"UINUKE NA UIANGAZE DUNIA"
_ Salamu zikufikie ww mpambanaji usiechoka kutafuta
Leo sina mengi sana ila naomba wataalam mniekeze jambo hapa
MEDITATION
_ Natamani kujua inafanyaje kazi na taratibu zipi zakufata-
- Faida na madhara yake
_ Muda gani wakufanya
_ Sehemu gani itakua ni nzuri zaidi...