Ungeanza wewe kutafuta mwanaume wako akufaaye.Usisubiri utafutwe na kuaminiwa.Idadi kubwa ya wanaume waseja hawawaamini wanawake. Wamelala na wanawake wasiohesabika ambao wanadhani kila mwanamke amelegea. Mwizi anaamini kila mtu anaiba.
Ndiyo maana yake.Siyo unabaki kupaka wanja tu na kusubiri utafutwe.Vijana wenyewe ni "kataa ndoa" na Hakimi ni role model wao.Kazi ni kwako!Jomon🙄🙄
Bado natafakari kama iwe jumatano au jumamosi!S
sasa itakuwaje jomon🙄🙄
Kwani wewe mwenzetu hauna kazi mpaka muda wote nikulaumu wanaume siuende kanisani au msikitini ukamuombe Mungu akurehememu kuliko kuandika uchafu tuu huku na jomoni zako zilizo na maana kuwa na hofu ya Mungu ili akubariki kweli watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifaIdadi kubwa ya wanaume waseja hawawaamini wanawake. Wamelala na wanawake wasiohesabika ambao wanadhani kila mwanamke amelegea. Mwizi anaamini kila mtu anaiba.
Ndio mwaya sina kazi niajiri kwakoKwani wewe mwenzetu hauna kazi mpaka muda wote nikulaumu wanaume siuende kanisani au msikitini ukamuombe Mungu akurehememu kuliko kuandika uchafu tuu huku na jomoni zako zilizo na maana kuwa na hofu ya Mungu ili akubariki kweli watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa
Vyeti vyako nitumie na CV yako ikojeNdio mwaya sina kazi niajiri kwako
Vipi umekula za kichwa kutokankwa mseja mkuu?Idadi kubwa ya wanaume waseja hawawaamini wanawake. Wamelala na wanawake wasiohesabika ambao wanadhani kila mwanamke amelegea. Mwizi anaamini kila mtu anaiba.
Sawa. Waseja ni watu poa sana.Bado sijala bhna [emoji23][emoji23][emoji23]
International conmanKama wewe vile