ulaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Ni muda muhafaka sasa wa NHIF ikabidhiwe kwa management ya kukodi kutoka ulaya, sisi tumeshindwa

    Nimefikiria sana kuhusu muarobaini wa NHIF, nimeangalia mradi wa mabasi Udart nimeangalia bandari nimepata conclusion sisi tuna tatizo kubwa sana kuliko tunavyofikiria. Ukianza kufuatilia vitu sensitive kama huduma za afya utagunduwa NHIF imeshashindwa majukumu yake na solution pekee ni...
  2. Kant Ombe

    JamiiForums Tanzania Walowahi kusoma, kufanya kazi au kuishi Ulaya na viunga vyake naombe kuyafahamu mambo haya

    TAHADHARI :Kama ujawahi kufika Ulaya usicomment kwenye huu uzi. WAKUU nipo najianda kusaka full funded Scholarship Nchi za Ulaya, sasa nilikua naomba muongozo wa nchi za ya kwenda na maisha ya upambanaji yapoje huko yani kazi nje ya masomo na malipo kwa ujumla. Mambo ya kufanya na kutokufanya...
  3. Have Fun

    JamiiForums Tanzania Wimbi la Watu kwenda kusoma Ulaya na Maendeleo ya Vyuo Vikuu Nchini

    Usichoke Kushabikia SIMBA, SIMBA, SIMBA, SIMBA, IMBA, IMBA, IMBA Tanzania ina Vyuo Vingi sana na Wakufunzi waliobobea kuliko wakufunzi wa Wazungu.. Hakikisha Unasoma nchini kuanzia Darasa la Kwanza hadi Uprofessa.. Yakikukuta haya Utakuwa Mgonjwa milele "Hata Mimi nataka Kuwa Mtumwa karne hii...
  4. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Hivi ile mialiko ya Yanga kwenda Ulaya na Kenya kwenye preseason hii iliishia wapi?

    Hii timu imekaa kitapeli sana, wanaokolewa tu na utakatifu wa Max Nzengeli. Walitutangazia kwa mbwembwe kuwa wamepewa mwaliko maalumu huko Kenya wakasema pia wamealikwa na vilabu vikubwa Ulaya kwa ajili ya preseason, wakaishia kucheza Kombe la Mpumalanga ambalo halina tofauti na lile la Shafii...
  5. Webabu

    JamiiForums Tanzania Iran yakataa wito wa Ulaya kutoishambulia Israel. Kama hawapendi vita wangeilaani Israel kwa mauwaji inayofanya

    Baada ya kuwakatalia watawala wa mashariki ya kati wiki iliyopita kutoishambulia Israel,sasa nchi hiyo imefanya kama hivyo kwa nchi za Ulaya' Raisi mpya wa nchi hiyo na waziri wa mambo ya nje wamezijibu simu wanazopigiwa na wenzao wa Ulaya kwa madhumuni hayo katika matamko makali...
  6. excel

    JamiiForums Tanzania Mungu Hailindi Israel Tena, Israel inalindwa na Marekani na Mataifa ya Ulaya

    Leo nimetamani kumchana makavu mchungaji wangu.. anadanganya kanisa eti mkono wa Mungu bado uko juu Ya Israel🤬🤬 Eti Mungu anailinda Israel dhidi ya wabaya wake ambao ni Arab nations, Jamani nimeishia kusema amina ila... Mchungaji wangu nimemsamehe tu kwa sababu ana Elimu ndogo sana na siwezi...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Je, tunashuhudia kuanza kwa civil wars huko ulaya kwa vurugu hizi zinazoendele UK?

    Katika siku mbili hizi tumeshuhudia waingereza waliochoshwa na vitendo vya wahamiaji hasa hasa wale wa kiislam, kujichukulia sheria mkononi na kushambulia maeneo ya waislam. mfano walianzisha moto msikitini na kule Belfast Northern Ireland tumeshudia waprotestant na wakatoliki kuweka tofauti...
  8. Tape measure

    JamiiForums Tanzania Usije Ulaya

    Ni miezi mingi sana imepita sijaonekana kwenye huu mtandao wetu wa kijamii. Sijaona tena nyuzi nyingi za kusisimua kutoka kwa Mshana Jr habibu Pascal Mayalla ONTARIO... Nimekumbuka Uzi wa jinsi nilivotengeneza million 9 ndani ya mwezi mmoja. Nimeanzia mbali sana kwani namkumbuka mwana FA na...
  9. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Kibu Denis atapanya zaidi ya milioni 200 Ulaya akisaka timu, aangukia pua! Awaomba radhi Simba

    Hivi vilabu kuna vizee vina midomo michafu,vikikuombea dua baya hutoboi kama hauko vizuri. Ukitaka kumchokoza mtu wa Kigoma muite Mrundi,atakypiga ngumi,watu wa Burundi wana stress muda wote,wana msongo wa nawazo,wanawaza vita,wanawaza kutorokea ulaya kama wakimbizi. Kibu Denis ana jinamizi au...
  10. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Nilitabiri Denis Kibu atakuja kucheza Ulaya na kuwafunga midomo

    Kutokana na sintofahamu na tetesi zinazoendelea kuhusiana na Denis Kibu (mpaka leo sielewi kwa nini watu wanamuita Kibu Denis badala ya Denis Kibu lakini hilo tuliache kwa leo), nimekumbuka kauli yangu niliyowahi kuitoa kuhusu future yake. Niliwahi kusema kuweni na akiba ya maneno, kuna siku...
  11. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Kutupeleka Rwanda hakuwezi kutuzuia kufika Ulaya

    Kutupeleka Rwanda haukutuzuia kufika Ulaya Maelezo ya picha,Bahabelom Mengesha, ambaye kwa sasa anaishi Zurich, alipelekwa Rwanda na Israel mwaka 2014 Huku Uingereza ikiendelea na mpango wake wa kuwatuma waombaji wa uhamiaji nchini Rwanda, BBC imesikia Ushahidi kwamba, mwaka 2017, wakimbizi...
  12. THE BEEKEEPER

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya ulaya na bongo ni vichekesho sana

    Ulaya umri mdogo tu! Unakuwa maisha yako safi. Bongo umri mdogo upo darasani unasoma aina ya nomino ona utofauti ni vichekesho sana
  13. L

    JamiiForums Tanzania China yailaani Tume ye Umoja wa Ulaya kwa kutaka siri za kibiashara katika uchunguzi wa magari ya umeme

    Wizara ya Biashara ya China hivi karibuni imelaani vikali uchunguzi unaofanywa na Tume ya Umoja wa Ulaya kuhusu uchunguzi wa kampuni zinazotengeneza magari ya umeme, ambapo Umoja wa Ulaya unataka kiasi kikubwa cha taarifa zinazohusiana na siri za kibiashara za viwanda hivyo. Wizara hiyo imerejea...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Unafahamu kuwa Upasuaji wa Uzazi (C-Section) wa kuokoa maisha ya Mama na Mtoto ulikuwa ukifanyika Nchini Uganda kabla ya Bara la Ulaya?

    Upasuaji wa kwanza wa Uzazi (C-Section) ulifanikiwa kufanyika Barani Afrika, ambapo Mama na Mtoto wote walikuwa salama, mara nyingi ujuzi huu, ingawa Daktari Mwingereza, James Barry amekuwa akihusishwa zaidi na upasuaji huu kutokea Cape Town, Afrika Kusini. Caesarian Section (C-Section) ni...
  15. Forgotten

    JamiiForums Tanzania Hizi ndiyo njia rahisi zaidi kuingia Marekani, Ulaya na Asia

    Habari wana-JF! Najua tayari kuna nyuzi kedekede kuhusu njia za kufika Marekani, Ulaya na Asia kwaajili ya kubadili upepo na kutafuta fursa mpya ila leo nitaongezea maarifa hasa kwa wale wanaojipanga kutoka nje ya mipaka ya Tanzania na Africa kwa ujumla. Nitaanza kuweka njia rahisi za kuingia...
  16. Mturutumbi255

    JamiiForums Tanzania Bado Una Swali: Kwa Nini Bei za Magari Kutoka Ulaya Ziko Juu Sana Tanzania?

    Katika makala hii, tutachunguza sababu kuu zinazosababisha ongezeko kubwa la bei za magari yanayoagizwa kutoka Ulaya hadi Tanzania. Tutajadili kodi, ushuru, gharama za usafirishaji, na athari zake kwa wateja, huku tukitoa mifano halisi na mapendekezo ya jinsi ya kupunguza mzigo huu wa kifedha...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Bacca after this season, apewe trial Ulaya. He is too good

    Kwa Tanzania Bacca mna tunachomdai? He is very good, naona next season Yanga wampe uhuru akacheze Ulaya hata trial tu. Wasting his potential at Yanga. Huyu hata Manchester United anapita.
  18. X

    JamiiForums Tanzania Chama cha Rais Macron na Chancellor Scholz vyapata matokeo mabaya uchaguzi wa Bunge la Ulaya

    Chama cha Marine LePen kimepata kupata karibu 30%, wakati upande wa chama cha Macron kimepata kura kwa karibu 15%. Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ametangaza kuvunja bunge la kitaifa na kutoa wito wa uchaguzi wa haraka Juni 30 na Julai 7. Chama cha AfD cha Ujerumani kilipanda hadi nafasi ya...
  19. G

    JamiiForums Tanzania Wenye ndoto za kwenda Marekani au Ulaya, pesa zipo lakini kwenye suala la wanawake mtapata taabu sana. Nchi yetu ni pepo ya mapenzi, tatizo ni uchumi

    Marekani / ulaya / Australia / Canada yani kwa ufupi nchi za wazungu kuna ajira nyingi sana, kupata pesa ni juhudi zako tu, ni kawaida kukuta mtu anafanya kazi za kipato cha chini zisizohitaji elimu ya chuo mfano kazi za kwenye ma godown malipo elf 40 kwa saa, Tatizo la wenzetu wamekuwa...
  20. U

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania sawa na Ulaya kiuchumi miaka 20 ijayo

    Tanzania yangu niipendayo ni nchi iliyobarikiwa rasilimali nyingi kiasi Cha kuwa na uwezo wa kufika uchumi wa juu ndani ya miaka 20 ijayo. Nikianza na mabadiliko yanayopaswa kufanyika kwenye sekta ya kilimo kwa kua kilimo ni uti wa uzalishaji Mali kwenye nchi yetu kinapaswa kufanyika kisasa...
Back
Top Bottom