ukraine

  1. Jackal

    Tetesi: Orodha ya Maafisa wa ngazi za juu wa Urusi waliouawa, kujeruhiwa na kutekwa na Jeshi la Ukraine

    List of KIA/WIA/MIA Russian Officers Killed list: Lieutenant General Yakov Vladimirovich Rezantsev, Commander, 49th Combined Arms Army, Southern Military District (killed Mar 24) Lieutenant General Andrey Nikolayevich Mordvichev, Commander, 8th Guards Combined Arms Army (Novocherkassk)...
  2. BigTall

    UN: Raia wa kawaida waliouawa Ukraine ni zaidi ya 3,000

    Umoja wa Mataifa (UN) kupitia kitengo cha Haki za Binadamu imetolewa taarifa kuwa idadi ya vifo vya raia wa kawaida wanaofariki katika vita Nchini Ukraine imezidi 3,153 tangu kuvamiwa kijeshi na Urusi, Februari, 2022 Imeelezwa kuwa vifo vingi vimetokana na mashambulizi ya makombora ya ardhini...
  3. MakinikiA

    Wanasubiriwa raia watoke katika kiwanda cha vyuma Mariupol kisha vitu vizito vya Urusi vinadondoshwa kwa askari 2000 wa Ukraine waliopo

    Vita Ukraine: Raia wa Ukraine waokolewa katika kiwanda cha kutengenezea vyuma Mariupol ikumbukwe ni kama wiki mbili zimepita wakiwa chini ya handaki raia 1000 na askari 2000 na tangu Putin alivyotaka askari wa ukraine wajisalimishe wakagoma ndipo Putin akaagiza hakuna kitu chochote kutoka au...
  4. ngajapo

    Ukraine wasipokuwa makini wakiendelea kufuata ushauri wa magharibi taifa lote litapotea..

    Wana JF tumekuwa wachangiaji wazuri sana wa mijadala juu ya vita inayoendelea huko ulaya kati ya mafahari watatu yaani Urusi, NATO na Ukraine.. mpaka tumefikia hatua tunabishana as if ni simba na yanga... yaani hata timu iwe mbovu hatuachi kuunda sentensi zenye propaganda nyingi ili mradi tu...
  5. MK254

    Putin hakujifunza baada ya kilichomkuta Ukraine, ameamsha ugomvi mwingine na Japan

    Baada ya vita vya pili vya dunia, Urusi na Japan hawakutia saini mkataba wa kumaliza vita, ina maana mpaka leo hayo mataifa mawili yako vitani licha ya kuishi kwa amani, wamekua wakiongea na kuelewana kimsingi na kwa namna ya kusaini mkataba. Sasa juzi Urusi imekwenda kuvamia nchi ya watu...
  6. 5

    Spika wa Bunge la Marekani atua Ukraine na aapa US kuisaidia Ukraine mpaka vita itakapoisha

    Nancy Pelosi pledges US support until 'fight is done' Nancy Pelosi pledges US support until 'fight is done'Close The speaker of the US House of Representatives, Nancy Pelosi, has met the Ukrainian president, Volodymyr Zelensky, in Kyiv. Ms Pelosi said Ukraine was fighting for everyone's...
  7. 5

    Mamlaka za Ukraine zatangaza kuuwawa kwa Generali mwengine wa Urusi

    Ukrainian authorities say that Russian Maj. Gen. Andrei Simonov was killed near the city of Izyum of the northeastern region of Kharkiv. National Guard units reported on April 30 that they spotted a field command post of the Russian 2nd Army in the area and passed the coordinates on to the...
  8. Webabu

    UK na US waanza kupoteza askari Ukraine wakati Urusi ikikazia kutumia Nyuklia

    Msemaji mkuu wa chombo cha habari cha Urusi RT bi Margarita Simonyan, amesema wakati mataifa ya Nato yakitafuta kuishinda Urusi katika vita lakini wajue kuwa Urusi haitakuwa na njia nyengine isipokuwa kuangamiza sehemu iliyobaki ya Ukraine kwa sialaha za nyuklia. Wakati huo huo Marekani na...
  9. beth

    Ukraine yaishutumu Urusi kwa wizi wa nafaka

    Ukraine imeishutumu Urusi kwa kuiba Nafaka Nchini humo ikisema kitendo hicho kinaongeza tishio la hali ya Chakula Duniani. Wizara ya Mambo ya Nje imedai Urusi inaiba mazao kutoka kwa Wakulima katika eneo la Kherson Sehemu ya Taarifa ya Wizara inasema, "Kupitia vitendo vyake haramu, Urusi...
  10. JanguKamaJangu

    Rais Biden aliomba Bunge kuidhinisha dola bilioni 33 kuisaidia Ukraine kukabiliana na uvamizi wa Urusi

    Rais wa Marekani, Joe Biden ameliomba Bunge la Marekani kuidhinisha msaada wa ziada wa dola bilioni 33 kwa lengo la kuisaidia Ukraine wakati huu inapokabiliwa na uvamizi wa Urusi. Rais Biden amesema kuwa lengo sio kuishambulia Urusi bali kuisaidia Ukraine, ambapo msaada huo unahusisha dola...
  11. S

    Kwa akili ya kawaida, itawezekana nchi za Ulaya Magharibu na Marekani kuiruhusu Russia kuikalia Ukraine au kuweka kibaraka wake?

    Nitakuwa wa mwishi kuamini hili litatokea kwa usalama wa nchi za NATO na Marekani maana kufanya hivyo, ni kuweka usalama wa nchi hizo rehani jambo ambalo kamwe hawatalikubali na ndio maana wanalazimika kumsaidia Ukraine wazi wazi hivi sasa. Hii vita inaweza kuchukua muda mrefu kinyume na...
  12. mitale na midimu

    Tabiri nini matokeo ya Vita vya UKRAINE na Hatma ya dunia

    Kwa mtazamo wangu 1: Hakutakuwa na WW3 2: Russia hatatumia Nuclear wala Ukraine haitajisalimisha. Russia itachoka, na wataingia makubaliano ya kusitisha vita ikiwa hoi kabisa na majeraha mengi bila kutumia Nyuklia zake. 3: USA atakuwa na nguvu kubwa kuliko MTU au taifa lolote kuliko hapo...
  13. ngajapo

    Urusi kwa mara nyingine yatoa onyo kwa Mataifa makubwa kutoingilia mipango yake Ukraine

    Rais mzee baba Vladimir Putin ameonya vikosi vya nje dhidi ya kuingilia mzozo wa Ukraine, na kuahidi jibu la "kasi ya umeme" kwa vitendo kama hivyo, huku akiahidi kutumia siraha zenye matumizi ya juu zaidi za Moscow. "Iwapo mtu ataamua kuingilia kati matukio yanayoendelea kutoka nje na kuunda...
  14. M

    Marekani kutumia nguvu zote ili kuishinda Urusi, bila kuhatarisha damu ya askari yeyote wa Marekani hadi tone la mwisho la damu ya watu wa Ukraine

    Wamarekani ni wabaya! Wameamua kuingia vitani na Urusi kwa kutumia nguvu zao zote kwa maana ya zana za kivita na pesa, lakini hawako tayari kumwaga hata damu ya mtu mmoja wa Marekani hadi tone la mwisho la damu ya watu wa ukraine!! Marekani hawajali Ukraine ikiangamizwa na Urusi, wanachohitaji...
  15. LUKAMA

    Vita vya Ukraine: Urusi yaharibu miundombinu ya reli kuzuia silaha za kigeni kuingia Ukraine

    Urusi iligonga miundombinu ya reli kote Ukraine siku ya Jumatatu kwa lengo la kuzuia usambazaji wa silaha za kigeni, huku Marekani ikitangaza kuwa itatoa silaha zaidi licha ya pingamizi la Moscow. Takriban watu watano waliuawa na 18 kujeruhiwa katika mashambulizi ya Urusi katika eneo la...
  16. Vikao vya Harusi

    Vita ya Ukraine na kisasi cha USA kwa Urusi

    Nimetafakari sana juu ya misada inayotolewa kila uchao na Marekani kwenda Ukraine, na jambo Moja limenijia kichwani, VITA YA SYRIA, tunakumbuka wakati utawala wa Assad ulivyokaribia kuporomoka Baada ya kupata mashambulizi mazito Toka Kwa ISIS(ISLAMIC STATE OF IRAQ AND SYRIA), kundi la kigaidi...
  17. beth

    Urusi yaonya kuhusu hatari ya WW3 kutokea

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi, Sergey Lavrov amesema kuwa Mazungumzo ya Amani na Ukraine yataendelea, huku akionya kuwa hatari ya Vita ya Tatu ya Dunia ni kubwa na haiwezi kudharauliwa Lavrov amemshutumu Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky kwa kujifanya anataka majadiliano. Pia, amekosoa...
  18. Z

    Marekani, unachokifanya juu ya vita ya Russia na Ukraine si kuanzisha vita 3 ya dunia, uko tayari?

    Kama ungekuwa na busara ungewaita Rais Putin na Zelensky meza moja kujadiliana namna ya kumaliza vita hii lakini umeamua kuwa upande wa Ukraine. Huu ni ujinga mkubwa sana, unachochea uanzishwaji wa vita vya tatu ya dunia. Uko tayari? Acha kiburi Marekani, ndiyo maana afande sele alikuambia ule...
  19. britanicca

    Intelligence ya UKRAINE katika Vita hii imekuwa nzuri na yenye Ufasaha kuzidi ya Urusi

    Nipo nasoma soma taarifa fulani na kuzufanyia analysis, nikakutana na taarifa ya huyu Gen. Oleg Mityaev huyu alikua ni General wa 4 wa Russia kuuawa vitani Ukraine. Kufa kwa mmoja au wawili ni hali kawaida vitani, lakini kufa kwa Generals 9 si jambo la kawaida. Ikumbukwe, Russia iliteua...
  20. M

    Ukraine yafanya mashambulizi ndani ya Urusi tena karibu na Moscow

    Defenders wa Ukraine wafanya mashambulizi ndani Urusi. Mashambulizi hayo ni ya makombora ambayo yamelipua vituko vya mafuta na kuleta mlipuko mkubwa katika Jimbo la Druzhba oil depot in Bryansk kilomita 240 kutoka Moscow. Milipuko hiyo imetokea kwenye storage muhimu za mafuta ambaya ndio...
Back
Top Bottom