Vita vya ukraine huenda vikamfanya putin kufuata nyanyo michael gobachev 1991

Kifaru86

JF-Expert Member
Apr 22, 2017
1,734
3,802
Sasa Kama ilivyokuwa mwaka 1991 baada ya hali kuwa mbaya nchini urusi na nchi za kisoviet kipindi cha vita baridi vilipekea raisi wa urusi na kiongozi wa nchi za kisoviet kujiuzulu mwaka 1991

Je putin huenda akajiuzulu hali ikizidi kuwa mbaya kwa kama ilivyokuwa kwa michael gobachev alikubali matokeo mapema vp kuhusu putin atafuata nyayo za gobachev

Je putin huenda akajiuulu
 
... umoja na utangamano ndani ya Urusi unaenda kuwa mbaya zaidi kuliko ilivyokuwa kabla ya vita; kuna mabadiliko makubwa ya kisiasa na kijamii yanaenda kutokea ikiwamo utawala wa mkono wa chuma kufikia mwisho.

Naiona Urusi ya kidemokrasia mbeleni huko; Urusi isiyotawaliwa na maamuzi ya mtu mmoja au kakikundi ka wachache bali matakwa ya wananchi; Urusi isiyokuwa na "rais wa maisha" bali Urusi yenye viongozi waliowekwa na watu kwa ajili ya watu na sio madikteta yaliyojitawaza kuwa marais wa maisha.

Huyu fashisti amejigeuza waziri mkuu na rais mara kadhaa kabla ya kuona huo ni usumbufu hatimaye akabadili katiba atawale milele kwa raha zake. Hili chaka aliloingia hatoki salama.
 
Sasa Kama ilivyokuwa mwaka 1991 baada ya hali kuwa mbaya nchini urusi na nchi za kisoviet kipindi cha vita baridi vilipekea raisi wa urusi na kiongozi wa nchi za kisoviet kujiuzulu mwaka 1991

Je putin huenda akajiuzulu hali ikizidi kuwa mbaya kwa kama ilivyokuwa kwa michael gobachev alikubali matokeo mapema vp kuhusu putin atafuata nyayo za gobachev

Je putin huenda akajiuulu
Wewe Hali kuwa mbaya urusi umesikia wapi?
 
Putin kakosea Sana kuishambulia Ukraine na ndio mwisho wake ,Hii Vita lazma iondoke na viti vya watu
 
Gorbachev aliamini ndani Urusi nzima kuna mbadala wake, Putin aamini ikiwa kuna mbadala wake ndani ya Urusi.
moja ya Ma- Orgachi ambaye mali zake zimetaifishwa alinukuliwa akisema:, mataifa ya magharibi yanatuonea bure hawaijui nguvu inayoendesha Kremlin.
hii inatoa picha kwamba putin ndiye konda na ndiye dereva.
Hakuna kitu Kama icho Putin ana mwisho na Kim kiduku ana mwisho
 
Gorbachev aliamini ndani Urusi nzima kuna mbadala wake, Putin aamini ikiwa kuna mbadala wake ndani ya Urusi.
moja ya Ma- Orgachi ambaye mali zake zimetaifishwa alinukuliwa akisema:, mataifa ya magharibi yanatuonea bure hawaijui nguvu inayoendesha Kremlin.
hii inatoa picha kwamba putin ndiye konda na ndiye dereva.
Uchumi wa Urusi unamilikiwa na familia ya Putin.

Nimepata kuwafahamu hawa kina Putin kwenye familia yake kuna Generali wa jeshi tajili sana huwa anakuja kila mwaka kuwinda Tanzania, lile group huwa likija unaweza kuipata taswira halisi ya ukwasi walionao, na huwa wanasafiri na cash ya hatari, sijui hata hizi sheria za kiwango cha pesa za kusafiri nazo zinawalenga baadhi tu ya watu?
 
Sasa Kama ilivyokuwa mwaka 1991 baada ya hali kuwa mbaya nchini urusi na nchi za kisoviet kipindi cha vita baridi vilipekea raisi wa urusi na kiongozi wa nchi za kisoviet kujiuzulu mwaka 1991

Je putin huenda akajiuzulu hali ikizidi kuwa mbaya kwa kama ilivyokuwa kwa michael gobachev alikubali matokeo mapema vp kuhusu putin atafuata nyayo za gobachev

Je putin huenda akajiuulu

Nani kakwambia urusi kuna hali mbaya ?
 
Urusi itaibuka kutoka vita hivi ikiwa dhaifu na itajutia uamuzi huo.

Urusi itajutia uamuzi wake wa kuishambulia Ukraine, Waziri wa Ulinzi wa Marekani anayehusika na masuala ya sera, Colin Kahl aliwaambia waandishi wa habari katika kikao fupi siku ya Alhamisi.

"Nadhani kwa uhakika wa hali ya juu kwamba Urusi itaibuka kutoka Ukraine dhaifu kuliko ilivyoingia kwenye mzozo," alisema.

"Itakuwa dhaifu kijeshi, dhaifu kiuchumi, dhaifu kisiasa na dhaifu kijiografia, na kutengwa zaidi."

Aliongeza kuwa Warusi wanakosa makombora ya usahihi kutokana na mzozo huo wa mwezi mzima.

Kahl pia alisema kwamba tathmini ya mkakati ujao wa Marekani itaitangaza Urusi kama "tishio kubwa", lakini akaongeza kuwa nchi hiyo haileti changamoto ya muda mrefu kwa Marekani kama China.

Source:
Bloomberg, Bbc
 
Source BBC
 
Hakuna kitu kinafirisi kama vita, Warussia watuulize Tanzania hadi mawaziri wa Nyerere walikuwa na Kaunda Suit tatu tatu tu.
 
Back
Top Bottom