Kabla kampeni hazijaanza tuliaminishwa na mimi nikaamini kuwa upinzani Tanzania umefutika kabisa.
Habari ya mjini ilikuwa CCM au Magu, kila ukigeuka kushoto, kulia, nyuma au mbele ni CCM au Magu. Baada ya kampeni kuanza upepo umebadilika kabisa.
Sikutarajia watu kushabikia na kuhudhuria...