Nimeona nije na hili wadau wenzangu, dunia inaelewa malengo na mahitaji ya Russia kwa nchi ya Ukraine yapo wazi sana swali ni kwanini amebaki mpakani???
Sasa takriban mwezi., NATO wamekuwa wa wazi sana na hawapepesi kauli zao ni kwamba wanasubiri Russia waivamie Ukraine ndio na wao lile lengo...
Russia has added blood supplies to its military buildup on Ukraine's border, Reuters reported.
This could be another sign its planning to invade, experts said.The supplies could be used to treat casualties if Russia invades.
In another sign it could be preparing to invade, Russia has now...
Nimesoma na kuona hizi habari kupitia vyombo vya Habari kama CNN TV, Al-Jazeera, BBC kwamba mzigo wa tatu rasmi umetua KIEV ukitoa ule wa tani 80 wa mara ya pili. Nilisoma humu kuna watu wanadai NATO na Marekani wanatania tania lakini pia Troops zinamiminika Ukraine kwa upande wa Nato pia...
Joe Biden: "Itakuwa janga kwa Urusi ikiwa itaivamia zaidi Ukraine"
Rais wa Marekani Joe Biden amesema kuwa anafikiria mwenzake wa Urusu Vladimir Putin "ataivamia" Ukraine, lakini hataki "vita kamili".
Alipoulizwa kuhusu tishio la uvamizi wa Urusi, katika mkutano na waandishi habari alisema...
Kwa mujibu wa gazeti la muda mrefu sana na la kuaminika sana la New York Times , Russia anadaiwa kumaliza kujiandaa kuivamia nchi ya Ukraine ambapo ipo nafasi kubwa kuzuka vita kubwa sana ikihusisha mataifa mengi
Madai ya Russia kwa Ukraine mojawapo ni unyanyasaji wa Ukraine kwa raia wa...
Je, vikosi vya Urusi vinajiandaa vita nchini Ukraine?
Ni miaka saba tu iliyopita wakati Urusi ilipomega sehemu ya Ukraine na kuwaunga mkono waasi walioanzisha mzozo sehemu kubwa na mashariki.
Urusi inasema haina mipango kama hiyo, kwa hivyo ni kipi kinaendelea?
Ukraine iko wapi?
Ukraine iko...
Je! Ninyota! Nibahati au Niwakati tu wa Rais Samia Suluhu kuwa juu umefika? || Nineema iliyoje Ukraine firm kununua ndizi zote za Tanzania zinazohitaji pesa,
"Hakuna kama Samia"
Bara la Africa linauza nje ndizi zinazofikia thamani ya zaidi ya $4.3bl karibu Tshs 10trilioni,Wakati 50% ya ndizi...
Vitaly Shishov ambaye ni Kiongozi wa Kundi linalosaidia watu waliokimbia Belarus amekutwa akiwa amefariki dunia karibu na nyumbani kwake Nchini Ukraine, ikiwa ni siku moja baada ya kuripotiwa hajulikani halipo.
Polisi wamesema wanachunguza kama Shishov aliuawa na mazingira kutengenezwa ili...
Wizara ya Ulinzi ya Ukraine imetetea uamuzi wake wa kuwavalisha wanajeshi wa kike viatu vya mchuchumio (vyenye visigino virefu) katika gwaride la kusherehekea miaka 30 ya kujitenga na Umoja wa Kisovieti baada ya baadhi ya wabunge kulalamikia uamuzi huo.
Picha za wanajeshi hao zilisambaa katika...
Wakuu hiki ninachokiona YouTube na nyie mmeshakiona?
Mbona inaoneka urusi kapeleka jeshi kubwa sana na vifaa karibu vya aina yote mpakani mwa ukraine akdai anawalinda raia waliopo eastern ukraine ambalo ni eneo la ukraine yan lipo ndani ya ukraine.
Wakati huohuo turkey karuhusu marekani...
Mnamo 2013, Wa-Ukraine walikusanyika katika mitaa ya Kyiv kuelezea wasiwasi wao juu ya njia mpya ya nchi yao. Harakati za “Euro-maidan” kama zilivyojulikana, zilipinga msimamo mpya wa Ukraine unaounga mkono Urusi.
Rais wa Ukraine, Yanukovych, alisitisha ghafla kutia saini kwa makubaliano ambayo...
Iran imesema kuwa imemkamata mtu aliyerekodi kipande cha video kinachoonesha tukio la kutunguliwa kwa ndege ya abiria ya Ukraine.
Inaaminika, mtu anayeshikiliwa atakabiliwa na mashtaka yanayohusiana na usalama wa taifa.
Ndege ya Ukraine PS752 iliangushwa muda mchache baada ya kupaa kutoka...
Serikali ya Iran imetangaza kuwakamata watu kadhaa waliohusika kulipua kombora kimakosa na kuangusha ndege ya Ukraine.
Tukio hilo lilisababisha watu wote 176 waliokuwapo ndani ya ndege hiyo kufariki wakitokea Uwanja wa Ndege wa Tehran.
Tangazo hilo limetolewa leo Jumanne Januari 14 muda mfupi...
Tehran. Muda mfupi baada ya Serikali ya Iran kukiri kuitungua ndege kwa bahati mbaya, kundi la waandamanaji nchini humo limejitokeza kutaka kiongozi wa juu, Ayatollah Khamenei pamoja na viongozi wengine waandamizi kujiuzulu nyadhifa zao.
Ndege aina ya Boeing 737-800, mali ya Shirika la Ndege la...
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky
Ukraine imetangaza leo kuwa itazilipa fidia ya dola 8,000 za Marekani familia za raia wake waliokufa kwenye ajali ya ndege iliyotokea Iran mapema wiki hii.
Mpango huo umetangazwa na Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ambaye amesema pia atalazimisha Iran kutoa...
Zote mbili ni ndege za abiria, zote mbili kwa nyakati tofauti zimetunguliwa na kile kinachodhaniwa kuwa ni makombora ya kutungulia ndege vita. Tatizo la ndege zote mbili ni kupita eneo la Vita.
Ile ya MH 17 inadhaniwa ilitunguliwa na waasi wa Ukraine wanaoungwa mkono na Urusi kwa silaha...
US kama wanao uwezo wa kutumia technolojia kuongoza hizo ndege za Boeing, maana yake ndege hiyo ya Ukraine waliona ni target nzuri kwa sababu:
1. Ilikuwa na raia wengi wa Irani
2. Vifo vya wa Iran wengi kungepunguza uungwaji mkono wa serikali ya Iran, maana wananchi wanakuwa na hasira za kufiwa...
Iran imetangaza kuwa jeshi lake "bila kukusudia" liliitungua ndege ya Ukraine, iliyoanguka na kuua watu wote waliokuwemo ndani yake huku wengi wao wakiwa ni raia wa nchini Iran.
Taarifa hiyo mnamo Jumamosi asubuhi inalaumu "kosa la kibinadamu" lililofanyika katika tukio hilo.
Ndege ya Ukraine...
Kateryna Gaponenko ambaye ni mke wa rubani wa ndege ya abiria ya Ukraine iliyoanguka muda mchache baada ya kuondoka kutoka uwanja wa ndege mjini Tehran amesema kuwa alimuonya mumewe asisafiri na anaamini ndege hiyo iliangushwa.
Kateryna Gaponenko alikiambia kituo cha runinga cha Sky News kuwa...
Iran kwa mara nyingine imakana madai kuwa makombora yake yaliidungua ndege ya abiria ya Ukraine karibu na mji mkuu wa nchi hiyo, Tehran siku ya Jumatano.
Mkuu wa mamlaka ya anga amesema ana ''uhakika'' kuwa ndege hiyo haikushambuliwa na kombora.
Mkuu huyo alikuwa akijibu madai yaliyotolewa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.