ukweli

Ukweli Roach (born September 22, 1986) is an English actor best known for playing the role of FBI psychiatrist Dr. Robert Borden, on the American television series Blindspot.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba, mkuu wa wilaya ya Kinondoni hafiti kabisa kuongoza wilaya yetu

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Wakubwa leo sina mengi ya kuelezea, ila ukweli ni kwamba mkuu wa wilaya yetu ya Kinondoni aliepo ofisini sasa hafai hata robo kuongoza wilaya yetu. Kila mtu anafahamu kwamba wilaya ya Kinondoni ndio wilaya inayoongoza kuwa na wasomi wengi nchini, ndio wilaya...
  2. JamiiForums Tanzania Ifike mahala Zuchu aambiwe ukweli nyimbo zake za Utoto utoto aache. Kwa mwendo huu naamini Nandy ni bora mara elfu kuliko Zuchu

    Zuchu tumekuchoka mara sukari, mara honey, mara kwikwi sasa katuletea Chapati 🀣🀣🀣🀣🀣🀣 Kiukweli Zuchu anapuyanga na naanza kuamini Nandy ni bora mara elfu kuliko Zuchu. Kinachombeba Zuchu ni ile kuwa karibu na Simba la Masimba Dangote kwa hiyo inakuwa rahisi ngoma zake kupenya kirahisi. Kifupi...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Maandalizi muhimu kabla ya uchaguzi ili kuepuka kusema umeibiwa kura Chama chako kinaposhindwa

    Hii ni kwa vyama vyote vinavyoshiriki uchaguzi ,uwe uchaguzi mdogo, uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu. Kila chama ni muhimu kufanya maandalizi ili kuepuka kutupa lawama kusikostahili. Kwanza, Kila chama kinatakiwa kihakikishe kina wanachama wafia chama ambao watakuwa pamoja na...
  4. JamiiForums Tanzania Ujue mzimu wa Kempanju wa ukoo wa Abashambo wa Kiziba, Misenyi

    Miaka ya 1800's walikuwepo ndugu wawili kwa Majina ya KEMPANJU NA KASSA, huko mkoani Kagera wilaya ya Bukoba( Misenyi kwa sasa). Imenichukua mwendo wa lisaa kutoka Bukoba mjini mpaka kata ya Buyango, kijiji Lwamachu kitongoji Nyakihanga ambapo ndiko haswa nyumbani kwa ayo majina mawili ambayo...
  5. JamiiForums Tanzania Ukweli usemwe: Kiukweli Yanga ya sasa hivi ni kali kila idara yaani inatisha

    Ukweli usemwe tu kama hamtaki niueni mwili wangu mkautupe bandarini usepe na waarabu. Kiukweli yanga ya sasa hivi ni kali kila idara yaan inatisha. Mimi kama kitayose naomba tiefefu isinipange kucheza na yanga πŸ™ Kwa upande wa Simba aaaaah "hata haturingi" na hawarigi kweli na kikosi kibovu...
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini Nelson Mandela hakumsamehe Winnie Mandela

    Ukweli ni kwamba Winnie alikuwa na wapenzi wengi kipindi mandela yupo gerezani. miezi kadhaa kabla ya mandela kutolewa alikuwa na uhusiano na Dali Mpofu mwanasheria alietofautiana naye miaka 30 ambaye alikuwa katika timu ya wanasheria wa utetezi Aliendeleza uhusiano huo hata baada ya Mandela...
  7. JamiiForums Tanzania Mzee mmoja aliwahi kuniambia Wajerumani ni wachawi Watanzania hatuoni ndani. Je, yana ukweli wowote?

    Amani iwe nanyi wapendwa. Miaka ya zamani kidogo kipindi nasoma, pale mtaani kwetu kulikuwepo na mzee mmoja alikua anajua mambo mengi sana, yaani alikua anakukuta dukani akihisi wewe ni mwanafunzi tu basi utaanza kuulizwa maswali na anakupa darasa palepale, alikua anajua kiingereza kile...
  8. JamiiForums Tanzania Tuwaambieni ukweli viongozi wetu!

    Kuna wakati huwa natafakari na kufanya tathmini; nadhani kuna ukweli kwa kile ninachotafakari! Viongozi wengi wa kisiasa hudhani kwamba watanzania hawajui chochote. Wanadhani kwa kuwa wao hawakuwa na fursa ya kujua mambo mengi enzi hizo wanaishi vijijini, basi wanadhani hata sasa hali ni...
  9. JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu: Marekani ni nchi ya dunia ya tatu

    Nchi ya dunia ya tatu ni nini? Nchi ya dunia ya tatu ni nchi yoyote ile isiyo na usalama wa uhakika( wa kutosha ) kwa raia wake na watu wote wanao ishi ndani yake. Vitu hivi huwezi kuvipata Marekani. Marekani hakuna usalama wa uhakika. Hakuna utu. Watu wanauana kwa sababu za kijinga kabisa...
  10. JamiiForums Tanzania Simba iombeni radhi Ngome FC

    π™π™Šπ™†π™€π™‰π™„ π™ƒπ˜Όπ˜Ώπ™ƒπ˜Όπ™π˜Όπ™‰π™„ π™ˆπ˜Όπ™†π™Šπ™‡π™Š Neno samahani ni dogo sana haswa kwa yule alieyefanya makosa,,Makolo msione aibu tokeni hadharani waombeni msahama tu Ngome kwasababu kudarisha logo haitoi uhalisia Kama mmekosea kutoa taarifa yenu kwa madunduka wenu. Ombeni msamaha [emoji1666]. Cc: castor Yanga NB: how...
  11. JamiiForums Tanzania Tatizo la serikali hii ya Awamu ya Sita si wateule bali ni Mteuzi na Mwapishaji

    Ifike mahali sasa tuache kuzunguka mbuyu samia kwa sasa anatakiwa awajibike kwa kila ovu au zuri linaloikumba nchi yetu. Kwa sasa tunasema she is responsible for everything tuache kusingizia mawaziri anaowateua. Kama ni kuunda serikali mda umepita ana zaidi ya miaka miwili sasa. Kama. Ingekuwa...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Kuinuka kwa uhusiano kati ya China Benin kwaonesha dhana ya ukweli, uhalisi, urafiki na udhati ya China kwa Afrika

    Rais wa China Xi Jinping hivi karibuni alifanya mazungumzo na Rais wa Benin Patrice Talon, ambaye alikuwa ziarani nchini China, na kutangaza kuanzishwa kwa ushirikiano wa wenzi wa kimkakati kati ya nchi hizo mbili. Kuinuka kwa uhusiano kati ya nchi hizo mbili kutasukuma mbele zaidi ushirikiano...
  13. JamiiForums Tanzania SI KWELI Tinashe Jonas atangaza mpango wa kufanya mapinduzi nchini Zimbabwe

    Video ya Kushtua ya Wanajeshi imetolewa ikimuonesha Jonas, wa Kamandi Kuu ya Ideal Zimbabwe, anapinga moja kwa moja serikali ya Zimbabwe na Kuomba msaada wa silaha zaidi katika video yake. Jonas Alitangaza Mrengo wake mpya wa Kijeshi mwezi uliopita na watu wengi hawakumchukulia kwa uzito...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia Ackson awataka Mawaziri waliopumzishwa kwenye nafasi zao waondoe wasiwasi

    Ikiwa wakiteuliwa wanaachwa wapumzike tu then wanarudishwa tena. Wakichoka wanapumzishwa uchovu ikiisha wanarudishwa tena. Je, sisi Chawa wa Mama ma Chawa wa Chama ni lini tutaingiamo? Au nafasi hizi ni za kwao tu? Sitasema mengi oneni mwenyewe. ========== Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni mchungu na asiyeubali ni mtumwa wa fikira. Wanawake na Wanaume hili mnalijua?

    Kwanza kabisa niwape pole wale wanaopitia changamoto za mahusiano. Poleni sana Ila wakati mwingine poleni kwa kujitakia. Tatizo watu wengi hutengeza tatizo na baadaye mnakimbilia JF kuomba huruma. Leo tuambizane ukweli ulio mchungu, wanawake 90% hawateswi na waume zao bali wanatengeneza...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Ahadi hizi kweli wana-CCM wanazitekeleza?

    Hizi ni ahadi 10 za wana-CCM, ipi wanayoitekeleza kwa vitendo zaidi? Au ni kinyume chake? 1. Binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja 2. Nitaitumikia nchi yangu na watu wake wote 3. Nitajitolea nafsi yangu kuondoa umaskini, ujinga, magonjwa na dhuluma. 4. Rushwa ni adui wa haki...
  17. JamiiForums Tanzania Nchi tutampa visionary leader sio mwanaharakati. Ukweli mchungu ni kwamba bado upinzani hawana Visionary leader

    Sina la kuandika zaidi sababu title imejielezea. Sijaona visionary leader yyt kutoka upinzani hadi sasa, endeleeni tu kutimiza wajibu wenu wa kuikosoa serikali na kuchangamsha mitandao ya kijamii lakini kule juu sidhan kama mtafika, labda miaka 100 ijayo. Tuongee ukweli ndugu zangu, nani...
  18. JamiiForums Tanzania Je, Wajua Waraka wa TEC Sio Neno la Mungu? Ili Kuepuka Kuchanganya Dini na Siasa, Kuna Haja Waumini Tuambiwe Ukweli Waraka wa TEC Sio Neno la Mungu?

    Wanabodi, Tumsifu Yesu Kristo. Declaration of Interest Mimi ni Mkristo Mkatoliki die hard, yaani wale Wakatoliki ambao wamezaliwa Wakatoliki, na kupokea zile sakramenti 4 za Katoliki, yaani wamebatizwa Katoliki, wamepokea Komunio Katoliki, Kipaimara Katoliki, ndoa Katoliki, na ile sherehe ya...
  19. JamiiForums Tanzania Ukweli usemwe: Aliyeharibu nchi hii ni Mwalimu Nyerere kwa kushindwa kuwapa Watanzania Elimu

    Nawasalimu wanaJF. Leo nimeamua niseme ukweli kuhusu nchi yetu hii ya Tanzania. Katika miaka 24 ya utawala wa Mwalimu Nyerere, alitangaza maadui wakubwa wa watatu wa watanzania:- 1. UJINGA 2. UMASKINI 3. MARADHI Mwalimu Nyerere hakuwa visionary leader alikuwa mwanaharakati, badala ya kujenga...
  20. JamiiForums Tanzania Hakwambii ukweli sababu anakupenda

    Sababu anakupenda atahakikisha hakuumizi; ukweli ni mchungu..., Kama anachofanya kinasaliti pendo lenu sio lazima anafanya hivyo sababu hakupendi bali hio ndio tabia yake... (Kwahio kama aliteleza atahakikisha Siri hii anaingia nayo Kaburini). Hivyo basi usiseme hakupendi bali ongelea tabia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…