana kwa HAKI na KWELI?..Waliokamatwa kwa kudai HAKI wakiwepo viongozi wa vyama vya siasa waachiwe haraka bila Masharti” Askofu Pisa, Rais TEC
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Dkt. Dorothy Gwajima amesema serikali za mitaa ni kitovu cha utekelezaji wa mikakati ya ulinzi na usalama wa mtoto iwapo jamii itatoa taarifa kwa wakati kuhusu changamoto za kifamilia ambazo ni tishio kwa ustawi wa watoto Ili wataalamu wa ustawi wa jamii kwenye...
Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amesisitiza umuhimu wa mabadiliko ya sheria za uchaguzi, akieleza kuwa haiwezekani uchaguzi kuwa huru na wa haki chini ya mfumo wa sasa.
Akizungumza Jumamosi, Machi 29, 2025, Lindi Mjini mkoani Lindi, Zitto amesema kuwa ACT Wazalendo...
Salaam
Wakuu wa Mikoa na Wilaya ndio Wenyeviti wa Kamati za Ulinzi na Usalama.
Ila kila siku naona wanahudhuria Vikao na Mikutano ya Kisiasa ya Chama cha Mapinduzi lakini si vyama vya Upinzani.
Kwanini vyama vya Upinzani havishirikishwi kwenye vikao vya Ulinzi na Usalama wa Nchini?
Je...
Kwa wataalam wa masuala ya Ulinzi na Usalama aibu waliyoipata SADC baada ya Mission yao kufeli nchini Congo DRC, sio jambo lililotokea kwa bahati mbaya.
Baada ya kuingia siasa za ushindani kusini mwa Bara la Afrika, Vyama vinavyofahamika kama vyama vya ukombozi ambavyo vingi vinatawala nchi za...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC-Organ) Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC kwa njia ya Mtandao pamoja na viongozi...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mheshimiwa Dkt. Stergomena Tax (Mb), tarehe 05 Machi, 2025, ameshiriki kikao cha Dharura cha Mawaziri wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kilichofanyika kwa njia ya mtandao kujadili hali ya usalama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.