ukweli mchungu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu 76% ya waigizaji na wanamuziki wa Bongo hawajafika Darasa la 7

    Wasalaam, Napenda kuchukua fursa hii kuwalaani wasanii wote wakiongozwa na rais wao stev Nyerere ambae hajamaliza hata darsa la saba kutumika kisiasa na cha chama cha mapinduzi kupotosha umma wa watanganyika kuhusu masuala muhimu ya kitaifa. Jana nimemsikiliza dula makabila ambae ameishia...
  2. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu kuhusu kibwagizo cha wimbo "Mke wangu ni mlevi ananuka gongo"

    Ukweli huo unakuhusu wewe unae soma Uzi huu. Miaka ya 90 ulipokuwa bado mtoto. Ulikuwa ukisikia redioni kibwagizo cha wimbo " MKE WANGU NI MLEVI ANANUKA GONGO". Ulikuwaga una assume kibwagizo hicho kinawahusu watu wa Manzese, Tandale huko uswekeni ndani ndani, watu ambao hawajasoma , hawana...
  3. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Simba na Tripoli wote ni vibonde na vilaza watatoana kwa matuta

    I salute you kinsmen. Hilo kombe la shirikisho ambalo simba wamekuwa wanashiriki sasa kwa kweli sio kama lile la misimu yote. Hili la sasa limekuwa la kibwege sana na team za hovyo sana kama hao Tripoli. Hawa hawa ndiyo waliokandwa na Biashara United kipindi kile eti leo ndiyo mnategemea...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Asilimia 70 ya wanawake walioolewa hawawapendi waume zao

    Habarini, Nimefanya huu uchunguzi usio rasmi, kwenye ndoa nyingi, ukiuliza mwanamke love story yake ya jinsi alivokutana na mmewe, utapata moja ya majibu haya: 1) Watakwambia hivi (nawanukuu) "Yani huyu mume nilie nae wala hata sikuwa namuwaza, alitumia mwaka mzima kunitongoza, nilimzungusha...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu (Bitter truth)

    Wajomba mambo vipi, aisee mimi sio mwandishi mzuri sana ila leo naomba niwapitishe kidogo kwenye hii "BITTER TRUTH" . ndio, ni ukweli mchungu especially kwetu sisi Scholars (wenyewe tunajiita wasomi😁) ila sisi!! anyways. Siku za nyuma nimekua nikifanya Funny stories ila hii ya leo ni serious...
  6. JamiiForums Tanzania Utafiti usio rasmi: Wanaume au wanawake wajanja huoa au kuolewa na wenza wabovu sana

    Hii ni tafiti ya wazi kabisa, ukiona mwanaume alisumbua sana mtaani na wanawake wazuri, mwishowe anakuja kuoa mwanamke mbovu kuliko wote aliowahi kutesa nao awali. Mpaka watu wanashangaa huyu ndo wa kuoa huyu mwanamke au amelazimishwa? Lakini nimeamini huo ni mfumo tu wa dunia unatak watu...
  7. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu kwa Wana CHADEMA; MBOWE anapaswa kupumzika

    Asalaam ndugu zangu!!! Ifahamike;Mimi ni Mwana CHADEMA tena sio Mwana CHADEMA wa kuhamia lahasha!!! Bali ni Mwana CHADEMA wa kuzaliwa…….nimezaliwa nikamkuta mzazi wangu mmoja ni Mwana mageuzi,hivyo nami nikawa Mwana Chama wa hiki Chama kwa kwa Kurithi kutoka kwa Bi’Mkubwa wangu…………Nikienda...
  8. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu wa chanzo cha Mahusiano na Ndoa kuvunjika ni Wanawake kukataza Waume zao kuwa na Wanawake wengi

    Ukweli mchungu wa chanzo cha Mahusiano na Ndoa kuvunjika ni Wanawake kukataza Waume zao kuwa na Wanawake wengi bila kukumbuka kuwa Mwanaume anatulia na mke mmoja anapofikisha angalao miaka 60 hivyobasi namna ya kuenjoy mahusiano na ndoa zao wakubali waume zao kurusha risasi nje pia wasitake...
  9. JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu: Serikali Haiwezi Kuendesha SGR Kwa Watanzania Tuliopo. Tujifunze Kutoka Kwenye Mwendokasi

    Mbona barabarani kuna makampuni kibao, Makampuni kwenye SGR yawe mengi, yalipe tu kiwango fulani serikalini kisha yapige kazi. Tumeona kinachoendelea kwenye Mwendokasi ni aibu tu na mateso kwa abiria. Tusikubali SGR ifike huko. BINAFSISHA mara MOJA kama anavyosema Waziri Mbarawa
  10. JamiiForums Tanzania Zama za leo kumueleza mtu ukweli inapaswa ujikaze kiume kwelikweli

    Iko hivi, utakuka mtu amekosea na anahitaji kurekebisha alipokosea lakini mtu huyo anabagua aina ya watu wa kumwambia ukweli. Hii ipo kuoanzia ngazi za familia, jamii na kitaifa. Kwa mtu binafsi, kiongozi au taasisi. Unaweza kuthubutu kwa kujikaza kumweleza mtu madhaifu fulani, ila uwe tayari...
  11. JamiiForums Tanzania Kizazi cha akina Mwigulu, Nape, January hakiwezi kutuletea maendeleo yoyote, kizazi cha akina Makonda, Hapi ndicho kina kitu ndani yao

    Uzi huu nauandika nikiwa nimebanwa nkaa kwenye mwendokasi. Na nimepanda mwendokasi kwa sababu sina jinsi maana route ya daladala iliuawa kutokea town centre kuelekea Ubungo hadi Kimara. Hivyo ndivyo maono yangu yanavyonituma. Kwamba hiki kizazi cha akina Mwigulu, Nape, January, kamwe hakitakaa...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Tanzania na nchi za Afrika zilizojaa wakristo zina uhuru wa imani, Nchi za kiislam zinanyanyasa wakristo, Penye wakristo wengi pana amani ya imani

    Na sababu kubwa ni kwamba Uislam sio dini tu, upande mwengine ni mfumo wa kisiasa !! Nchi ikishajaa waislam basi uislam unaingia kwenye sheria za nchi zifatwe hata kwa wasio waislam, idadi ya waislam huongezeka kwa kasi ya ajabu sababu imani zingine hupitia manyanyaso makali, vitisho mpaka...
  13. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tukitaka kuendelea tukubali ukweli mchungu na tuanze moja

    Habari za muda huu ndugu zangu watanzania, nimewaza sana na kutafakari ni wapi kama taifa tunaelekea maana ukweli usiopingika kuwa tunazama huku tukijifariji kuwa tupo katika njia sahihi. Tumeanguka katika nyanja nyingi lakini mie napenda niongelee moja au mbili, ambapo nitaanza na nyanja ya...
  14. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Kibiashara Facebook is more powerful than Instagram

    Ukimuona mtu anaichukulia poa Facebook basi huyo sio mfanyabiashara wala mjasiriamali. Hajui chochote kuhusu business. For your information Facebook is more better in business than instagram. Ina watu wengi sana ambao wapo active na wanafikika kwa kirahisi sana kuliko Instagram. # Facebook...
  15. JamiiForums Tanzania Jomo Kenyatta(RIP): Watanzania ni sawa na maiti hawawezi kuamka milele kudai chao

    Jomo Kenyata alishawai kusema: "Waganda ni sawa na wagonjwa wanaweza kupona mda wowote na wakadai vyao, Wakenya ni sawa na walio lala usingizi muda wowote wanaweza kuamka na kudai chao, Ila Watanzania ni sawa na maiti hawawezi kuamka milele kudai chao.
  16. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu

    Rais wa zamani wa Marekani Mh Barack Obama amesema watu wanaomzunguuka walikua wanamwambia ukweli anapokosea na pia kuhoji uhalali wa maoni yake anapokosea wala sio kumsifia kwa kila jambo,ni hatari watu unaowaamini wasipokwambia ukweli"
  17. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Zanzibar tunaishi kwa kudra za Tanganyika!

    Japokuwa huu muungano ni kichefu chefu tu kwa wazanzibar lakini ukweli mchungu ni kuwa, bila huruma na upendo wa Tanganyika basi huenda Zanzibar tusiweze kutoboa hata miezi mitatu. Kuanzia Ulinzi, Usalama mpaka umeme tunapewa bureee na watanganyika. Kodi na rasimali za watanganyika ndio...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu

    Hamna haja ya salamu, ujumbe tu unatosha. Baada ya miaka 5 -10 watoto tunaowapeleka na kuwarudisha shule kwa mabasi ya njano watakuwa wanaongozwa na waliosoma shule za umma. Hii itakuwa ni kwenye nyanja zote za uendeshaji uchumi, jamii etc. Mtoto anapakiwa getini na kurudishwa getini. Anaishi...
  19. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu ila ubachelor unawafaa zaidi Vijana waliojipata, wapambanaji na wanaojielewa

    Juzi nilipita kwa jamaa yangu ni bachela umri anazaidi ya miaka 35 ila nilichokiona ndani mwake nikama anaishi dampo. Yaani amepanga chumba na sebule lakini ukiingia ndani hujui chumba ni kipi na sebule ni ipi vitu vimetapakaa chupa za bia makopo ya double kick enegy nguo ziko kwenye kochi...
  20. JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu kuhusu Kudanga

    Mabinti wengi wanadanga ili kupata mitaji ya biashara lakini mwisho wa siku wakipata mitaji wanashindwa kuendesha biashara na wanajikuta wakifirisika na kurudia tena kudanga/Kuuza Mbususu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…