ukweli wa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mnaoimbishwa wimbo wa "OKTOBA TUNATIKI" ni mkumbo wa kichama au mnaujua ukweli wa kutiki?

    Wakati wewe unaimbishwa wimbo wa "OKTOBA TUNATIKI" mnao waimbia wako busy kujiwekeza kiuchumi wao na watoto wao pamoja na familia zao kwa ujumla kupiti mgongo wa ninyi mnao imbishwa huo wimbo. Nimesikitika sana nimeenda kituo cha afya kimoja kikubwa tu na kinahudumia zaidi ya kata tatu au zaid...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Polisi: Hakuna ukweli wa Kontena la Silaha kuingia nchini

    Msemaji wa jeshi la polisi nchini Tanzania David Misime amekanusha kuwepo kwa kontena la silaha na kusema kuwa ni taarifa za uongo. ameyasema hayo wakati wa Mkutano na waandishi wa habari uliofanyika Dodoma, na kusisitiza kwamba hakuna ukweli juu ya taarifa hizo Misime ameonya pia juu ya baadhi...
  3. Mafunzo ya Udereva

    JamiiForums Tanzania Kama ulimsikikiloza Pasacall Mayalla utajua ukweli wa siasa na ukweli wa I'd fake za hapa JF !

    Watanzania ni watu wajinga Sana Ila pia ni wanafiki sana . Pascall Mayalla aliwahi kuzungumzia hii issue kwa urefu kuwa . Watakusifu unapoikosoa Serikali Ila ukikamatwa hawana habari na wewe. Ndo hawa hawa vilaza wamejazana humu na I'd fake wakitukana matusi na kumbeza Pascall Mayalla ...
  4. Setfree

    JamiiForums Tanzania Pigo zito kwa wapinzani wa Biblia: Wanaakiolojia wagundua sarafu za kale zinazothibitisha ukweli wa Biblia!

    Kuna watu wanaodai kwamba Biblia ni hadithi zilizotungwa tu ili kuwahadaa watu weusi!! Hata hivyo mara kwa mara sayansi ya akiolojia imekuwa ikifuta hoja hizo dhaifu kwa ushahidi ulio dhahiri. Hivi majuzi, wanaakiolojia wamegundua sarafu za kale mjini Yerusalemu, zenye alama na picha za kifalme...
  5. Rashda Zunde

    JamiiForums Tanzania Ukweli wa mambo huu hapa

  6. Now and then

    JamiiForums Tanzania Naomba watu waliosoma na mbunge anayemaliza muda wake jimbo la Skonge, Joseph Kakunda watupe ukweli wa majina yake

    Huyu Mbunge anaitwa Joseph Kakunda ila yeye na familia yake, pamoja na ukoo mzima ni waislamu . Na yeye na watoto wake na familia ni waislamu ila yeye pekee anaitwa Joseph Kakunda . Nina mashaka Makubwa na Elimu yake. Naomba watu wanaomjua huyu jamaa watuambie majina yake halisi. Hatuwezi...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nimeipongeza Yanga SC kutufunga Simba SC na kwa mara ya 5 Mfululizo, ila nasikitika kuona huu Ukweli wa Kitakwimu umefichwa ili Kuikandamiza Simba SC

    Bado GENTAMYCINE naendelea Kuipongeza Yanga SC kwa Kutufunga hivi juzi (na kwa mara ya Tano mfululizo) na Kutwaa Ubingwa wa NBC Premier League ila kwa KUJIAMINI kabisa ninapingana na Watu ambao kwa AGENDA zao au kwa ama KUTOKUJUA wamekuwa wakisema kuwa Yanga SC imeweka Rekodi ya Kuifunga Simba...
  8. I

    JamiiForums Tanzania Je, Laptop Inaweza Kutumiwa Hata Ikiwa Imezimwa? Fahamu Ukweli wa Kushtua Kuhusu Intel AMT na Jinsi ya Kujilinda

    Je, Laptop Inaweza Kutumiwa Hata Ikiwa Imezimwa? Fahamu Ukweli wa Kushtua Kuhusu Intel AMT na Jinsi ya Kujilinda Jibu rahisi ni ndyo ?? Sounds like sci-fi? It’s not. It’s real, it’s dangerous, and it’s probably inside your laptop right now. 👇 Na It's MALEKOGJ Katika ulimwengu wa kisasa wa...
  9. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Ukweli wa Maisha: Biashara haijawahi kuwa Rahisi – Ni Mapambano ya Kitaaluma na Kimtaa

    Maisha ya biashara si ya watu wa moyo mwepesi. Kwa vijana wanaoanza na mitaji midogo, ni lazima kuelewa kuwa safari ya mafanikio haiandikwi kwa bahati, bali kwa juhudi na uamuzi wa kila siku. Kutafuta si lelemama, na kufanikiwa ndio kabisa si jambo la haraka wala rahisi. Mafanikio ni matokeo ya...
  10. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu Dini Ulipo: Je, Tumekubali Imani kwa Kufuata Mapokeo au Uelewa wa Kweli?👇🏻

    Wadau Nina maswali machache hapa ningependa kufahamu: 1. Chanzo cha Dini: Ilianzia Wapi? Je, dini ziliundwa na Mungu au binadamu? Je, zilitokea lini na kwa nini kila tamaduni ina dini yake? Kabla ya Uyahudi, Ukristo na Uislamu watu waliamini nini? 2. Kabla ya Yesu (na Mitume), Watu Waliamini...
  11. Echolima1

    JamiiForums Tanzania BBC ilivyotaka kuuziba ukweli wa Mambo huko Gaza!!!

    Mtangazaji wa BBC idhaa ya kiarabu alivyokuwa akijaribu kuuficha ukweli kwa ya nayo endelea huko Gaza Anaficha ukweli kuhusu Njaa ya kutengeneza huko Gaza kwa kuonyesha video za watoto wakigombania chakula wakati afya zao ni njema kabisa.
  12. bibliatimes

    JamiiForums Tanzania Ukweli wa kukuweka huru ni huu

    KUKATAA MAARIFA NI KUMKATAA MUNGU ✝️✝️✝️✝️✝️✝️✝️✝️ Kuanzia wiki hii unapopiga simu hakikisha pia umeandika semina kama alama ya kumtaka Mungu Hii ni kwa faida Yako Ili hata Mungu akikuponya uwe na maarifa ya kutunza ulichopokea Moja ya sababu ya baadhi ya watu kuutukana ukristo ni kwasababu...
  13. Nomadiq

    JamiiForums Tanzania Kuna ukweli kuhusu Mr. Right?

    Heshima mbele, kwema bandungu Hili onesho la wanaume na wanawake kutafuta wapenzi/wenza kwenye show lina uhalisia au ukweli? ama ni maigizo ili kupata kipindi cha kuuza kwenye TVs?
Back
Top Bottom