Urusi yaonya kuhusu hatari ya WW3 kutokea

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi, Sergey Lavrov amesema kuwa Mazungumzo ya Amani na Ukraine yataendelea, huku akionya kuwa hatari ya Vita ya Tatu ya Dunia ni kubwa na haiwezi kudharauliwa

Lavrov amemshutumu Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky kwa kujifanya anataka majadiliano. Pia, amekosoa mbinu za Kyiv kwenye Mazungumzo ya Amani akisema Nia njema ina mipaka yake, na kama haipo kwa pande zote mbili, haisaidii mchakato wa mazungumzo hayo

=======

Russia on Monday warned the Ukraine conflict risked escalating into a third world war and accused Kyiv of playing at peace talks a day after visiting US officials said Ukrainian forces could beat back Moscow's invasion.

The conflict has triggered an outburst of support from Western nations that has seen weapons pour into Ukraine to help them wage war against Russian troops.

Speaking to Russian news agencies, Russian Foreign Minister Sergei Lavrov criticised Kyiv's approach to floundering peace talks, saying the risk of a World War III "is serious".

"It is real, you can't underestimate it."
While he said talks with Kyiv would continue, Lavrov accused Ukrainian President Volodymyr Zelensky of "pretending" to negotiate, adding: "You'll find a thousand contradictions."

For months, Zelensky has been asking Ukraine's western allies for heavy weapons -- including artillery and fighter jets -- vowing his forces could turn the tide of the war with more firepower.

The calls appear to be resonating now, with a host of NATO countries pledging to provide a range of heavy weapons and equipment, despite protests from Moscow.

"The first step in winning is believing that you can win," Pentagon chief Lloyd Austin told a group of journalists after he and Secretary of State Antony Blinken met Zelensky in Kyiv.

"We believe that we can win -- they can win -- if they have the right equipment, the right support."

The highly sensitive US trip by two of President Joe Biden's top cabinet members came as fighting continued across Ukraine, casting a long shadow over Easter celebrations in the largely Orthodox country.

- Zelensky hails resistance -
"Thanks to the courage, the wisdom of our defenders, thanks to the courage of all Ukrainians -- our state is a true symbol of the struggle for freedom," Zelensky said in his evening address vowing victory.

Following a weekend full of fighting, at least five people were killed and another 18 injured on Monday after a Russia rocket attack targeted railway infrastructure in the central Ukraine region of Vinnytsia.

On Monday, the governor of a Russian region bordering Ukraine accused Kyiv of bombing one of its villages, injuring two civilians and damaging several houses.

"A village was targeted... It is already clear that there are injured civilians," Belgorod region governor Vyacheslav Gladkov wrote on Telegram.

Russia in recent weeks has accused Ukrainian forces of striking targets on Russian soil, including two villages in Belgorod and another in the region of Bryansk.

The governor of the Kursk region near Ukraine also said Russian forces had shot down two Ukrainian drones in the early hours of the morning.

UK Defence Secretary Ben Wallace announced Monday that Britain would send Ukraine armoured vehicles able to fire missiles against Russian warplanes.

"These Stormer vehicles will give Ukraine forces enhanced short-range anti-air capabilities both day and night," he said.

The United States has been a leading donor of finance and weaponry to Ukraine, and a key sponsor of sanctions targeting Russia.

But it had not previously sent top officials to Kyiv. Several European leaders have already travelled there to underscore their support.

"Many countries are going to come forward and provide additional munitions and howitzers. So we're going to push as hard as we can, as quickly as we can, to get them what they need," Austin said.

Blinken and Austin also said US diplomats would begin a gradual return to Ukraine this week and announced $700 million (653 million euros) in additional military aid.

- Supply lines hit -
Forty German diplomats will meanwhile be heading home from Russia after Moscow announced their expulsion, following Berlin's decision to kick out 40 Russian diplomats earlier this month.

From The Hague, the International Criminal Court's chief prosecutor is to join an EU investigations team to probe "alleged core international crimes committed in Ukraine", officials said.

Russia's air force targeted 82 Ukrainian military sites, including four command posts and two fuel depots, and the army fired high-precision missiles at 27 targets in their latest attacks, the Russian defence ministry said on Monday.

The Ukrainian defence ministry said Russia was continuing to hit infrastructure and supply lines bringing military assistance from Ukraine's partners.

Ukraine's second city Kharkiv remains partially surrounded and Moscow's forces are regrouping in the south, but a Russian attempt to break through towards Zaporizhzhia in the east failed, the ministry added.

Russia on Monday accused Kyiv of preventing civilians trapped with Ukrainian soldiers in Mariupol's Azovstal steelworks from leaving the besieged industrial centre despite a ceasefire announcement.

The defence ministry had said it would allow a civilian evacuation from Mariupol's sprawling steel plant, which has been sheltering the remaining Ukrainian resistance in the southeastern port city
But the Russian army on Monday evening said no one used the proposed humanitarian corridor.

A video posted by the far-right Azov Regiment, whose fighters are based in Azovstal, showed war-weary women and children sheltering in the plant's underground bunkers, pleading for relief.

"There are 600 people here. No water, no food. What are we going to do here? How long will we stay here?" asked one woman.
"We haven't been out for two months now. I don't even know what the weather is like there. It feels like it's still February 28," said another woman.

Mariupol, which the Kremlin claims to have "liberated", is pivotal to Russia's war plans to forge a land bridge to Russian-occupied Crimea -- and possibly beyond, as far as Moldova.
 
Kama mtu anamsaidia Adui yako Maslaha mazito mazito...Anakesha anampa mbinu za kukumaliza huyo ni Adui pia..Udhaifu wa Urusi katika hii vita ni mkubwa ameshindwa kabisa kufunga anga la Ukraine au kupiga Hayo Maslaha yanayoletwa maana yanakuja na Ndege au Treni hizo ndio Target yakiingia tu piga sasa hii kulia liaa ooh Nuclear itasaidia nn?? Hii ni vita rasmi kati ya US na Urusi ni jambo moja tu Russia ajue anapigana na hizo nchi zote ajihami..
 
Ukraine: Amepewa masharti ya kumaliza vita, hayafati, anaomba silaha zaidi lakini pia anaomba mazungumzo na adui.😃.

Hapa lazima Urusi ashindwe kuelewa kuwa anataka mazungumzo au anajifanya anataka mazungumzo? Jibu amelitoa waziri wa mambo ya nje wa Urusi.
 
Ukraine: Amepewa masharti ya kumaliza vita, hayafati, anaomba silaha zaidi lakini pia anaomba mazungumzo na adui.😃.

Hapa lazima Urusi ashindwe kuelewa kuwa anataka mazungumzo au anajifanya anataka mazungumzo? Jibu amelitoa waziri wa mambo ya nje wa Urusi.
Jamaa naona anacheza usanii wake sasa anajifanya anataka mazungumzo huku anachukua silaha kwa mapambano
 
Jamaa naona anacheza usanii wake sasa anajifanya anataka mazungumzo huku anachukua silaha kwa mapambano
Tangu mwanzo amekuwa akifanya hivi. Analia akipigwa na pia analia akipiga, huku duniani watu wanaona anayepigwa ni yeye tu sababu ndiye anayelia kwa nguvu. Kama ni kweli anapigwa tu, angeshasalimu amri na kufata masharti.

Urusi ni kama vile hapigwi, kila baya linalowakuta ni hitilafu na si shambulio. Lile la elkopta kushambulia kituo walisema ni Ukraine halafu Ukraine akalia kuwa hausiki ni Urusi anataka sababu za kusitisha mazungumzo ya Amani.
 
Tangu mwanzo amekuwa akifanya hivi. Analia akipigwa na pia analia akipiga, huku duniani watu wanaona anayepigwa ni yeye tu sababu ndiye anayelia kwa nguvu. Kama ni kweli anapigwa tu, angeshasalimu amri na kufata masharti.

Urusi ni kama vile hapigwi, kila baya linalowakuta ni hitilafu na si shambulio.
Tusubirie manyuklia yalipuke yenyewe apo kwao watasema na yenyewe ni hitilafu. Maana wanaweza USA na UK wakachokonoa system zao ili hayo manyuklia yalipuke yenyewe
 
Tusubirie manyuklia yalipuke yenyewe apo kwao watasema na yenyewe ni hitilafu. Maana wanaweza USA na UK wakachokonoa system zao ili hayo manyuklia yalipuke yenyewe
Hahaha.
 
Nuke wanazo wengi. Akibonyeza Moscow inakuwa majivu nusu saa tu. Ni chizi peke yake ndiyo anaweza kutumia nuke
Hakuna mtu mwenye ubavu wa kuanzisha vita vya nuclear na nchi inayoongoza kwa wingi na ukubwa wa nuclear.
Russia atapiga nuke ukraine akiamua na yoyote atakayejaribu kumjibu russia basi huo ndio utakuwa mwisho wake na wa dunia kiujumla.

Marekani wanalijua hili ndio maana hawawezi kutia mguu direct Ukraine.
 
Back
Top Bottom