ukraine

  1. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Rais wa Ukraine kumpatia silaha mwananchi yeyote anayetaka kupigana vita dhidi ya Urusi

    Rais wa Ukraine, Volodymyr ZelenskyImage amewahamasisha wananchi wake kuwa tayari kupigana kwa taifa lao na kuwa atampatia silaha mtu yeyote anayetaka kushiriki katika vita dhidi ya Urusi. Picha kadhaa zilionekana hivi karibuni mitandaoni zikionesha raia wa Ukraine wakipewa mafunzo ya msingi ya...
  2. S

    JamiiForums Tanzania China yatangaza kuiunga mkono Russia, yailaumu Marekani kusababisha mzozo wa Ukraine, yasema Urusi imelazimika kujilinda

    China imetangaza kuiunga mkono Russia, huku ikiilaumu Marekani kwa kusababisha mzozo wa Ukraine na hata kuvamiwa kwa Ukraine (na Urusi). Msemaji wa wizara ya mambo ya nje wa China amesema Marekani imekuwa ikituma silaha za kivita nchini Ukraine, ikatengeneza hali ya hofu na paniki (kwa Urusi...
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Papa Francis atangaza Jumatano ya Majivu (Machi 2) kuwa siku ya kufunga na kuomba kwa ajili ya Ukraine

    Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis ameonesha kuguswa na kinachoendelea baina ya Urusi na Ukraine, ambapo amesema hatari ya vita ilisababisha maumivu makali moyoni mwake Papa ametoa wito kwa watu wote duniani kutumia siku ya Machi 2 ambayo ni siku ya Jumatano ya Majivu, kufunga na...
  4. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Vita ya Urusi na Ukraine: Putin aonya “Yeyote atakayeingilia atapata pigo la kihistoria”

    Rais wa Urusi, Vladimir Putin mara baada ya kutangaza mashambulizi dhidi ya Ukraine, ametoa onyo kwa mataifa ya Magharibi kuwa yeyote ambaye atajaribu kuingilia kinachoendelea baina ya mataifa hayo mawili atakutana na kitu ambacho hajawahi kukutana nacho. Milipuko ilisikika Mji Mkuu wa Ukraine...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Vladimir Putin amewataka wanajeshi wa Ukraine wajisalimishe wenyewe

    Russia imewataka wanajeshi wa Ukraine wajisalimishe au waweke silaha zao chini warudi nyumbani. Huku hayo yakiendelea kumesikika milipuko sehemu mbalimbali nchini Ukraine huku wanajeshi wengi wa Urusi wakitokea kila upande kuizunguka Ukraine. Wengine wanatokea nchi jirani ya Belarus kuelekea...
  6. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania UN yaitaka Urusi iondoe wanajeshi wake Ukraine

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa(UN), Antonio Guterres amemtaka Rais wa Urusi, Vladmir Putin kurudisha wanajeshi wake aliwapeleka Ukraine Guterres ameandika ujumbe huo katika ukurasa wake wa Twitter ambapo katika ujumbe mwingine aliandika watu wengi wameshafariki kutokana na mzozo unaoendelea...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Bei ya mafuta ghafi yaongezeka duniani baada ya Russia kuivamia Ukraine

    Baada ya muda Mrefu Mafuta ghafi kuwa bei chee wakati wa janga la Corona kutoka bei hasi hadi kukaribia dollar 100 kwa pipa wakati huu. Traders let's take advantage from this.
  8. Quimica

    JamiiForums Tanzania Watanzania walioko Ukraine watakiwa kurudi Tanzania

    Habari za jioni wana Jamii Forums, kwa kweli nimeona suala la ndugu Watanzania walioko Ukraine kutakiwa kurudi Tanzania na wengine kutolewa na mataifa yao sababu kubwa ni nini? Putin anahusikaje? Tujuzane. Maestro de Quimica!!OP
  9. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Serikali, Wizara ya Mambo ya Nje inawasaidiaje Watanzania walioko Ukraine?

    Wakati Mataifa ya watu US, Uingereza, Ujeruman, Israel yakiendelea kuwataka RAIA wake watoke Ukraine. Ni wazi pia kuna Watanzania walioko Nchini Ukraine kimakazi, kikazi, kimasomo n.k Mnawasaidiaje sasa, Hasa kwenye kipindi hiki cha mgogoro mkubwa ambao muda wowote Vita inaweza kutokea? Au...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Trump amsifia Putin kuwa ni 'Genius' kwa namna alivyoingia Ukraine

    Trump anasema kuwa namna Rais Putin alivyotangaza majimbo mawili makubwa ya Ukraine kuwa huru, hayapo ndani ya Ukraine, ni namna ya kipekee iliyotumia akili kubwa mno (Genius). Trump akaendelea kusema kuwa Putin anaenda ingia ndani ya Ukraine na kuwa mlinda amani..."hilo ni jeshi imara zaidi la...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Putin asaini waraka wa kuamuru Majeshi ya Urusi kuingia Ukraine kulinda amani majimboni

    Rais Putin asaini waraka wa kuamuru majeshi ya Russia kuingia Ukraine kulinda amani ktk majimbo-yenye-uasi ya Luhansk na Donetsk Rais Vladimir Vladimirovich Putin wa Russia amesaini tamko rasmi/ decree kuamrisha majeshi ya Russia kuingia nchi Ukraine katika majimbo Luhansk na Donetsk, ambayo...
  12. Mathanzua

    JamiiForums Tanzania The Ukrainian crisis has nothing to do with Ukraine. It’s about Germany and in particular, the gas pipeline which connects Germany to Russia

    “The primordial interest of the United States, over which for centuries we have fought wars:the First, the Second and Cold Wars, has been the relationship between Germany and Russia, because united, they’re the only force that could threaten us. And we have to make sure that doesn’t happen,”...
  13. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Angekuwepo Trump, Afghanistan ingekuwa chini ya Taliban? Kungekuwa na hii hali inayoendelea huko Ukraine / Russia?

    Ama kwa hakika naweza kusema Trump alimudu vingi sana licha ya kuchafuliwa sana na Media kubwa ambazo ni left wing kama cnn, bbc, al jazeera, msnbc, cbs, n.k. lakini Trump aliweza kufanya mambo mengi sana. Moja ya mambo aliyoyapa kipaumbele ni kupunguza misuguano ya uadui na kujikita zaidi...
  14. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Urusi inaweza kuivamia Ukraine muda wowote, Marekani yatoa angalizo, yataka raia wake waondoke Ukraine

    Marekani imeonya kuwa Urusi inaweza kuivamia kijeshi Ukraine muda wowote. Mshauri wa masuala ya usalama wa Marekani, Jake Sullivan amesema uvamizi huo unaweza ukaanza kwa makombora na mashambulizi ya anga. Tangazo la Marekani linatokana na taarifa mpya za kijasusi kuhusu kuongezeka kwa...
  15. Bess

    JamiiForums Tanzania Urusi yatiwa hofu na inteligesia ya Marekani kuhusu uvamizi Ukraine

    Wachambuzi wa medani za kivita wanasema kati ya mambo ambayo yamechelewesha Russia kuivamia Ukraine ni taarifa za kiintelijesia ilizonazo US zinazohusu mipango ya kuivamia Ukraine. Taarifa hizi, sio tu zinatokana na images za setilaiti bali ni zile ambazo zinatoka ndani kabisa ya jeshi la...
  16. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Marekani Sasa inatia huruma juu ya mzozo wa Ukraine, kauli za Joe Biden ni za kukata tamaa na hofu

    Zifuatazo ni kauli za Joe Biden na viongozi wengine baada ya kuona mzozo wa Ukraine na Urusi ni kina kirefu kwa Marekani kuvuka. 1-Marekani haitapeleka majeshi Ukraine! 2-Raia wa Marekani waondoke Ukraine Sasa! 3-Raia wa Marekani waondoke Ukraine mara moja kwani Marekani haitapeleka majeshi...
  17. Labani og

    JamiiForums Tanzania Rais Biden awataka raia wa Marekani kuondoka Ukraine. Vita vikianza hatatuma vikosi kuwaokoa

    Rais wa Marekani Joe Biden ametoa wito kwa raia wote wa Marekani waliosalia nchini Ukraine kuondoka nchini humo mara moja kutokana na kuongezeka kwa vitisho vya kuchukuliwa hatua za kijeshi za Urusi. Bw Biden alisema hatatuma wanajeshi kuwaokoa Wamarekani ikiwa Moscow itavamia Ukraine. Alionya...
  18. Labani og

    JamiiForums Tanzania Msimamo wa China kuhusu mgogoro wa Ukraine

    Wiki iliyopita, waziri wa mambo ya nje wa China Wang Yi alitaja masuala ya usalama ya Urusi kuwa "halali", akisema yanapaswa "kuchukuliwa kwa uzito na kushughulikiwa". Siku ya Jumatatu, balozi wa China katika Umoja wa Mataifa Zhang Jun alikwenda mbali zaidi na kusema moja kwa moja kwamba China...
  19. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Ukraine yaiomba Ujerumani silaha za kujilinda dhidi ya Urusi

    Ukraine imetuma ombirasmi kwa serikali ya Ujerumani kwa ajili ya msaada wa "silaha za kujihami", kwa mujibu wa ripoti ya gazeti. Katika barua iliyonukuliwa na Gazeti la Ujerumani la Süddeutsche Zeitung, ubalozi wa Ukraine umeiomba Berlin kutoa jibu la haraka, kutokana na hali tete ya kiusalama...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Je, Urusi itaivamia Ukraine

    LENGO LA PUTIN LIMEANGUKIA PUA? Putin alijua akitishia kuivamia kijeshi Ukraine Basi NATO wataogopa na kukubali matakwa ya Urusi ili asiivamie Ukraine. Malengo ya Urusi yalikuwa Kama ifuatavyo; 1. Marekani na Washirika wake wa NATO wasaini mkataba na URUS ambao utaipiga Marufuku nchi ya...
Back
Top Bottom