Benki Kuu Tanzania yasaini makubaliano na Clearfront kukabiliana na tatizo la ukwasi Sekta ya Fedha

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
21,293
24,173
BoT YASAINI HATI YA MAKUBALIANO NA FRONTCLEAR KUKUZA MASOKO YA FEDHA

Benki Kuu ya Tanzania kwa ushirikiano na Tume ya Umoja wa Mataifa ya Uchumi Afrika (UNECA) imetia saini hati ya makubaliano (MoU) na Taasisi ya Kukuza Masoko ya Fedha - Frontclear, yanayolenga kukuza sekta ya fedha nchini na kuchochea ukuaji wa uchumi wa Tanzania

Kamisheni ya uchumi ya umoja wa taifa kwa Afrika UNECA United Nations Economic Commission for Africa | Ideas for a prosperous Africa wakiwa pamoja na taasisi ya FrontClear yenye makao yake Holland inayoshirikiana na benki kuu za Afrika kukabiliana na changamoto ya ukwasi katika kukopeshana hususan kukopeshana baina ya mabenki, mifuko ya pensheni, insurance n.k hivyo kupunguza riba itakayoenda na mikopo baina ya taasisi ktk sekta za kifedha. Hayo yamebainishwa na Naibu Gavana wa BOT anayesimamia sera za uchumi na fedha BOT Dr. Yamungu Kayandabila.

Taasisi itakuwa inatoa guarantee kwa benki ndogo kuweza kupata mikopo kwa riba ndogo zaidi kwa FrontClear kuwekea dhamana taasisi ndogo za kifedha mfano mabenki makubwa kuondokana na wasiwasi wa kukopesha benki ndogo hivyo kusababisha kupewa mikopo midogo yenye riba kubwa au hata hizo benki ndogo kukataliwa mikopo kutoka benki kubwa.
---
Addis Ababa, 30 October 2022 (ECA) – The Innovative Finance and Capital Markets Section, Private Sector Development and Finance Division, United Nations Economic Commission for Africa (ECA) and Frontclear, have launched a technical assistance programme to support the Bank of Tanzania in its efforts to develop the local money and interbank markets.

The technical assistance programme relates to a four-part programme captured under a Memorandum of Understanding (MOU) signed between the Bank of Tanzania and Frontclear. The first activity is the kick-off workshop on the Money Market Diagnostic Framework (MMDF) held in Dar es Salaam, on 27 October 2022, attended by 32 participants from the central bank, CSDR, several pension funds and 20 commercial banks. The MMDF is made possible with the financial support of the French Development Agency (AFD).

Sonia Essobmadje, Chief, Innovative Finance and Capital Markets Section, Private Sector Development and Finance Division, ECA, delivered opening remarks during the kick-off workshop, introducing ECA’s role in assisting Member States to develop their financial markets and the expected outcomes MMDF analysis in Tanzania. Philip Buyskes, CEO, Frontclear, explained in his presentation why money markets matter, within the context of recent global market developments, and the challenges and solutions often arisen in MMDF analyses across Sub-Saharan African markets. Ms. Ingrid Hagen, Senior Vice President, Frontclear, outlined the steps, timeline, and expected results of the MMDF analysis.

Liku Kamba, Manager, Financial Markets, Bank of Tanzania made closing remarks on behalf of Yamungu M. Kayandabila, Deputy Governor, Economic and Financial Policies, Bank of Tanzania, by thanking the ECA and Frontclear for this timely project, and the active participation of the banks. She reaffirmed the Bank of Tanzania’s commitment to developing the money and interbank markets.

ECA also attended related activities before and after the MMDF kick-off workshop. On 28 October, Frontclear and ECA visited 6 commercial banks in Tanzania to gain a better understanding of the challenges, priorities, and needs of the market, and to sensitize the focal persons of these banks about the technical assistance programme.

After the MMDF kick-off workshop, an online induction workshop will be held with the focal persons from both the regulators and commercial banks, who will fill in questionnaires for data collection. This will be followed by one-on-one interviews for data consistency and reconciliation. The draft report will be prepared with the key outcomes of the MMDF, which will be presented at a review workshop with all stakeholders, prior to finalization. The MMDF analysis will take about three to four months in Tanzania.

Another joint Frontclear and ECA technical assistance activity as part of the programme, is the Tradeclear feasibility study, also supported in part by AFD. It will be launched in Tanzania in 2023 after a Frontclear legal and regulatory review on the enforceability of standard underlying documentations for repo and derivatives transactions.

Issued by:
Communications Section
Economic Commission for Africa
PO Box 3001
Addis Ababa
Ethiopia
Tel: +251 11 551 5826

Nchi inaendeleza kukopa tuu, miaka kumi ijayo tutakapo anza kulipa tutakuwa kama Kenya na Zambia hata mishahara na ajira itakuwa taabu tupu
 
Nchi inaendeleza kukopa tuu, miaka kumi ijayo tutakapo anza kulipa tutakuwa kama Kenya na Zambia hata mishahara na ajira itakuwa taabu tupu
majuzi tumekuwa tunawecheka Kernya kwa kusema serikali yao haina pesa bila kutambua kuwa uchumi wa Kenya ni mkubwa kuliko wa Tanzania lakini serikali yao ilikopa sana zamani na sasa hivi mikopo hiyo inawatokea puani. Halafu mikopo mingi inayochukuliwa na serikali ya Tanzania sasa siyo ya kuendeleza nchi bali ni kwa ajili ya kuendesha serikali na inaishia kuliwa na wachache tu. Malipo yake yatakapoiva tutakiona cha mtema kuni wakati waliokula mikopo haiyo hawapo tena.
 
Tanzania haijawahi kopa ili kulipa mishahara, tunakopa kwa projects muhimu pekee! /ikiwepo kumalizia miradi.
 
Tanzania haijawahi kopa ili kulipa mishahara, tunakopa kwa projects muhimu pekee! /ikiwepo kumalizia miradi.
Nilisoma hapa kuwa hela zilizokopwa kwa ajili ya Covid zilizotumika pia kulipa mishahara na posho mbali mbali ukiachilia pia kuwa zilikuwa zilitumika kwenye miradi to nowhere; kwa mfano ujenzi wa tangi hili hapo Mwanza kwenye kivuko cha Kamanga uliochukua mamlilioni ya fedha hizo haukuwa na tija yoyote. Mtu binasfi angeweza kujenga tangi hilo chini ya laki tano lakini mradi huo ukachukua zaidi ya millioni kumi.
1683422969605.png
 
tunashirikiana na wazungu wanaotukandamiza kukuza uchumi wetu.

It doesn't make sense at all.
 
BoT YASAINI HATI YA MAKUBALIANO NA FRONTCLEAR KUKUZA MASOKO YA FEDHA

Benki Kuu ya Tanzania kwa ushirikiano na Tume ya Umoja wa Mataifa ya Uchumi Afrika (UNECA) imetia saini hati ya makubaliano (MoU) na Taasisi ya Kukuza Masoko ya Fedha - Frontclear, yanayolenga kukuza sekta ya fedha nchini na kuchochea ukuaji wa uchumi wa Tanzania

Kamisheni ya uchumi ya umoja wa taifa kwa Afrika UNECA United Nations Economic Commission for Africa | Ideas for a prosperous Africa wakiwa pamoja na taasisi ya FrontClear yenye makao yake Holland inayoshirikiana na benki kuu za Afrika kukabiliana na changamoto ya ukwasi katika kukopeshana hususan kukopeshana baina ya mabenki, mifuko ya pensheni, insurance n.k hivyo kupunguza riba itakayoenda na mikopo baina ya taasisi ktk sekta za kifedha. Hayo yamebainishwa na Naibu Gavana wa BOT anayesimamia sera za uchumi na fedha BOT Dr. Yamungu Kayandabila.

Taasisi itakuwa inatoa guarantee kwa benki ndogo kuweza kupata mikopo kwa riba ndogo zaidi kwa FrontClear kuwekea dhamana taasisi ndogo za kifedha mfano mabenki makubwa kuondokana na wasiwasi wa kukopesha benki ndogo hivyo kusababisha kupewa mikopo midogo yenye riba kubwa au hata hizo benki ndogo kukataliwa mikopo kutoka benki kubwa.
READ MORE :

Nashauri Mods wabadili maneno kwenye heading. "Tatizo la Ukwasi?" Nahisi haijakaa vizuri. "Ukwasi" ikiwa na maana ya "Utajiri" halijawahi kuwa tatizo.
 
Nashauri Mods wabadili maneno kwenye heading. "Tatizo la Ukwasi?" Nahisi haijakaa vizuri. "Ukwasi" ikiwa na maana ya "Utajiri" halijawahi kuwa tatizo.

Naibu Gavana wa BOT anayesimamia sera za uchumi na fedha BOT Dr. Yamungu Kayandabila yeye anasema liquidity ndiyo ukwasi kwa kiSwahili lugha yetu ina mapungufu lakini amefafanua ukwasi ni liquidity
 
09 May 2023

UKWASI MDOGO WATISHIA MRADI WA BOMBA LA MAFUTA LA EACOP TOKA HOIMA UGANDA HADI BANDARI YA TANGA TANZANIA

Waziri wa nishati wa Uganda amebainisha hayo baada ya kuueleza mkutano wa sekta ya mafuta kuwa mabenki makubwa ya ulaya yanaonesha dalili ya kusita kutoa mikopo ili mradi huo wa EACOP uweze kutekelezeka.

Kufuatia changamoto moto hiyo waziri amesema kuna umuhimu wa kanda hii ya Afrika ya Mashariki kuwa na mabenki makubwa yenye uwezo wa kutoa mikopo mikubwa ili miradi ya kimkakati ya fedha nyingi isikwame.

09 May 2023
Kampala, Uganda

Day 1: 10th East African Petroleum Conference & Exhibition 2023

Lack of Funding from Major Banks is hampering the EACOP project

it was revealed today in Kampala that the icon crude oil pipeline project from Uganda to the port of Tanga in Tanzania is facing financial backup from the world's leading banks

Way forward it is proposed that there is a need for the East African region to have banks that can put money to finance such major project instead of depending on banks that are outside the region which are showing a clear hesitation on willingness to finance the crude oil pipeline project

Theme: "East Africa as a hub for Investment in Exploration and Exploitation of Petroleum Resources for Sustainable Energy and Socioeconomic Development" 9th May, 2023 - Kampala Serena Hotel

The East African Crude Oil Pipeline Project (EACOP) is a pipeline that will transport oil produced from Uganda’s Lake Albert oilfields to the port of Tanga in Tanzania where the oil will then be sold onwards to world markets.
 
Back
Top Bottom