ukweli wa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ukweli wa kihistoria Wa-Israel ni Wakanaani.

    Watu wengi hawalijui hili, Wa-Israel walikuwa ni mojawapo ya koo za Wakanaani tu. Kuna ushahidi wa DNA na historia/ archeology. Hata lugha ya kiebrania ni lugha ya Kikanaani. Washindi ndio huandika historia.
  2. JamiiForums Tanzania Anayejua ukweli wa madai ya Solo Thang kwa Afande Sele, atuambie

    Solo amekomaa kudai kwamba Afande Sele hakustahili kupewa Ufalme. Kwangu hili sio issue sana kwa sababu hata mimi nilishangazwa Afande Sele kuwa zaidi ya Prof. Jay na Solo Thang. Afande hakuwa anawazidi chochote Jay na Solo. Lakini nikaamini wakati mwingine kuna mazali; Afande alipata Zali la...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Facing El Chapo: Movies ya kusisimua matukio ya ukweli wa kukamatwa kwa El Chapo

    Mnamo Januari 8, 2016, wakati wa operesheni ya Kikosi Maalum cha Jeshi la Wanamaji la Mexico ya kumkamata "Cholo" Iván Gastélum—mmoja wa wauwaji wakuu wa Sinaloa Cartel — maafisa wawili wa Polisi wa Shirikisho , Arturo Carmona na Héctor Rosales walisimamisha gari jekundu aina ya Ford Focus...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa Mujibu wa Chadema,Nchi vinara wa Demokrasia na Katiba Mpya USA & Ulaya Huwa Hawafichi Ukweli wa Taarifa za Serikali

    My Take Chadomo muwe mnadanganya wajinga mnaowaokota huko mtaani na wasiojitambua 😂😂😂
  5. JamiiForums Tanzania Tamthilia ya spartacus: Vita, Usaliti & Ukweli wa Historia

    Kama kuna tamthilia iliyowahi kuchanganya ukatili wa vita, usaliti wa kisiasa, na maonyesho ya hatari ya arena za Rumi, basi ni Spartacus. Simulizi hii inaelezea historia ya kweli ya mtumwa na gladiator kutoka Thrace aliyetekwa na kuuzwa ili kuwaburudisha matajiri wa Dola ya Warumi mnamo miaka...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Nini Jaji Warioba Kaongea Leo! Chini ni Muhtasari wa Alichokisema

    Tanzania kwa sasa inapita katika kipindi cha mpito wa kisiasa ambacho kinahitaji viongozi wenye busara na ujasiri wa kusimamia ukweli bila uoga wala upendeleo. Katika muktadha huu, Jaji Joseph Sinde Warioba anasimama kama moja ya tunu chache za kitaifa zilizobaki—sauti ya maadili na hekima...
  7. JamiiForums Tanzania Ukweli wa Saikolojia ya Wanadamu kwenye maisha ya kila siku

    Kuishi na wanadamu ni sanaa inayohitaji akili kubwa ya mtaani. Ukikosa hekima ya kutambua jinsi akili za watu zinavyofanya kazi, utajikuta kila siku unavunjwa moyo, unatumika, au unashushwa thamani na watu unaoamini ni wa karibu kwako. Hapa kuna kanuni 5 za kisaikolojia kuhusu wanadamu ambazo...
  8. JamiiForums Tanzania Mzigo wa Kujua Ukweli wa Dunia

    Katika ulimwengu huu wenye siri na mambo machafu, omba Mungu sana kwako yasionekane. Omba Mungu uwe normal kama watu wengine, usiwe na uwezo wa kujua nini kiini cha maumivu, mateso, majivuno, chuki, na dhana potofu zinazo tawala huu ulimwengu. Haihitaji kusoma, ila tu ni mipango ya muumba...
  9. JamiiForums Tanzania Ni Wakati Sasa JF Kuanzisha Mfumo wa Kuwalipa "Content Creators" Wetu. Huu Ndio Ukweli wa Kisheria na Kiuchumi.

    Wakuu salama, Mimi ni mwanachama wa muda mrefu hapa JamiiForums (JF). Leo nimekaa na kutafakari kwa kina sana kuhusu mchango wetu sisi watumiaji katika kuuendesha, kuukuza, na kuuongezea thamani mtandao huu unaopendwa zaidi nchini. Nimekuja na hoja moja ya msingi: Ni wakati sasa kwa uongozi wa...
  10. JamiiForums Tanzania Ukweli wa Muswada wa Marekani kuhusu Tanzania Wazi!

    Upotoshaji wa akina Maria Sarungi, Liberatus, na wenzao (Misinformation from commercial activist). Leo Maria Sarungi na genge lake wameibuka na upotoshaji kuwa mswada kuhusu Tanzania unaotarajiwa kuwasilishwa katika Bunge la Seneti la Marekani Juni 17 mwaka huu haujafanyiwa marekebisho. Ukweli...
  11. JamiiForums Tanzania CHADEMA wameanza kusema ukweli wa Moyo

    Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini bila kujua ni kama "imequalify" Ripoti ya Ex Jaji Mkuu Mstaafu,Mzee Chande. RIPOTI ilisema kuwa "Mapinduzi" ya Oct 29 yalipangwa na na kufadhiliwa na makundi ya watu fulani fulani.MAJAMAA wakatumia miezi kadhaa kuikanusa kwa nguvu kubwa na ndipo hapo...
  12. JamiiForums Tanzania Ukweli wa Vurugu Zilizopangwa Oktoba 29

    Ushahidi unaonyesha vurugu zilikuwa zimepangwa, ziliratibiwa, zilifadhiliwa na zilitekelezwa na watu waliofuzu mafunzo maalum. Viongozi wakuu walikaa nyuma na kuwatumia vijana kama zana za mbele. #UkweliOktoba29
  13. O

    JamiiForums Tanzania Ukweli wa lugha: kuhusu kitana na chanuo

    Matumizi ya vitu hivi viwili KATIKA kuremba nywele, huchanganya. Ukweli ni huu. Kazi ya Chanuo ni kuchana nywele, YAANI kutengenisha nywele kimakundi. Kazi ya kitana ni kutana nywele neno kutana ni kukutanisha nywele pamoja katika mpangilio. Hivyo basi kazi ya Chanuo ni kuchana nywele na...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Ukweli wa wazi kuhusu uwepo wa Mungu(naked truth about God's presence)

    https://youtu.be/1WgQNDqqQCY?si=TuL36tnA1Di_RFRr
  15. JamiiForums Tanzania Eric Shigongo: Ukisoma Ripoti za Uchumi wetu ni nzuri sana lakini Wananchi hawana fedha mfukoni

    Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Eric Shigongo, ametoa kauli yenye msisitizo mkubwa kuhusu hali halisi ya uchumi wa Tanzania, akiongea bungeni jijini Dodoma. Akizungumza katika kikao na wanahabari, Mbunge Shigongo amesema kuwa licha ya rekodi rasmi kuonyesha kuwa uchumi wa nchi unaendelea kukua...
  16. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ulinganisho wa picha za hivi karibuni ukionyesha ukweli wa miili yenye majeraha iliyorundikwa kwenye sakafu ya mochwari ya Mwananyamala kama magunia

    Wakuu, ni kweli kuwa ile miili ni ya ndugu zetu waliuawa na kwenda kutupwa kwenye sakafu ya mochwari ya Mwananyamala. Kama hukupata ndugu au kama una ndugu ambae hujui kama ni mzima au alishatangulia fanya kufika hapo kudai ukweli wake! Tazama ulinganisho wa picha mbili za matukio tofauti...
  17. JamiiForums Tanzania Ukweli wa Ardhi House: ‘Mtandao unasumbua’ ni kificho — Nilijaribu kuingia kwenye mfumo, na mchezo ulianza!”

    Ukweli wa Ardhi House: ‘Mtandao unasumbua’ ni kificho — Nilijaribu kuingia kwenye mfumo, na mchezo ulianza!” UZI: Nimekuwa nikitoka HADI hapa na nikakutana na kitu ambacho siwezi kuziba mol. Huyu ni story ya jinsi ‘mtandao’ unavyotumika kama kificho ili watu wafanye ujanja katika ofisi za umma...
  18. JamiiForums Tanzania Ila hii picha ina ukweli wa uhakika

  19. K

    JamiiForums Tanzania Huu ndiyo ukweli wa tarehe 29, siyo polisi wala CCM wote wanayapinga maandamano

    Yaani huu ndiyo ukweli halisi Polisi siyo wote wanapinga maandano na siyo Wanachama wote wanapinga maandamano bali wengi hawapendi jinsi inchi inavyoendeshwa na Rais Ni vile wakati wa Magufuli wengi wapinzani walikuwa wanaridhisha na kazi aliyokuwa anafanya kupambana na mafisadi,kinachotakiwa...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Waafrika wasipotafuta ukweli wa dini za kuja wakasimamia waliyolishwa juu ya yesu na muhamad wataendelea kuwa maiti

    Haiwezekani mtu uishi kwa vitabu vya hadithi na mistari ukawa mzima labda mfu. Haiwezekani Mungu akuletee watu wengine nje ya jamii yako eti ndiyo wakuoneshe njia ya mbinguni. N.K.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…