Nini chanzo cha ushoga (uhanithi)? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nini chanzo cha ushoga (uhanithi)?

Discussion in 'JF Doctor' started by fiksiman, Jul 1, 2009.

 1. fiksiman

  fiksiman JF-Expert Member

  #1
  Jul 1, 2009
  Joined: May 17, 2008
  Messages: 402
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Hivi karibuni nilikuwa maeneo ya kule kuna nani (Tanga), kama mnavyojua kwa wale wenzangu wasafiri wa mara kwa mara ukifika eneo fulani na kupiga kambi hamu ya kupata wenyeji inakuwa kubwa.

  Sasa kwa jiji hili ndo burudani zaidi...basi mie shida yangu kubwa ilikuwa kupata mtoto mmoja wa kimanga (naipenda sana ile ngozi), katika mihangaiko akatokea mjamaa mmoja ambaye nilishindwa kumuelewa kama ni mwanamke au mwanaume na akajitolea kunitafutia hiyo huduma.

  Baada ya nusu saa kweli akanikabidhi kifaa kwa ujira wa 20,000 ya kitanzania (huo ni kwa usiku mzima na huduma zote zinapatikana).

  Siku ya pili yake yule jikedume akaning'ang'ania nilale nae tena kwa kunishawishi kwelikweli nahisi angekuwa chumbani basi angetaka nimbake.

  Hii ikanifanya nijiulize hivi hawa jamaa wamepungukiwa nini hadi wafikie hapo walipo maana nilikuja kugundua kuwa wako wengi sana pale Tanga na wanasoko kuliko wenye nyumba.
   
 2. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #2
  Jul 1, 2009
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,365
  Likes Received: 6,997
  Trophy Points: 280
  bado ujamaliza alivyokushawishi ulikubali?
  ilikuaje mpaka akakutokea una mfanano na mabasha nini?
   
 3. fiksiman

  fiksiman JF-Expert Member

  #3
  Jul 1, 2009
  Joined: May 17, 2008
  Messages: 402
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  heheheheheh no comment on that.:)
   
 4. Babylon

  Babylon JF-Expert Member

  #4
  Jul 1, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 1,338
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Asifie Mvuwa imemnyeshea !!!!!!!!!na dalili za mvuwa ni mawingu,any way kila mja na FANTASI zake angalau umejitokeza na kutueleza indirect yaliyo salia tutatumia vichwa vyetu.
   
 5. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #5
  Jul 1, 2009
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,365
  Likes Received: 6,997
  Trophy Points: 280
  mi nadhani huyo dada uliyeletewa na huyo jikedume kama ulivyomuita, ulimfanya kitu ambacho hata huyo jikedume anaweza kukupa na ndio maana kesho akakufata kwa sababu yule dada alimpa mkanda mzima,
  kanusha bac
   
 6. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #6
  Jul 1, 2009
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,365
  Likes Received: 6,997
  Trophy Points: 280
  fiksiman ulimfanya nini dada wa watu?
   
 7. Babylon

  Babylon JF-Expert Member

  #7
  Jul 1, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 1,338
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135

  Mkuu mbona umeweka coment mahali sio pake ?naona hayo maneno hayaowani au nio kiswahili kipya?
   
 8. fiksiman

  fiksiman JF-Expert Member

  #8
  Jul 1, 2009
  Joined: May 17, 2008
  Messages: 402
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  WATU BWANA...sasa mbona mnanisakama mimi wakati mi nimeuliza tu swali la kawaida kuhusu mabadiliko ya kimaumbile....kilichoendelea mimi na hao washirika wangu sidhani kama ni msaada katika mjadala huu. Ukitaka nenda tanga majibu yapo mengi sana.
   
 9. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #9
  Jul 1, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Kaka Fiksiman, sikujua kumbe wewe nawe ni mwana-sodoma na gomora uliyekubuhu na mbobevu katika kumtangaza shetani na kazi zake. Pole sana kaka maana hukumu yenu itakuwa juu yenu na vizazi vyenu. Mlaaniwe wote wenye tabia hizi, na kama mpo hapa JF sio mahala penu, lakini kwakuwa hapa ni darasani hatuna budi kuwavumilia hivyo hivyo mueendelee kutuhabarisha ufedhuli wa dunia hii.
   
 10. K

  Kyachakiche JF-Expert Member

  #10
  Jul 2, 2009
  Joined: Feb 16, 2009
  Messages: 910
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  Acha laana zako za kuku weweee, huku kwenye mambo ya kikubwa umefuata nini!?
   
 11. Songambele

  Songambele JF-Expert Member

  #11
  Jul 2, 2009
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 3,435
  Likes Received: 1,015
  Trophy Points: 280
  Ushoga na uhanithi ni vitu viwili tofauti, nijuavyo mimi uhanithi ni kwamba jogoo hapandi mtungi na pia si sababu ya kuwa shoga.

  Fiksiman umekutana na shoga sasa ukajuaje kama ni *******, mzee huko juu au umekula kiboga na unatupiga fiksi!
   
 12. King Zenji

  King Zenji Senior Member

  #12
  Jul 4, 2009
  Joined: Feb 18, 2008
  Messages: 178
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  ,,,aaah bora hao wa TA wanasubira kidogo,wangekuwa wale wa kwa RAJJU zenji wala huyo mdada wa kimanga usinge pewa,wangekung'ang'ania wenyewe,yaani unakuta dume linakukomalia mpaka unashangaa,hii dunia inajiishia hii taratiiiibu.
   
 13. Ph-25

  Ph-25 JF-Expert Member

  #13
  Aug 25, 2013
  Joined: Nov 19, 2012
  Messages: 1,114
  Likes Received: 140
  Trophy Points: 160
  Haya haya haya hayaaaaa

  hop mko vizuri sana aisee, sasa leo embu tupeane mawazo juu ya hili jambo...

  Chanzo cha mwanaume kuwa shoga ninini.?

  Dume zima na mindevu yake linamkatikia kiuno mwanaume mwenzie,huku linatoa mihemko ya mahaba na kubana pua oooohh baby.... Baby..

  Ivi wewe mwanaume unawaonea geree sana jinsi mademu wanavyo katika mauno kunako 6kwa6 na kulialia.?

  Ivi chanzo cha ushoga ni nini wana member.? Embu tudadavue vizuri hili jambo bna mana sielew elewi mnajua.?

  Finito..
   
 14. Mkereketwa_Huyu

  Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member

  #14
  Aug 25, 2013
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 5,099
  Likes Received: 1,199
  Trophy Points: 280
  Mpaka hapa sijaelewa hii kitu ni kurogwa ama? Hata kwa mwanamke kupumuliwa kisogoni sielewi tu.
   
 15. Mashaxizo

  Mashaxizo JF-Expert Member

  #15
  Aug 25, 2013
  Joined: Jun 13, 2013
  Messages: 6,734
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Wengine ni umasikini + tamaa!
  Wengine huingiwa na shetani (kibuki)!
  Wengine hujaribu!
  Wengine hubakwa!
  Wengine ugumu wao wenyewe ndio huwapelekea hivyo!
   
 16. Meljons

  Meljons JF-Expert Member

  #16
  Aug 25, 2013
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 2,591
  Likes Received: 156
  Trophy Points: 160
  Spirit of lust
   
 17. Blaine

  Blaine JF-Expert Member

  #17
  Aug 25, 2013
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 2,285
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Prison-Break-season-5-with-Michael-Scofield-wentworth-miller-12696698-368-500.jpg Prison-Break-prison-break-655026_1280_1024.jpg :yield:
   
 18. jonathan18

  jonathan18 JF-Expert Member

  #18
  Aug 25, 2013
  Joined: Dec 26, 2012
  Messages: 206
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 45
  Kila mtu ana uhuru wa kufanya analojiskia

  Regards,
  Jonathan.
   
 19. Analogia Malenga

  Analogia Malenga JF-Expert Member

  #19
  Aug 25, 2013
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 1,093
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  umasikini sio sababu coz...mashoga wengi wanauwezo kipesa na huwa wanahonga watu ili wapigwe miti halafu iwe siri...hao mnaowaona ni sample ya wengi waliojificha
   
 20. Mshinga

  Mshinga JF-Expert Member

  #20
  Aug 25, 2013
  Joined: Feb 5, 2013
  Messages: 3,535
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Ni kazi ya shetani inayopigiwa upatu na mawakala wa ushetani,America is the devil's centre.
  "NO SENSE OF HOMOSEXUALITY"hii ni sheria mpy amerika inayowataka wafanyakazi wote wa huduma mbalimbali kutowabugua mashoga,na ukidhubutu kuwabagua inakula kwako.
   
Loading...