Vita Ukraine kuikosesha Liverpool Ubingwa

Maghayo

JF-Expert Member
Oct 5, 2014
13,742
29,139
Mzuka wanajamvi!

Uvamizi wa Urusi nchini Ukraine na kusababisha vita vikali baina ya Urusi na Ukraine kujilinda. Huenda ikasababisha Liverpool FC isichukue ubingwa wa EPL msimu huu wa 2021-22.

Ukizingatia uingereza ni mshirika wa karibu na Ukraine akimsaidia kwa silaha , hela, chakula na kupokea wakimbiz wa Ukraine. Urusi kupitia Rais wake Vladimir Putin ameonya hali hii ikaendelea atapeleka vita kwa wote wanaingilia mgogoro huu.

Vita hii bado mbichi na itaendelea ulaya yote hadi uingereza na kusimamisha shughuli zote pamoja na michezo.

Kwasasa Liverpool inaongoza kwa pointi mbili mbele ya Manchester city kwenye table ya EPL ikiwa na point 72 ikifuatiwa karibu na Manchester City ikiwa na pointi 70 ambayo ina mechi na Burneley baadaye.

Licha Man City kuwa nyuma ya liver kwa point mbili historia Inaonesha Liverpool ikiongoza ligi mwezi wa nne uwezekano wa kuwa bingwa ni mkubwa sana na hakuna kinachowazuia kama hali iko shwari.

Senior JF sports analyst and correspondent.

Cc Janjaweed Chaliifrancisco Erythrocyte
 
Liverpool haiongozi ligi, inayoongoza ni man city
Laivapulu wamecheza leo na man city pia ila
liver walitangulia kucheza so wakawa wanaongoza na baada ya city kucheza akashinda karudi tena 😎
 
Laivapulu wamecheza leo na man city pia ila
liver walitangulia kucheza so wakawa wanaongoza na baada ya city kucheza akashinda karudi tena
Muda niliocomment mm ligi alikua anaongoza city baada ya kufunga goli 1
 
Ambacho nime-"observe" mpaka sasa. Urus akitumia silaha zinazoruhusiwa tu, hawezi kuishinda vita Ukrain. Labda atumie silaha zisizoruhusiwa kama vile Nyuklia -Kemikali.

Wananchi wa Ukrain wamehamasika sana kuilinda nchi yao. Hatujui huko Urus je, wananchi nao wanajitolea kwenda kupigana Ukrain!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Mzuka wanajamvi!

Uvamizi wa Urusi nchini Ukraine na kusababisha vita vikali baina ya Urusi na Ukraine kujilinda. Huenda ikasababisha Liverpool FC isichukue ubingwa wa EPL msimu huu wa 2021-22.

Ukizingatia uingereza ni mshirika wa karibu na Ukraine akimsaidia kwa silaha , hela, chakula na kupokea wakimbiz wa Ukraine. Urusi kupitia Rais wake Vladimir Putin ameonya hali hii ikaendelea atapeleka vita kwa wote wanaingilia mgogoro huu.

Vita hii bado mbichi na itaendelea ulaya yote hadi uingereza na kusimamisha shughuli zote pamoja na michezo.

Kwasasa Liverpool inaongoza kwa pointi mbili mbele ya Manchester city kwenye table ya EPL ikiwa na point 72 ikifuatiwa karibu na Manchester City ikiwa na pointi 70 ambayo ina mechi na Burneley baadaye.

Licha Man City kuwa nyuma ya liver kwa point mbili historia Inaonesha Liverpool ikiongoza ligi mwezi wa nne uwezekano wa kuwa bingwa ni mkubwa sana na hakuna kinachowazuia kama hali iko shwari.

Senior JF sports analyst and correspondent.

Cc Janjaweed Chaliifrancisco Erythrocyte
Hii vita imeshapoa

Btw, Liverpool shines in crisis

Kama ilivyokua during covid

We will win epl Kwa tofauti ya point 5
 
Mzuka wanajamvi!

Uvamizi wa Urusi nchini Ukraine na kusababisha vita vikali baina ya Urusi na Ukraine kujilinda. Huenda ikasababisha Liverpool FC isichukue ubingwa wa EPL msimu huu wa 2021-22.

Ukizingatia uingereza ni mshirika wa karibu na Ukraine akimsaidia kwa silaha , hela, chakula na kupokea wakimbiz wa Ukraine. Urusi kupitia Rais wake Vladimir Putin ameonya hali hii ikaendelea atapeleka vita kwa wote wanaingilia mgogoro huu.

Vita hii bado mbichi na itaendelea ulaya yote hadi uingereza na kusimamisha shughuli zote pamoja na michezo.

Kwasasa Liverpool inaongoza kwa pointi mbili mbele ya Manchester city kwenye table ya EPL ikiwa na point 72 ikifuatiwa karibu na Manchester City ikiwa na pointi 70 ambayo ina mechi na Burneley baadaye.

Licha Man City kuwa nyuma ya liver kwa point mbili historia Inaonesha Liverpool ikiongoza ligi mwezi wa nne uwezekano wa kuwa bingwa ni mkubwa sana na hakuna kinachowazuia kama hali iko shwari.

Senior JF sports analyst and correspondent.

Cc Janjaweed Chaliifrancisco Erythrocyte
Kuongoza kwa kutangulia kucheza mchezo wa masaa ndiyo kuongoza? Hebu angalia msimamo wa ligi kijana halafu utuambie anaongoza wapi.
 
Back
Top Bottom