Vikao vya Harusi
JF-Expert Member
- Sep 19, 2012
- 512
- 140
Nimetafakari sana juu ya misada inayotolewa kila uchao na Marekani kwenda Ukraine, na jambo Moja limenijia kichwani, VITA YA SYRIA, tunakumbuka wakati utawala wa Assad ulivyokaribia kuporomoka Baada ya kupata mashambulizi mazito Toka Kwa ISIS(ISLAMIC STATE OF IRAQ AND SYRIA), kundi la kigaidi ambalo wataaalamu wa mambo wanadai walikuwa ni mamluki waliotengenezwa na Mossad pamoja na CIA Ili kudhoofisha mataifa ya mashariki ya kati hasa yaliyokuwa na mlengo wa kulia, Urusi iliingilia kati na kuweza kumsaidia Assad Kwa silaha Kali za kivita kama zile zinazotolewa na USA kwenda Ukraine.
Ubia huo wa Urusi na Iran dhidi ya mamluki wa Marekani ndani ya ardhi ya Syria uliweza kumalizia kabisa vita baina ya serikali ya bwana Assad na ISIS. Kilichonijia akilini Sasa Hivi ni kama Marekani anataka kulipiza Yale yaliyoshindikana Syria Kwa mgongo wa Ukraine.
Swali kubwa ni je ATAWEZA? na vipi kuhusu uwezekano wa matumizi ya nuclear dhidi ya Ukraine Toka upande wa Urusi hasa pale Marekani atavyopeleka wanajeshi huko Kyiv? Vipi kuhusu marafiki wa Urusi ambao wameshaanza kufanya military drills kila kukicha?
Vipi kuhusu Marekani kupunguza maadui Baada ya kutaka kufufua mkataba wa Iran uliokuwa unakaribia kufa? Vipi kuhusu Marekani kutafuta uungwaji mkono na brazili hasa katikat zama hizi!
Vipi kuhusu North Korea kupiga zoezi la ICBM zinazoweza kufika New York in no time. Nadhani ni muda wa Urusi kuondelewa vikwazo, Donbass Liwe taifa huru, Iran afuate masharti ya mktaba na Taiwan iache kujishikilia Marekani. Wabillah Tawfeq