ukweli

Ukweli Roach (born September 22, 1986) is an English actor best known for playing the role of FBI psychiatrist Dr. Robert Borden, on the American television series Blindspot.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    Tuseme tu na ukweli Mawaziri na Wabunge wa CCM waliokuwepo awamu ya tano walikuwa wakatili!

    Ukiacha yule Marehemu Mpendwa wetu Mh. Mbunge Bilago aliyefariki labda na wale wa upinzani kidogo - Mawaziri na hata wabunge waliokuwepo katika awamu ya Mwendazake walikuwa wakatili sana. Ndiyo wengi wamepata sababu ya kumsema mwendazake kama ndiyo chanzo cha kila kitu. Mimi ninakataa - wabunge...
  2. S

    Ukweli mchungu Ripoti ya CAG: Wanasubiri tupoe waendelee na mambo yao (business as usual)

    Niwaambie tu, hawa CCM na serikali yao, japo kwa sasa wanaonekana kugawanyika, ila ukweli ni kwamba wote ni wale wale tu (wapigaji), hivyo msitarajie jipya kutoka kwao zaidi ya maigizo ya kuwahadaa kwa muda na kisha waendelee kulindana. Ripoti za CAG tangu enzi za Kikwete ni madudu matupu, na...
  3. Rais Samia tunaomba kaa mbali na wanafiki wanaokuzunguka, ni watu hatari sana

    By Daniel Mjema Mwanchi 10/04/2021 Kwanza nawasalimu kwa salaam ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Tende kwenye hoja, Kwa miaka mitano na ushee, tumeshuhudia kuibuka kwa kundi ambalo nasema ni la watu wanafiki, ambao husifia hata pale pasipostahili kusifia huku wakigeuza ukosoaji kuwa...
  4. Kukosekana kwa ukweli na uwazi, siasa safi na uongozi bora katika utawala wa Hayati Dkt. John Magufuli ndiyo chanzo cha ubadhirifu na ufisadi huu

    Ripoti ya Mkaguzi Mkuu na Mdhibiti wa Hesabu za serikali (CAG) mwaka 2019/2020 imesomwa na inaendelea kujadiliwa bungeni... Hali ni mbaya sana. Karibu kila wizara na taasisi/mashirika ya umma ni upotevu wa mabilioni ya fedha yasiyoeleweka na kutokuwa na ushahidi zimetumika kufanyia nini. Kubwa...
  5. Ukweli kwanini binadamu na nchi kwa ujumla hatuwezi kufanikiwa wote!

    -Jana tarehe 7/4/2021, jarida la forbes lilitoa takwimu nzima ya matajiri katika dunia hii, japokua hua wanatoa kila mwaka lakini ya jana ilikua ngumu kumeza. Watu wengi hua wanapenda kujua tu nani anaongoza then baada ya hapo amemaliza yote anayojua kuhusu utajiri unaochapishwa na forbes...
  6. M

    Suala la Madini: Serikali ya Magufuli haikutueleza ukweli wote

    Jana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan katueleza wazi kuwa licha ya Ukuta wa Mererani, bado madini yanatoroshwa. Pia Rais Saia akatueleza kuhusu Mkataba wetu na Kampuni ya Madini ya Barrick kuwa kuna mambo mle kwenye mkataba hayajakaa vizuri. Sasa najiuliza, kama...
  7. Kwenye hili la pembejeo za kilimo, Rais kaongopewa na ni hatari kwa taifa

    Leo wakati Mhe. Rais Samia Suluhu wakati anaawaapisha Makatibu/Manaibu na viongozi wa Utumishi alihutubia na kuzungumzia changamoto za baadhi ya Wizara alizungumzia kwa ufupi sana Changamoto za KILIMO. Amesema kuna changamoto ya Nzige kwa majirani hili si TATIZO la MKULIMA wa Tanzania. Amesema...
  8. Pasaka: Asili, umuhimu wake na tamaduni zetu

    PASAKA NI NINI? Pasaka ilianza lini na nani?, Inamaanisha nini? Kutoka 12:1 BWANA akanena na Musa, na Haruni katika nchi ya Misri akawaambia, Mezi huu utakuwa mwanzo wa miezi kwenu; utakuwa ni mwezi wa kwanza wa mwaka kwenu. Kumbukumbu la Torati 16:1 Na ndiyo sheria, na amri, na hukumu...
  9. S

    Kama haya tunayoyasikia yana ukweli, basi nampa hongera sana Mama, ila nina wasiwasi atalazimika kufanya reshuffle wakati wowote

    Tunasoma mitandaoni kuwa kuna watu hivi sasa wanashikiliwa, watu ambao wanatajwa kuwa karibu na mtangulizi wa Mama yetu kwa tuhuma mbalimbali. Whistleblower wetu kule Twitter licha ya kumtaja jina mtuhumiwa, kaweka mpaka picha yake sambamba na tuhuma zinazomkabili huku akidai mtu huyo...
  10. B

    Wito kwa Dkt. Faustine Ndugulile na Mhandisi Kilaba; Semeni ukweli kuhusu vifurushi

    Hii trend ya hivi sasa ya gharama za vifurushi hatukuiona ikipigiwa kelele awamu iliyopita, lakini ninyi mlikuwa hapohapo kwenye nafasi mlizonazo Sasa. Ukiona kelele zinakuja kwa kiasi hiki ndani ya saa 24 tambua aidha Wapo watu hasa watoa huduma wameamua kwa makusudi kutingisha kiberiti kwa...
  11. B

    Tutakukumbuka Mzalendo ambaye hukupenda kusikia ukweli na hoja kinzani

    Mwaka 2015 mara baada ya Mh. Rais kuapishwa, kila mwezi takwimu zenye kuvunja rekodi kuhusu makusanyo ya kodi zilikuwa zikitangazwa na watu wakiweka vifua mbele kwamba nchi yetu inaelekea kuwa donor country. Muda ulivyozidi kwenda, tulishuhudia sekta mbalimbali zikisinyaa. Biashara za kati...
  12. Ukweli uwe mbele: 'Walioaminiwa sana' na Mwendazake wakichunguzwa, madudu hayatatazamika. Kuungwa kwao mkono na Mwendazake kilikuwa kichaka hatari

    Mambo yameanza kunoga. Deusdedith Kakoko wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) ametiwa nguvuni na yuko chini ya TAKUKURU kwa mahojiano na uchunguzi. Sote tunajua kuwa Mwendazake alikuwa akimwamini na kumtetea sana Kakoko. Alikuwa akimsifu na kumpa 'sapoti' ya kutosha na kutisha. Rangi halisi ya...
  13. Hakuna kitu kinauma kama kujua ukweli baada ya kudanganywa kwa muda mrefu

    Hamjambo wanaJF! Mimi niko sawa. Ushawahi kudanganywa? Mmepeana na miadi na demu afu badae anadai "kuna wageni wamekuja sitakuja tena leo". Unamdai mtu deni lako ananizungusha kila siku unakuja kukutana nae baa anamwaga bia unajiskiaje? Watanzania wengi tuliamini hakuna tena ufisadi nchini...
  14. D

    Tuweke ukweli hapa; nini hasa chimbuko la ugomvi wako na jirani yako?

    Kuna watu hawapendi ujirani wa amani kabisa. Na kundi hili la majirani wagomvi ni kubwa sana kuliko tudhaniavyo! Binafsi ugomvi mkubwa na jirani yangu ilikuwa ni kwenye kununua Umeme. Huyo umeme ukiisha tu alikuwa hawashi taa na hapandishi mapazia anajifungia kimya! Tulikalishwa vikao hadi vya...
  15. Ukweli Kuhusu Idadi ya watu 3.9B kuangalia msiba wa Rais Dkt. Magufuli

    Inaonekana idadi ya watu waliotazama tukio la msiba wa Dr. Magufuli kwa dunia nzima limetolewa kupitia ukurasa wa Twitter hapa Mtu aliyetamka au kuandika hizo takwimu anapatikana katika ukurasa wake wa Twitter hapa https://twitter.com/SirNeoBranson Kwa uchunguzi wangu mdogo, huyu mtu...
  16. Rc Kunenge tuambie ukweli juu ya vifo na idadi kamili iliyotokana na mkanyagano uwanja wa uhuru

    Inashangaza watu unakomaa kukanusha habari za wamachinga kulazimishwa kufunga maduka ili washiriki maombolezo ya kitaifa huku unaacha kukanusha kama kweli au si kweli watu 45 wamefariki na wengine mamia kujeruhiwa. Huu sio wakati wa kuacha kuwapa Watanzania ukweli juu ya nini kinaendelea hapa...
  17. Akili inapokataa kuamini ukweli

    AKILI INAPOKATAA KUAMINI UKWELI Dickens alianza kitabu chake, ''A Tale of Two Cities.'' na maneno haya: ''It was the best of times, it was the worst of times, it was the age of wisdom, it was the age of foolishness, it was the epoch of belief, it was the epoch of incredulity, it was the season...
  18. Yuko wapi Rais Magufuli? Msiache tetesi zienee. Kama anaumwa mnasema "ANAUMWA"

    Yaani inaudhi tumepitia huku kila baada ya miezi kadhaa sijui wapi wanaombea au kumngojea Rais aumwe? Ili kiwe nini? Kama anaumwa vya kutisha mnasema, kama ni uzushi mnasema na hata kumwonyesha kama alivyofanyiwa Dr. Mpango. Nililisema hili hata wakati wa zile tetesi nyingine wakati ule. Rais...
  19. John Mrema akanusha taarifa za kifo chake zilizoenea mtandaoni

    Jamii ikifikia mahali watu wanahasimiana hadi kuombeana vifo na majanga, jee, hiyo jamii ipewe sifa gani? Mimi nitakuwa nimekosea kweli kuiita ni jamii ya watu wenye roho mbaya na unyama unyama? The Tanzania I used to see and know under Mwalimu (RIP mzee wetu) is totally unrecognizable today...
  20. Ninyi watu mliompiga Tundu Lissu mlifanya kosa kubwa sana. Hamuoni Taifa halina mtu wa kusema ukweli juu ya uvunjifu wa Haki za Binadamu?

    Tundu Lissu aliwahi kusema taifa letu linakwenda pabaya. Alisema huko magerezani kuna watu wanaoza kwa makosa ambayo hawajayafanya. Mbaya zaidi kuna watu wanapigwa na kuteswa na vyombo vya dola bila kufikishwa mahakamani. Tundu Lissu aliwekwa selo central Dar ea salaam hapo alikuta vijana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…