ukweli

Ukweli Roach (born September 22, 1986) is an English actor best known for playing the role of FBI psychiatrist Dr. Robert Borden, on the American television series Blindspot.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Ukweli huu uwafikie viongozi wote wa Afrika

    Wandugu kumbe Africa bado tuna viongozi wenye akili.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Historia ya Yesu siyo halisi ilibuniwa na watu tofauti tofauti

    Story ya Yesu Mathayo anataja vizazi 26 Kati ya Yesu na Daudi, Luka hutaja vizazi 41. Mathayo anaanza kwa mtoto wa Daudi Solomon, wakati Luka anaanza kwa mtoto wa Daudi Nathan. Mathayo anasema Babu yake Yesu anaitwa Yakobo wakati Luka anasema babu yake Yesu Ni Heli. Cha kushangaza zaidi...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Zama za kufungwa goli nyingi kwa Simba na timu za waarabu tumezizika rasmi. Kumwembe ukubali ukweli huu

    "Mchambuzi" wa soka Kumwembe ambaye hana historia ya kucheza soka kwa kiwango hata cha kati alisema: "Hata kama Simba itashinda goli 3-0 hapa kwa Mkapa, bado haitoweza kusonga mbele” Naamini hiyo kauli hatokuja kuirudia tena maana zama za kupigwa nyingi tumezizika rasmi na jumla!!
  4. JamiiForums Tanzania Friday Fun Fact

    Kwenye maisha hasa ya mahusiano hakuna demu mkali, na ukiona demu ni mkali ujue sio wako. Pia hakuna asiye mwongo we chagua mtu ambaye utavumilia uongo wake. Kwaheri.😂😂😂😂😂
  5. JamiiForums Tanzania Ukweli usemwe: Nandy anamuogopa sana Zuchu

    Juzi kati hapa tumeona Nandy akiwashambulia Wasafi media akiwatuhumu mambo ya kitoto yasiyo na kichwa wala miguu. Wote tunajua Nandy hajawai toa ushirikiano kwa Wasafi media akiombwa interview au kumshirikisha kwa namna yoyote anachomoa. Lengo kutengeneza kitu kwa mashabiki kuwa anabaniwa ili...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Biblia Ni ya ukweli kihistoria?

    Wanahistoria wa Misri na Israel kutokana na kuchimbua mabaki na kufuatilia michoro na vinginevyo wamekuta kwamba hamna uhalisia wowote kuhusu story za waisraeli kuwa watumwa Misri, kutembea jangwani miaka 40 na kupigana Vita dhidi ya miji 30 na zaidi. Ina maanisha kuwa hizi story hazina ukweli...
  7. JamiiForums Tanzania Ujue ukweli kuhusu NASA

    Heshima kwenu wote humu ndani. Leo napenda kushare na ninyi hii siri. Je wajua kua NASA, ni taasisi ya siri ya kijeshi ya jeshi la Marekani, ambayo serikali ya Marekani ime-invest millions of dollars ili kufanya majaribio ya makombora ya masafa ya mbali yaani ICBM, Inter Continental Balistic...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni kuwa Masanja ana uzoefu na mkali kuliko Maulid na Hando

    Kwenye sekta ya habari labda Masanja hajafanya sana, lakini sote tukikumbuka enzi ya ze comedy tutakumbuka Masanja ndo alikuwa msoma habari mkubwa na alivutia mamilioni ya watanzania kuliko Maulid ama Hando ambavyo wamewahi kufanya Kwa wakati wote. Masanja kwenye magazeti akichanganya na...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tuliwasaidia watu wa Afrika kusini ili wapate uhuru. Ukweli ni kuwa hawako huru huku sisi tukibakia kuwa masikini bila msaada wowote

    Nenda Afrika ya kusini waafrika wanataabika na kuteseka maana hawapo huru kiuchumi bali wapo huru kisiasa tu. Wana uhuru wa kuzurula na kuropoka tu. Uhuru wa kiuchumi hawana. Wengi ni masikini na wanataabika. Sisi watanzania tulipoteza mali zetu badala ya kujikita kujiinua kiuchumi.
  10. JamiiForums Tanzania Serikali yathibitisha Kipindipundu kuingia Dar, Ilala ina Wagonjwa 10

    Serikali kupitia Wizara ya Afya imethibitisha uwepo wa Wagonjwa wa Kipindupindu muda mfupi baada ya Jamii Forums kuripoti uwepo taarifa za Ugonjwa huo katika Wilaya ya Ilala. Kwa mujibu wa Wizara ya Afya hadi sasa kuna Wagonjwa 10 waliobainika katika Wilaya ya Ilala ambapo 3 wapo Tabata, na...
  11. JamiiForums Tanzania Tupeane makavu: Kama pombe ni dawa ya kulevya yenye madhara makubwa kuzidi bangi ni kwanini bangi isiruhusiwe?

    Madhara ya sigara: Ocean road pale hospitali ya cancer wapo wagonjwa wengi wenye kansa ya mapafu, fizi, koo, n.k. kwasababu ya matumizi ya muda mrefu ya sigara. Cancer inaharibu koo kiasi kwamba wengine wamechomolewa makoo wanaongea kwa kuwekewa mashine, sauti inatoka kwenye spika Watu zaidi...
  12. JamiiForums Tanzania Idadi kubwa ya wanaume waseja hawawaamini wanawake

    Idadi kubwa ya wanaume waseja hawawaamini wanawake. Wamelala na wanawake wasiohesabika ambao wanadhani kila mwanamke amelegea. Mwizi anaamini kila mtu anaiba.
  13. JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Mpira ndiyo watu wenye uzalendo zaidi, huu ndo ukweli

    Toka nianze kujua maisha ni Nini nachoamini binafsi Hilo kundi Ndo yawezakuwa Ndo wazalendo zaidi ata kuliko wale mashabiki wa siasa maana wao huwa hawaendi na upepo kama ilivyo siasa. Ni ngumu sana kusikia kahama sehemu yake ya ushabiki. Na hii nahisi ni duniani kote. Yawezakuwa pia wana...
  14. JamiiForums Tanzania Wataalam wote wa Biblia na Theology, naombeni ushauri wenu

    Kwanza kabisa nawasalimu Sana. Karibu Moja Kwa moja kwenye Uzi huu. Kwa Muda mrefu nimekuwa nikivutiwa na Elimu ya theolojia. Baada ya kuvuta subra, nimeona niingie rasmi kwenye theolojia. Baada ya kutafakali Sana. Nimeona niwashirikishe Wana JF ambao teari mmepita huko kwenye vyuoni vya Elimu...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu kumiliki pesa nyingi

    Kuna watu wanajiuliza sana na wanapambana sana kupata utajiri, siwakatishi tamaa ila fahamu haya kisha jipime kama unachokifanya kinakufanya uje kuwa tajiri au uishi mazuri tu...
  16. JamiiForums Tanzania Simulizi ya ukweli penzi langu

    SIMULIZI: PENZI LANGU SEHEMU YA 01 ANZA ...Mkoani Tabora walionekana watu wawili ambapo Kwa kuwatazama tu ni kama vile walikua wapenzi ambao wamuda mrefu sana wakati huo mwanamke alikua ameshika kimfuko kidogo huku mwanaume akiwa ameshika mkono wake wakiwa wanatembea hadi walipofika...
  17. JamiiForums Tanzania Upi Ukweli juu ya kifo cha Yesu?

    Hivi Yesu alikufa? ni kweli? kwasababu gani? Doc hii inasambaa kwenye magroup,jamaa anaongea magubiri mazuri
  18. JamiiForums Tanzania Kuna tatizo gani vituo vya polisi? Iundwe tume chini ya DCI Kingai tupewe ukweli. Kila siku ripoti za mauaji

  19. P

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Pata Honlg: Pikipiki ya ukweli kwa mahitaji binafsi au kibiashara

    Jipatie pikipiki aina ya HONLG, hii kwa lugha nyingine unaweza kusema ni chopa,ikitembea imetembea mf. Cc 250 ukiondoka na basi toka Dar kwenda Kwanza,basi litakukuta ulishasinzia kabisa. HONLG Cc 150 bei maelekezo Tshs 3.15M Honlg Cc 200 bei Kitonga Tshs 3.5M, HONLG Cc 250 bei mtelemko Tshs...
  20. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mwanafunzi wa darasa la 6 adaiwa kubakwa na watu watatu; abeba mimba. Polisi wadaiwa kuhaha kuficha ukweli

    Nianze kwa kukupa ‘intro’ ya stori kabla sijakushushia mkeka kamili, ipo hivi hapa mtaani kwetu kuna mtoto wa kike wa Shule ya Msingi Barracks, Dar es Salaam, amefanyiwa ukatili kwa kubakwa na watu watatu katika nyakati tatu tofauti. Hapa ninavyoandika mistari hii huyo binti haendi shule tena...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…