ulimwengu

Thomas Emanuel Ulimwengu (born 14 June 1993) is a Tanzanian football striker who is currently playing as a forward for TP Mazembe and the Tanzania national football team.

View More On Wikipedia.org
  1. C

    Logic ya kawaida vs nature, ukielewa hichi kitu kimoja tu utakua umeelewa kilakitu katika ulimwengu

    Logic ya kawaida: nikihifadhi kitu nimesecure ni changu nikiendelea kufanya hivi zinaongezeka natajirika. Nature: ili kitu kiendelee kuongezeka lazima kitoe kitu chake kwanza mfano: mti lazima utoe kimvuli, muonekano mzuri, au matunda, kisha utaruhusuwa kuzaliana na kustawi - ukiwa na mazao...
  2. Dogoli kinyamkela

    Amsha Ulimwengu wako 🪐 Nyota yako ndio inakupa nguvu. Jiulize, ni uhalisia gani unaochanua ndani yako?

    Maisha ni nguvu na mwenye nguvu ndio anakuwa mtawala na mtawala ndio anakuwa na mamlaka . Sio kwamba watu awakuoni Wala awakuheshimu Bali kuna kitu ndani Yako ambacho Bado ujakiamsha kimelala na kadiri kinavyo lala heshima Yako pia inapungua kidogo kidogo . Heshima sio kitu kinacho tafutwa ni...
  3. Roving Journalist

    Ronald Lamola: Siasa za Ulimwengu zinaathiri nchi za SADC

    Hali ya sasa ya siasa za ulimwengu na vita zinazoendelea Mashariki ya kati, imesababisha madhara makubwa ulimwenguni ikiwemo kwa nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), na huo ni ujumbe tosha kwa nchi zetu kuchukua hatua Madhubuti za pamoja kujinasua. Kauli hiyo imetolewa na...
  4. Beira Boy

    Tuendelee kuuombea amani ulimwengu hasa wakristo na mashariki ya kati

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Dunia kwa sasa si mahala salama kwa kuishi wakristo hili kila mtu anajuwa , basi tuwaombee sana wakristo wote hasa wa Nigeria, Lebanon, iran, mali, bukinafaso, na kwingine kote wanakowindwa na magaid ya kiislamu Lakini pia tuwaombee watu...
  5. Q

    Donald Trump: Ndani ya Siku 7 Ulimwengu unakwenda kushuhudia tukio ambalo halitasahaulika

    COUNTDOWN: 7 Days until the World will witness an unforgettable, behind-the-scenes, look at one of the most important events of our time. -US President, Donald Trump. Daily Iran News. BREAKING NEWS The US Carrier USS Abraham Lincoln has entered strike range of Iran amid escalating tensions...
  6. M

    Kwa kauli ya Rais Samia aliyoitoa mbele ya Mabalozi imeonyesha alikusudia kabisa kilichotokea Oktoba 29

    Nimeshangaa sana mimi kama Mwalimu. Rais Samia pia alikiri changamoto zilizotokea kutokana na vurugu na ukosefu wa utulivu siku ya uchaguzi na muda mfupi baada yake, akisema: “Licha ya mafanikio haya makubwa, kwa masikitiko tunatambua changamoto zilizotokea kutokana na vurugu na ukosefu wa...
  7. a sinner saved by Christ

    Elimu ya Ulimwengu

    Mit 14:12 Iko njia ionekanayo kuwa sawa machoni pa mtu, Lakini mwisho wake ni njia za mauti. Mithali 21:2 Njia zote za mwanadamu huonekana sawa by kwake, bali BWANA huupima moyo. 1 Wakorintho 1:25 Maana kinachoonekana kuwa ni upumbavu wa Mungu, kina busara kuliko hekima ya binadamu; na...
  8. ELI COHEN

    Wale rafiki zangu ambao wapo confused hawajui uhalisia wa dunia, ukweli ni kuwa ulimwengu ni uwanja wa fujo

    Growing up, nilitambua dunia inamtaka mtu alie honest, mnyenyekevu na mchapakazi HAPANA SIKUWA SAHIHI, dunia inataka mtu alie mchapapakazi, ruthless na aggressive. Kwa wale wa asante mkapa Ruthless= hali ya kutokuwa na huruma na aibu za bure bure Aggressive= yani pitia au tafuta fursa kama...
  9. canular

    Katika ulimwengu wa kiakili (wa kiroho wa juu)

    Jina la Mungu lenye herufi nane. Eloha Vadaath אלוה ודעת Jehovah Vedaath, יהוה ודעת Katika lugha ya asili. Malipo manane ya wenye heri.Ambao ni Wananchi wa Tanganyika Urithi. Kutokuharibika. Nguvu. Ushindi. Kuona uso wa Mungu. Neema. Ufalme. Furaha. Katika ulimwengu wa kiakili (wa kiroho wa...
  10. Smartkahn

    Kitakachokwenda kutokea mwaka 2026 Huu ni Ufunuo kwa Ulimwengu

    Heri ya mwaka mpya wakuu... kwani mwaka huu (2026) hasa miezi mitatu ya mwanzo wa huu mwaka una Heri nyingi kwa wenye haki. a). Ufunuo Huu ni mbaya kwa makundi yote yenye nguvu duniani aidha yawe ni Taasisi Vitengo, Kampuni ama serikali yeyote inayojihusisha na vitendo hivi au kati ya hivi; 1...
  11. ELI COHEN

    Generali Ulimwengu: "Kama hupati take home ya 6m au 7m na ukataka kuendesha gari lako dsm, kuna mawili, labda we ni mwizi ama mtumwa"

    Hii code ya mtumwa amemaanishi nini?
  12. Surya

    Ulimwengu wa Roho ni nini ?

    Ulimwengu wa Roho (spiritual realm/world) Watu wengi wakisikia neno ulimwengu wa roho wanachanganyikiwa kiasi kwamba wanaamua kukataa na kupinga hayo mambo niyakusadikika hayapo,, Sasa njoo nikupe a b c ujue nini kinaelezwa, ni elimu si watu wengi wanaijua ukweli wake na hapo ndipo tofauti...
  13. S

    Natafuta kazi za kwenye idara ya procurement, lakini pia nina ujuzi kwenye ulimwengu wa social media na naongea kiingereza vizuri

    Habari wakuu Nimekuja kwenu kuomba yeyote mwenye kazi au connection ya kazi anisaidie. Sifa zangu Jinsia: Me Umri: 28 Eneo: Dar es salaam Elimu: Bachelor’s Degree in Procurement and Logistics Management Naonngea kiingereza vizuri sana Kazi ninazoweza kufanya kutokana na taaluma yangu ni idara...
  14. B

    Huyu hapa Cyrus Shakhalaga Khwa Jirongo, aliyemtambulisha Rais Ruto kwenye ulimwengu wa siasa hadi ajali kukatisha uhai wake

    Jana Desemba 13,2025 Taifa la Kenya liliingia kwenye majonzi baada ya kumpoteza mwanasiasa mashuhuru na mfanyabiashara, Cyrus Jirongo maarufu CJ kwa ajali ya gari akiwa na miaka 64. Jirongo alifikwa na mauti kufuatia ajali iliyohusisha gari yake aliyokuwa akiendesha mwenyewe Mercedes-Benz...
  15. M

    Nayaona Maandamano katika ulimwengu wa kiroho

    Mimi hupenda kuongea kiroho zaidi,nayaona maandamano tarehe 9,nakushauri ndugu yangu nunua mahitaji yako muhimu weka ndani,kuanzia vyakula maji dawa,hakikisha una Cash mkononi ya kukutosha ingalau kwa wiki 2
  16. M

    Kama watawala walijua wanaua mbegu ya ukombozi na kuizika basi ndiyo inachipua kwa kasi

    Kama watawala walijua labda wakipiga risasi na kuuwa watu eti watanganyika watapata wogo,basi walishindwa kusoma nyakati za tawala zote kandamizi zilizotangulia kama wao,yaani hii mbegu inayochipuwa kwa kasi sana. Hawataweza kuizuia kamwe na inaenda kuwaacha uchi kama walikuwa wanapambana na...
  17. M

    Ulimwengu wa roho kwa yanayojiri Tanzania

    Unajua mauaji yaliyotokea katika ulimwengu wa roho yalipangwa? Muaji alishakubariana katika ulimwengu wa roho ili aweze kutoa kafara ya sadaka, kwa wanaotizama kwa jicho la tatu hilo wanalijua. Lakini wale wenye macho matatu wameshajua mpango mzima na muuaji nguvu zake zimeanza kupungua hana...
  18. N

    GE2025 Jenerali Ulimwengu aonya vikali mauaji ya raia wema wanaopambania nchi yao

    Namnukuu "Hakuna kabisa msamaha au sababu zinazoweza kuhalalisha kile kinachotokea Tanzania sasa hivi — uuaji wa watu wetu; kabisa hakuna! Acha wazimu huu wa kudhani kwamba watu wetu ni watumwa wenu na hawawezi kujiondoa chini ya mnyororo wa utumwa wenu. Ndiyo, wanaweza na watafanya hivyo, na...
  19. OLS

    Natafakari maneno ya Jenerali Ulimwengu kwamba hii nchi inaugua

    Hivi karibuni kulikuwa namjadala pale Four Points ambapo wadau mbalimbali wasiasa walihudhuria kujadili masuala ya ukatili dhidi ya wanawake wakati wa uchaguzi. Katika watu waliokuwepo ni pamoja na msajili wa vyama vya siasa, na Jenerali Ulimwengu. Katika maoni mzee Ulimwengu aliongea wazi...
  20. Samia atosha tukutane2030

    Mambo muhimu 2 ya kuzingatia katika ulimwengu huu wa watu kupenda fedha kuliko kumpenda Mungu

    Kwanini nimeandika Uzi huu? Kuna Uzi mmoja nimeusoma humu na kuna jambo moja wiki iliyopita lilitokea. Jamaa mmoja tulionana kujadili issue fulani ya kibiashara (dili). Jamaa anaona kama namtupa kwenye game akataka kujua kikwazo nini. Nilimweleza jambo la kawaida tu ila jamaa akawa serious...
Back
Top Bottom