ukraine

  1. JanguKamaJangu

    Uturuki yajitolea kusaidia mazungumzo ya Ukraine na Urusi

    Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki amemwambia mwenzake Volodymir Zelensk wa Ukraine kwamba taifa lake lipo tayari kutoa kila usaidizi katika mchakato wa majadiliano kati ya Urusi na Ukraine. Ofisi ya Rais ya Uturuki imesema ahadi hiyo imetolewa wakati wa mazungumzo kwa njia ya simu baina ya...
  2. Ustadh tongwe

    Kama vita ya Ukraine ikiisha Leo hivi ndio Ukraine itakavyokuwa imebaki

    Inasikitisha sn nchi iliyokuwa na bandari yake wanalima wana export nje mazao leo kuanza maisha bila bandari, maana nnasikia puttin anataka kuunganisha huo mji wenye bandari uwe sehemu ya donbass.
  3. U

    Rais wa Ukraine alaani vikali ziara ya Katibu Mkuu wa UN jijini Moscow

    Russia-Ukraine live news: Zelenskyy slams UN chief’s Russia visit Ukraine’s president says ‘there is no justice and no logic’ to Antonio Guterres’s decision to travel to Moscow before he visits Kyiv. Ukraine's President Zelenskyy attends a news conference at a metro station in Kyiv [Gleb...
  4. Bata batani

    Kwanini Rais Putin anawaomba Wanajeshi wa Ukraine kusalender vita hii

    Tangu vita vimeanza hii ni week ya tatu putin amekuwa akisika mara kadhaa akiliomba jeshi la Ukraine na wanajeshi wa Ukraine kusalender vita hiii lakini bado madogo wanakomaa Je, ni kwanini Putin anawataka wanajeshi wa Ukraine kusalender?
  5. beth

    Zelensky: Ukraine ni mwanzo, Urusi inalenga Nchi zaidi

    Rais Volodymyr Zelensky ameonya kuwa uvamizi wa Urusi dhidi ya Nchi yake ulikuwa mwanzo tu, na kwamba malengo ya Moscow yanavuka Mipaka ya Ukraine Katika jitihada za kuleta Amani na kumaliza Vita inayoendelea, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres anatarajiwa kukutana na Marais wa...
  6. M

    Bajeti ya jeshi la Ukraine kwa Mwaka ni Dola 2.3 bilioni. Mpaka Sasa imepewa "msaada na Marekani zaidi ya Dola 3 bilioni.

    Kama ulishawahi kusikia msemo wa "machozi ya mamba", ndicho mabeberu wanakifanya kwa Ukraine! Mamba akikamata mawindo huwa anatoa machozi!! Hayo machozi ya mamba si dalili ya maumivu Bali ni kielelezo Cha kifurahia utamu wa mawindo aliyopata! Kumekuwa na makelele ya vilio Toka Nchi za magharibi...
  7. JanguKamaJangu

    Benki ya Dunia: Uvamizi wa Urusi dhidi ya Ukraine umesababisha hasara ya dola bilioni 60

    Uharibifu wa majengo na miundombinu ya Ukraine kutokana na uvamizi wa Russia umefikia hasara ya takriban dola bilioni 60 na utaongezeka zaidi kadri vita vinavyoendelea, Rais wa Benki ya dunia David Malpass amesema Alhamisi. Malpass ameuambia mkutano wa Benki ya dunia kuhusu mahitaji ya msaada...
  8. BlackPanther

    Poleni Sana Ukraine, siku zenu zinahesabika...

    Marekani na Nato wamemponza mwenzao, utampelekeaje Zelensky silaha na mindege! Ona sasa kilichomkuta huyu Comedian....hapa BlackPanther anahesabu siku za kuimega ukraine, Nawasubiri pro Americans a.k.a wazee wa kukaririshwa na kuaminishwa Propaganda za westerns... 🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺💪🏽💪🏽💪🏽💪🏽
  9. M

    Tujiulize: Kama Ukraine isingekuwa inapewa silaha kila siku na nchi za Magharibi kama ambavyo Urusi haipewi silaha na nchi yoyote, hali ingekuwaje?

    Nimekuwa nikijiuliza hali ingekuwaje kama mpambano kati ya Urusi na Ukraine ungekuwa MMOJA DHIDI YA MMOJA na wengine wakawa watazamaji tu. Ukraine wameshakiri kuwa sehemu kubwa ya silaha zake ziliharibiwa siku ya kwanza ya vita. Bila nchi za magharibi kumpatia ukraine silaha muda wote saa hii...
  10. beth

    Bilionea adai 90% ya Warusi hawaungi mkono vita inayoendelea Ukraine

    Bilionea Oleg Tinkov wa Urusi amelaani Vita inayoendelea Nchini Ukraine akidai ni 'wendawazimu' na 90% ya Warusi hawaiungi mkono kwani hakuna anayenufaika nayo Kupitia ukurasa wake wa Instagram Tinkov amependekeza Mataifa ya Magharibi kumpa Rais Vladimir Putin njia ya kutokea na kukomesha...
  11. lee Vladimir cleef

    Nionavyo Tena kwenye operation ya Urusi dhidi ya ukraine

    Baadhi ya watu wanadhani Urusi imekurupuka. Ukweli Urusi kila hatua kwa op hii ilipangwa. Urusi inaijua Marekani nje ndani kama ambavyo Marekani inaweza kuwa inaijua Urusi,kwa sababu ya historia ya nchi mbili hizi. Wengi hawajasoma juu ya "cold war". Kabla ya kuivamia Ukraine Urusi ilikua...
  12. M

    Kijeshi, Urusi imefeli vibaya sana huko Ukraine

    Ukiitazama hii vita katika jicho la kijeshi ni dhahiri urusi imefeli! Imefeli kwa sababu imeshindwa kufikia malengo yake ya uanzishaji hii vita! Lengo la Kijeshi la Urusi ilikuwa ni kuingia Kiev haraka, kukamata mji mkuu na kuuangusha utawala wa Zelensky. Lakini hadi leo hii takriban siku ya 60...
  13. Econometrician

    Vita vya Ukraine vyautikisa uchumi wa dunia - IMF

    Shirika la Fedha la Kimataifa, IMF, limeshusha makisio ya ukuwaji wa uchumi wa dunia mwaka huu, likisema uvamizi wa Urusi dhidi ya Ukraine umechangia kwenye kuichafuwa biashara ulimwenguni na kupandisha bei za bidhaa. Siku ya Jumanne (Aprili 19), IMF, ambayo ni mkopeshaji mkubwa kwa zaidi ya...
  14. K

    Urusi yaunda nchi ya tatu ndani ya Ukraine

    Serikali ya shirikisho la Urusi inaandaa kura ya maoni itakayolifanya jimbo la Kherson kuwa nchi kamili Mpaka sasa kura hiyo inatarajiwa kuungwa mkono na wapiga kura zaidi ya 95% kutokana na ukweli kuwa wakatoliki-waukraine wa eneo hilo kwa sasa washasepa zao. Endapo kura hiyo ikienda kama...
  15. Doncho kun

    Nini Hatma ya Ukraine baada ya Mzozo na Urusi?

    Sasa ni siku zaidi ya 50 ya kinachoitwa operation ya kijeshi inayofanywa na shirikisho la Urusi ambapo upande unaoshambuliwa (Ukraine) umejaribu kila namna kuzuia mashambulizi makali ikiwa ni pamoja na kuomba mataifa ya Magharibi kuiwekea vikwazo Urusi, kuharibu zana za kivita za Urusi na...
  16. TODAYS

    Zelensky aonya kuwa Dunia inapaswa kuwa tayari kwa uwezekano wa Urusi kutumika silaha za nyuklia

    Hii ni kauli ya rais wa Ukraine ndugu Volodymyr Zelensky alipokuwa anahojiwa juu ya vita inayoendela kwamba mwamba anaweza kugeukia silaha za nyuklia au za kemikali kwa sababu hathamini maisha ya watu wa Ukraine. "Sio mimi tu bali ulimwenguni wote, nchi zote lazima ziwe na wasiwasi kwa sababu...
  17. tpaul

    Uhakika: Jinsi Vita ya Urusi na Ukraine Itakavyokwamisha Upandishaji wa Mishahara ya Wafanyakazi

    Dodoma, Jumapili 17/4/2022 Vita ni shida. Vita ni taabu. Vita ni balaa. Nani angeweza kutabiri kwamba vita kati ya Urusi na Ukraine ingeathiri uchumi na kuvuruga mipango ya maendeleo ya serikali kiasi hiki? Sasa ni dhahiri kuwa vita hii imepelekea mdororo wa uchumi wa taifa. Uchumi wa taifa...
  18. MK254

    Licha ya mikwara ya Urusi, Marekani ametangaza msaada wa kijeshi $800 million kwa Ukraine

    Putin alimtumia Marekani barua kwamba akiendelea kusaidia Ukraine kijeshi asubiri kitakachotokea, Marekani amejibu kwa kutoa msaada wa kufa mtu, dola milioni 800 sio mchezo aki ya nani huu ni uchokozi, masheikh wa JF pro Putin brigade hii imekaa vipi. =========== With a Russian offensive is...
  19. JanguKamaJangu

    Wakristo duniani washerehea sikukuu ya Pasaka, Papa alaani ‘ukatili’ Nchini Ukraine

    Mamilioni ya waumini wa dini ya Kikristo duniani leo Aprili 17, 2022 wanasherehekea Sikukuu ya Pasaka kukumbuka kufufuka kwa Yesu Kristo baada ya kusulubiwa msalabani zaidi ya miaka 2000 iliyopita. Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis, ameutumia ujumbe wake wakati wa misa ya mkesha...
  20. Anakata

    Retired Swiss Military-Intelligence Officer: 'Is it Possible to Actually Know What Has Been And is Going on in Ukraine?'

    The Military Situation In The Ukraine by Jacques Baud March 2022 Part One: The Road To War For years, from Mali to Afghanistan, I have worked for peace and risked my life for it. It is therefore not a question of justifying war, but of understanding what led us to it. Let's try to examine...
Back
Top Bottom