ukweli mchungu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu: Hakuna mtu anayefurahi sasa hivi kama Rais Samia ( Ana raha kweli)

    Kwa kifupi No Reform No Election haina madhara yoyote kwake 1. Akiikubali na kufanya Reform anakuwa Rais wa Kipindi cha Mpito cha Miaka 3 na kwa kuwa sifa zote atapata yeye kwa kukubali Reforms ana nafasi kubwa ya kushinda Uchaguzi utakapofanyika na kuwa Rais tena kwa kipindi cha Miaka 5...
  2. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Watanzania Wengi ni Wavivu – Kauli ya Mtume Boniphace Mwamposa na Rais Mstaafu Mkapa Zinagusa Ukweli Mchungu?

    Mtume Boniphace Mwamposa ametamka: “Watanzania wengi ni wavivu ” Watu wakakasirika, wengine wakabaki kimya. Lakini hii si mara ya kwanza kauli hii kusemwa na mtu maarufu kama Mtume Mwamposa. Mwaka 2011, Rais mstaafu Benjamin Mkapa aliwahi kusema waziwazi kuwa “Watanzania tumejaa visingizio...
  3. Daby

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: SADC kwa week kadhaa imekuwa inaiomba M23 ruhusa ya ku-withdraw pamoja na vifaa vya kijeshi vilivyo twaliwa na M23

    Rwanda na M23 kwa wakati mwingine wameziaibisha nchi zaidi ya 10 ukanda wa Kusini mwa Afrika. Kwa tetesi zilizopo kwa zaidi ya week tatu sasa majeshi ya SADC yamekuwa yanaiomba M23 kurejesha silaha walizotwaa kutoka vikosi vya SADC na ruhusa ya kupita Goma wakati wakurudi nchi zao. Kumbuka...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Huu ndio ukweli mchungu! Usimba na Uyanga ukiwekwa pembeni, Eng. Hersi anafaa kuwa Rais wa TFF baada ya Karia kumaliza muda wake

    Wakuu Huu ndio ukweli mchungu! Usimba na Uyanga ukiwekwa pembeni, Eng. Hersi anafaa kuwa Rais wa TFF baada ya Karia kumaliza muda wake Eng. Hersi ana sifa na uzoefu mkubwa katika uongozi wa soka, hasa kupitia nafasi yake ndani ya Yanga SC, tangu amechukua nafasi hiyo kubwa katika ngazi ya...
  5. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu: Kibwana Shomari ni beki Bora (kitasa haswa) Kuliko Israel Mwenda Hilo halipingiki

    Nimeamua kulitumia Jukwaa hili la habari za Michezo kwa lengo la kufikisha ujumbe kwa benchi la Yanga SC. Ndiyo ni ukweli usiopingika Huu, Kibwana Shomari ni talanta kubwa sana inayofanyiwa Figisu, Kila mmoja ni shahidi huyu bwana mdogo Kipindi na Kocha Nabi alipigika Miguu yote Beki namba 2...
  6. BWANA WANGU

    JamiiForums Tanzania Hakuna kitu inauma kama kazi za kujitolea

    Wanangu majobless, Hakuna kitu inauma kama kazi za kujitolea. Yani unakuta hadi mwaka unakata, ukiangalia umri unaenda dah noma sana.
  7. Magayor Mongolian

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Dhana ya kusoma uwe upate kazi na uwe na maisha mazuri inapotea na kufutika kabisa

    Mzuka Wana jamvi.... Mika ya nyuma na kipindi nipo mdogo kulikuwa na wimbi kubwa la Wazazi na Jamii kwa ujumla wakihamasisha watoto wasome ili waukimbie umasikini wapate kazi na wawe na maisha mazuri , na ilikuwa unatishwa kweli kweli kuwa ukizingua tu maisha yatakushikisha adabu. Baada ya...
  8. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu : Wakristu na waislamu wote duniani ni ma " Apartheist"

    Apartheism is a lack of interest or concern whether or not God exist. Ukitazama matendo ya watu wanao jiita wakristu na waislamu utaona kabisa yanasadifu " Apartheism" . Matendo yao hayaonyeshi concern wala interest kwamba Mungu yupo. Ingekuwa kinyume chake basi kusingekuwa na : wazinzi...
  9. blogger

    JamiiForums Tanzania Video: Watanzania huwa mna tabia ya kusahau, Prof. Mkenda akiwa Waziri wa Kilimo aliongea ukweli mchungu sakata la Sukari. Wakamuweka pembeni

    Huwa akijilipua hana breki. Hili la juzi ni kawaida yake.
  10. B

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu, "Nchi nzima itasimama leo kufuatilia Mdahalo, uchaguzi mkuu Chadema." Hasubiri mtu kusimuliwa!

    Hii ni kutokana na hali ilivyo kutokea katika maeneo mbalimbali ya nchi na pia katika "kuusoma upepo" kitalaamu: Kwamba nyuma ya runinga watakuwapo Mama Abduli, Abduli, vigogo wote, bila kuwasahau wenye kumshikilia Daktari Slaa korokoroni kwa amri zao. Haina shaka Mwamba japo kala kona kwa...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu. Haya ni maisha yangu

    Majina yangu ni Johannes Ignatius Rwebangira, mzaliwa wa kijiji cha Bisheke, Kata ya Mubunda, Wilaya ya Muleba Mkoani Kagera. Baba na Mama yangu wote wakiwa wazawa wa kijiji hiki pia, hivyo hapa ni nyumbani. Mwaka 1994, nikiwa na umri wa miaka miwili (2), ndipo safari ya hadithi ya maisha yangu...
  12. Magical power

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu ambao unapaswa kujua

    UKWELI MCHUNGU AMBAO UNAPASWA KUJUA Una mwenzako wa kike kazini, ninyi wote mnapokea mshahara au malipo sawa. Lakini mnapokwenda kula chakula cha mchana, unajifanya "MTU MZURI" na unalipa kwa ajili yenu wote. Mnapochukua teksi kurudi nyumbani, unajifanya tena "MTU MZURI" na unamlipia. Lakini...
  13. wasumu

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu mahari ni utumwa tufunguke macho Waafrika

    Mahali ni utumwa kwani mwanamke auzwe kama mzigo au bidhaa Waafrika tufunguke tuzitoze mali watu kama wamependana tuwape baraka na sio tuendeleze utumwa. Ndoa nyingi sana zinavunjika kwa sababu ya hii kitu watu wakifunguka macho wakaacha hii hakuna ndoa itakayovunjika upendo utatamalaki...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Mbowe akirudi madarakani, CHADEMA na viongozi wake watapoteza heshima na ushawishi

    Huu ndio ukweli mchungu na pia mtakosa uhalali wa kumpinga Samia au Mtawala mwingine yoyotw ataeamua kubadili katiba ili ajiongezee muda wa kubaki madarakani. Mtapoteza uhalali wa kuhoji katiba hii mbovu tuliyonayo na hata madai ys tume huru nayo yatakuwa yamekufa kifo cha mende kwasababu ni...
  15. Lugano Edom

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu ambao wanaume hawapendi kuujua

    Ukweli Mchungu Ambao Wanaume Wengi Hawapendi Kusikia Kisaikolojia, mwanaume anapoteza mvuto anapokuwa: 🌀 Hana malengo: Mwanaume asiye na ndoto au juhudi huashiria kutoendelea maishani. 🌀 Ana utegemezi kupita kiasi: Kutafuta uthibitisho au kuhitaji umakini kila mara huua heshima. 🌀 Hana...
  16. E

    JamiiForums Tanzania Wake zetu wakipata visafari humo njiani wanapitiwa sana; ni ukweli mchungu

    Ni ukweli mchungu ambao kila mwanandoa hatopenda kuusikia. Tunawaruhusu wake zetu wasafiri au waishi mbali lakini nilivyofuatlia hali ni mbaya sana humo njiani wana pigwa sana. Kama ilivyo kwa wanaume akifika Dom au Dar au Mwanza, anatafuta chaka analolijua au part-time ndivyo hali ilivyo...
  17. Magical power

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu lakini dawa

    Jipende, uchafu sio sifa njema, eti unajisemea anipende jinsi nilivyo. Nani akupende na huo uchafu wako. Maua huvutia vipepeo na mizoga huvutia nzi. Kwahiyo, utawavutia wa aina ulivyo Hakikisha unajipenda, unanukia, unavutia na unakuwa mkaka au mdada fulani hivi amazing Hakikisha na unapoishi...
  18. HOST NOT FOUND

    JamiiForums Tanzania Tashwishwi ya Biblia kweli ni kitabu cha Mungu?

    BAADHI YA MISTARI YA BIBLIA 2 samweli 1:18 (Kama ilivyoandikwa katika kitabu Cha YASHARI), akasema , wana wa Yuda wafundishwe haya. Yoshua 10:13 Ndipo jua likasimama, na mwezi ukatulia, Hata hilo taifa lilipokuwa limekwisha jipatiliza juu ya adui zao. Hayo, je! Hayakuandikwa ndani ya kitabu...
  19. Melancholic

    JamiiForums Tanzania Tiwa Savage: Mfano Sex ingeondolewa kwenye mahusiano basi asilimia kubwa ya wanawake duniani tusingetoboa kabisa

    Tiwa savage "Wanawake bila Ngono hatutoboi" 🥶🥶🥶 Tiwa Savage 🇳🇬 : " mfano Sex ingeondolewa kwenye mahusiano basi asilimia kubwa ya wanawake duniani tusingetoboa kabisa. Haya wewe hapo jiulize swali ukiitoa sex (ngono) kwenye mahusiano Yako Kuna kingine ambacho mpenzi wako anafaidi? " « kwa...
  20. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu 76% ya waigizaji na wanamuziki wa Bongo hawajafika Darasa la 7

    Wasalaam, Napenda kuchukua fursa hii kuwalaani wasanii wote wakiongozwa na rais wao stev Nyerere ambae hajamaliza hata darsa la saba kutumika kisiasa na cha chama cha mapinduzi kupotosha umma wa watanganyika kuhusu masuala muhimu ya kitaifa. Jana nimemsikiliza dula makabila ambae ameishia...
Back
Top Bottom