ukweli

Ukweli Roach (born September 22, 1986) is an English actor best known for playing the role of FBI psychiatrist Dr. Robert Borden, on the American television series Blindspot.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli: Gwajima anachukiwa sana kwa sababu ni mkweli sana. Je, ukweli wake ni upi?

    Nimemsikia ndugu Rais kila mara akimnadi mgombea wa CCM jimbo la Kawe, Askofu Gwajima akisema kwamba wanakawe wamchague Gwajima kwa sababu ni mkweli. Mtazamo huu wa Rais umenifanya niulize wafuatiliaji wa mambo, hapa jukwaani juu ya ukweli wa Gwajima.
  2. JamiiForums Tanzania IGP Sirro: Si kazi ya askari kusema huyu atashinda ama hatashinda, hatua za kinidhamu zitachukuliwa kwa askari wetu tukibaini makosa

    Niwaombe sana wanasiasa pambaneni na mambo ya siasa msijaribu kuingiza vijana kwenye mambo ya uhalifu, uhalifu hauwezi kukufanya ukawa kiongozi sanasana mnawaharibia vijana maisha yao, maarifa yao, mwisho wa siku wanapata adhabu wanafungwa wanaacha familia zao" IGP Simon Sirro. "Tunachunguza...
  3. JamiiForums Tanzania Msema kweli ni mpenzi wa Mungu na OCD Hai amesema ukweli

    Mbowe na Chadema wamelitelekeza jimbo la Hai kwa muda mrefu na alifanya kuwadharau watu wa Hai na alikuwa anafanya kampeni kwa siku kumi anapata Ubunge. Safari hii ana wakati mgumu sana,wananchi hawamtaki na amekuwa akizomewa mara kwa mara, hii ni kwa sababu aliwafanya wajinga, kila...
  4. JamiiForums Tanzania GE2020 Je, ni kweli Rais Magufuli ni Rais wa wanyonge?

    Katika kile ambacho Rais Magufuli huwa anakisema mara nyingi kuwa yeye ni Rais wa wanyonge na masikini ndicho kimenipa kipaumbele cha kuandika uzi huu. Ni kweli yeye ni Rais wa wanyonge na masikini, lakini hayuko kuwasaidia hao wanyonge na masikini anaowaongoza kwanini?? Kwasababu ameshindwa...
  5. JamiiForums Tanzania Dodoma: Rais Magufuli apiga simu mubashara kwenye Kongamano la CWT na kukanusha kufutwa kwa Ualimu Ngazi ya Cheti

    Leo tarehe 5 Oktoba, katika Kongamano la Kuadhimisha Siku ya Walimu Duniani lililoandaliwa na CWT, Dodoma, Rais John Pombe Magufuli alipiga simu 'live' na kuongea na washiriki wa kongamano na pia kukanusha kufutwa kwa ualimu wa ngazi ya cheti. Rais Magufuli amewataka walimu kupuuza taarifa hiyo...
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Wasifu: Dkt. Hussein Ali Hassan Mwinyi, Rais ajaye wa Zanzibar

    Hakuna cha Makame Mbarawa wala nani. Huyu ndiye atayeiingiza Zanzibar kwenye karne ya 21. Wasifu wake ni huu hapa: Dk Hussein Mwinyi ni Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa katika Serikali ya Awamu ya Tano, ameteuliwa katika baraza la mwanzo la mawaziri la Rais John Magufuli. Kiongozi...
  7. JamiiForums Tanzania GE2020 Wito kwa Watanzania wenzangu tukiwemo sisi WanaJF, Oktoba 28 tujitokeze kwa wingi chagua chama cha ukweli kwa maendeleo ya kweli

    Wanabodi Watu wameisha zoea ukitolewa wito, then wito huo uwe umetolewa na kiongozi fulani, mtu ukiwa nobody, huwezi kutoa wito. Mimi ni nobody, lakini hapa natoa wito kwa Watanzania wenzangu tukiwemo sisi wana Jf, kwanza hiyo Tarehe 28 October, tujitokeze kwa wingi, twende tukapige kura...
  8. JamiiForums Tanzania Ukweli ni Kwamba Tanzania inawahitaji wote, Tundu Lissu na Magufuli. Mmoja akishinda mwingine awe PM

    Moja kwa moja kwenye mada... Ukosoaji wa Lissu kwa Muda mfupi JPM kautekeleza na nchi imeenda. Nchi nzima inajua licha ya mapungufu ya JPM ni Mtendaji hakuna aliyewahi kumfikia. Ila akiamua jambo wakati mwingine hata Sheria zinawekwa kando kwa maslahi mapana ya taifa. Lissu mjanja wa Sheria...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli hasemi ukweli kuhusu wazee Tanzania

    Jana tarehe 01 Oktoba ilikuwa ni Siku ya Wazee duniani. Tumemsikia Magufuli kwenye Kampeni akiwalaghai Wazee na watanzania kwa ujumla wao ati Serikali yake ya CCM inawajali Wazee na inawalinda kwa nguvu zote! Huo ni urongo na Unafiki mkubwa na pengine ni lugha tu ya kuombea kura! Kuna matatizo...
  10. JamiiForums Tanzania Ukweli Unaouma. Kuhonga sio ticket ya kupendwa, wanaume acheni kujipa moyo

    Jamani tuongee ukweli, kuhonga hakuongezi kupendwa palipo penzi la dhati. Penzi la muda mfupi au la siku moja kuhonga kutaweza kukusaidia lakini kwa mwanamke au mwanaume anayekupenda haihitaji kuhonga. Hii sio kwa wanaume tu hata wanawake wanaohonga. Kwa uzoefu wangu huu penzi la kweli...
  11. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hebu tuambizane ukweli, Magufuli anatumia kigezo gani kusema atashinda Uchaguzi?

    Mgombea urais wa CCM, Magufuli anadai kwenye kampeni kuwa atashinda Uchaguzi. Je, anatumia kigezo gani? Kwenye mikutano yake ya kampeni anawaambia wananchi kuwa wamletee Diwani na Wabunge wa CCM eti yeye atashinda tu, Je, anatumia kigezo gani? Anadiriki kuwaambia kuwa wasipochagua wabunge wa...
  12. JamiiForums Tanzania GE2020 Embu tuambizane ukweli, CHADEMA inatumia kigezo gani kusema itashinda?

    Moja kwa moja hojani, Kwa mjibu wa website ya CCM, na Kwa mjibu wa kauli ya mwenezi wa CCM ndugu Hamphuley Polepole, CCM inawanachama wa kudumu M.14+ Na kikawaida, ili uwe mwanachama wa Chama chochote, maana yake uwe umefikia umri wa miaka 18+ Na kwa idaadi ya waliojiandikisha kupiga Kura nchi...
  13. JamiiForums Tanzania GE2020 Ukweli wenye ukali: Dkt. Magufuli lazima abadilike, runinga ya Watanzania aitazame na kuizingatia

    Iwe ameshinda au ameshindwa uchaguzi mkuu wa mwaka huu, mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya CCM Dkt. John P. Magufuli lazima abadilike. Lazima awe mpya. Hawezi tena na kamwe kubaki alivyo. Anapaswa kujirudi; kujitathmini; kujiangalia na kuwaangalia watanzania wake na kujiuliza bila kujiliza...
  14. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu baada ya kuiteka ngome ya Kanda ya Ziwa, una kazi moja tu ya kuiteka Dar es Salaam umalize biashara hii mapema

    No doubt Ngome ya kisiasa ya raisi Magufuli ya Kanda ya Ziwa imetikiswa sana na mashambulizi ya kampeni ya Lissu Hii kanda ndiyo iliyokuwa muhimu sana kumsaidia Magufuli kubalance nguvu za upinzani katika kanda ya kaskazini na miji mikubwa ya Dar na Mbeya, huku akitegemea mikoa loyal kwa CCM...
  15. JamiiForums Tanzania Jamaa nimemsamehe kwa ukweli wake mchungu. Mke wangu simuelewi

    Wakuu dhihaka hazitakiwi hapa nipo kwenye wakati mgumu mnoo ,Kama huna chakuchagia tafadhali kausha tu. Nimejitahidi Kama mwanaume kuliweka moyoni lakini linaniumiza kwa nadharia zilizopo naamini mke wangu atakuwa amenisariti tu.(japo sijawahi shuhudia) Wakuu ni hivi naishi nyumba moja na...
  16. JamiiForums Tanzania GE2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu

    Jiji la Dar es Salaam ambayo ni ngome Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo linatarajiwa kusimama kwa siku tatu kupisha uzinduzi wa kihistoria wa mgombea Urais wa Chama hicho. Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chadema Tundu Lissu atazindua Rasmi kampeni zake kuelekea Ikulu ya Magogoni na...
  17. JamiiForums Tanzania Ukweli Unaonivunja Moyo Kuhusiana na hizi simu

    Habarin Za Muda Huu Wadau Wote Hapa Jukwaani. Direct To The Point; Mimi Ni Mudau Mkubwa Wa Hizi Samsung Phones But Kwa Hili La Users Reviews Zinazotolewa Kwa Simu Hizi Samsung S20 Ultra Na Note 20 Ultra Kuhusiana Na Kuchemka Na Kumaliza Moto Mapema Hasa Kwa Global Version (exynos Chipset), Hili...
  18. JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli: Sio hongo, mimi bado ni Rais, natangaza tenda ya barabara za mjini Itigi KM 10

    Mgombea wa Urais wa JMT kupitia CCM, Dkt. Magufuli Dkt. Magufuli anaendelea na kampeni na leo yuko Itigi mkoani Singida. Magufuli akiwa na Mwigulu na wanaCCM wakiserebuka Akiwa huko akaongelea uzuri wa nyumba za Singida na kusikitika zinavyopigwa vumbi ndipo ghafla akaitwa meneja wa Tanroad...
  19. O

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ukweli Mchungu: CCM is too complicated kwa Vyama vyetu vya Upinzani

    Mwanzoni Kabisa mwa Uchaguzi Bashiru Ally alinukuliwa akisema kuishinda ACT Wazalendo ni rahisi sana kuliko kuishinda CUF. CCM na CHADEMA au Kama CCM itajigawa ndio vyama vitakavyochuana miaka 20 tokea sasa. Imechukua siku 20 tu CCM kuivunja ACT-Wazalendo vipande viwili na kumnasa Zitto Kabwe...
  20. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Matatizo ya CCM kama chama yangevumilika, Magufuli havumiliki huo ndio ukweli

    Kichwa cha habari kinahusika. Walau CCM kama chama pamoja na madhaifu yake mengi kuna mambo watanzania walikivumilia kutokana na mila zake. Licha ya chama kulea ufisadi na kuwalinda mafisadi kwa muda mrefu bado kiliishi kwenye misingi. Hatukuwahi kupata kiongozi mwenye madhaifu mengi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…