ulimwenguni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Crocodiletooth

    Naomba kujuzwa, Kwanini nchi za magharibi zimekomalia suala la kueneza ushoga ulimwenguni

    Je nini kipo nyuma ya pazia, lengo na dhamira yao ni nini? Deep intelligence yao ni ipi? Juu ya suala hili ovu kabisa kuliko chochote kile hapa ulimwenguni. Wajuzi na waona mbali karibuni tuchambue ni kipi kipo nyuma ya pazia kwa wamagharibi hawa, and there deep secret may be hided over this...
  2. Zainab j

    Quran na idadi ya watu ulimwenguni

    Nimepitia Quran tafsiri, nimeshangaa Muhammad karne ya tano huko amewezaje kujua kuhusu wanawake kuwa wengi ulimwenguni kuliko wanaume " بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَٰنِ الرَّحِيمِ يَا أَيُّهَا النَّاسُ اتَّقُوا رَبَّكُمُ الَّذِي خَلَقَكُمْ مِنْ نَفْسٍ وَاحِدَةٍ وَخَلَقَ مِنْهَا زَوْجَهَا وَبَثَّ...
  3. Superbug

    Wasiojua Cheo cha Urais ulimwenguni someni hapa

    1. Ana ruhusa ya kuidhinisha vita (maelfu ya watu wafe). 2. Ana ruhusa ya kuua RASMI kila baada ya muda fulani. 3. Ana ruhusa ya kulindwa maisha yake yote (hubadilika kikatiba kutegemeana na nchi) 4. Ana bastola maalumu isiyo na utambulisho wa ganda ikitokea amekuua hana kesi. 5. Anamzidi...
  4. Swahili AI

    Rekodi 4 za kampuni ya simu ya Nokia kuwahi kuwekwa ulimwenguni.

    1. Nyimbo zinazosikilizwa zaidi ulimwenguni Nokia Tune. Nyimbo ya Nokia ilitungwa na mtunzi Gran Vals, na mtunzi wa Kihispania Francisco Tárrega. Anssi Vanjoki, pamoja na Lauri Kivinen, walichagua kipande hicho maarufu kilichowekwa kwenye simu za Nokia mwaka 1993. Mlio huo maarufu wa kuita...
  5. mtwa mkulu

    Bruce Lee - Mtu wa kustaajabisha zaidi Ulimwenguni

    Bruce lee Alikuwa mwana kareti wa kichina na Muigizaji mashuhuri wa Filamu. Aliweza kufanya mambo yasiyo ya kawaida ya kustaajabisha . Alikuwa na Uzani wa pondi 350 kipimo cha uzani wa mapigo. Aliweza kupiga push up 1500 kwa mikono miwili. Aliweza kupiga push up 400 kwa mkono mmoja, Alikuwa...
  6. L

    Mmea mkubwa zaidi ulimwenguni wagunduliwa pwani ya Australia

    Wanasayansi wamegundua mmea mkubwa zaidi duniani katika pwani ya Magharibi ya Australia. Mmea huo una miaka zaidi ya 4,500 na ukubwa wake unakisiwa kuwa ni kilomita 180.
  7. ward41

    Kwa siku kila mwanadamu anatumia bidhaa ya Marekani

    Kama sio Airbus, utatumia Coca-cola au Pepsi, utakwepa huko utakamatwa Kwenye Colgate. Haya utakimbia iphone lakini utabanwa Kwenye fb, insta, Whatsapp. Kama uko kijijini, una kitorch Cha mchina utapiga tu cm na network na ya beberu. tasema Mimi ctumii cm lakini utavaa mtumba wa mu America...
  8. JanguKamaJangu

    UNICEF: Mataifa tajiri yahatarisha maisha ya watoto ulimwenguni

    Shirika la Kuwahudumia Watoto la Umoja wa Mataifa (UNICEF) limedai kuwa mataifa tajiri Duniani yanahatarisha maisha ya watoto kutokana na uzalishaji mkubwa wa gesi za sumu zinazoathiri afya zao. Kituo cha Utafiti cha UNICEF kimetafiti mataifa 39 ya Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiuchumi na...
  9. ward41

    Kwanini USA na EUROPE wamelitawala sana anga la ndege za abiria ulimwenguni?

    Mashirika mengi ya usafiri wa anga ulimwenguni yanatumia sana ndege zinazotengenezwa na either Boeing ya Marekani au Airbus ya Europe. Ni kwanini? Ina maana nchi nyingine kama china, Russia, south Korea wameshindwa kuunda haya madude? Hata mashirika yaliyoko china ndege zao ni either Boeing au...
  10. To yeye

    Kwa haya yanayotokea ulimwenguni, tuombe au kusema nini mbele ya Mungu?

    Vita vya mtoto na mzazi, ndugu kwa ndugu, jirani kwa jirani, nchi kwa nchi na dunia kwa ujumla ni dalili mbaya iletayo hofu kubwa. Sisi kwa sisi hatupendani kabisa, kila MTU anajua, anajitutumua, twaumizana kwa makusudi, yaani wale walioumbiwa upole wa moyo na matendo ndio wanazidi kuonewa...
  11. S

    Korea Kaskazini yatamba kuwa miongoni mwa nchi chache ulimwenguni zenye uwezo wa kuitisha na kuiogofya Marekani

    Korea Kaskazini imetamba ktk jumanne ya wiki hii kuwa nchi hiyo ni moja ya nchi chache duniani zenye silaha za nyuklia na makombora yenye ubora wa hali ya juu. Ikaendelea kutamba kuwa nchi hiyo (Korea Kaskazini) ndio nchi pekee yaweza kuidindia Marekani kwa 'kuitikisa dunia' kupitia majaribio...
  12. Narumu newz

    Ujuzi wa kutawala, muda(time) ndio kitu chenye thamani kuliko vitu vyote ulimwenguni

    Wakuu kwanza heri ya mwaka2022,nimekua nikifuatilia elimu mbalimbali kuhusiana mda ,kiukweli mda ndio kila kitu kwenye maisha ya kila kiumbe ,ila kama huna ujuzi wa kuutawala mda ,wewe si lolote,utaishia kufeli kila siku,ni hivi fikiria kama ungekua unajua mda wako wa kufa,au mda ambao mvua...
  13. beth

    WHO: Idadi ya wavutaji sigara yapungua ulimwenguni

    Shirika la afya duniani WHO, limesema idadi ya wavutaji sigara duniani imepungua kwa kasi katika miaka ya hivi karibuni. WHO imezitaka nchi kuongeza hatua zaidi za udhibiti wa kukomesha uraibu wa Tumbaku. Katika ripoti iliyotolewa leo, WHO inasema kwa mwaka 2020 watu bilioni 1.30 walikuwa...
  14. C

    Hii ndo mechi inayoshikilia record ya kuingiza mashabiki wengi kwenye historia ya mpira wa miguu ulimwenguni

    Rejea kichwa cha Habari hapo juu Ni mechi ya kirafiki iliyochezwa tarehe 2/8/2014 mjini Michigan kwenye dimba la Ann Arbor Stadium, Nchini Marekani, ilihudhuriwa na watazamaji 109,318 na kuweka historia ya aina yake kwenye ulimwengu wa kandanda kwa vilabu. Mechi hiyo ya kirafiki Manchester...
  15. BabaMorgan

    Kuna uwezekano Wananchi wa Tanzania kuwa vinara wa unafiki ulimwenguni?

    Unafiki. Ni hali ya mtu kutenda au kuongea maneno tofauti na yale anayowaza akilini. Kama vile kusema jambo fulani ni zuri ilihali nafsini mwake anajua ni baya. Nchi hii wanaweza kusema wanakuchukia na kukutukana kila kona kumbe ukweli ni kuwa wanakupenda sana ila wanaona aibu kuonyesha hisia...
Back
Top Bottom