ukosefu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Ukosefu wa maarifa ni chanzo cha upotevu wa pesa wakati wa ujenzi

    UKOSEFU WA MAARIFA NI CHANZO CHA UPOTEVU WA PESA WAKATI WA UJENZI. Faida za kununua full package ya Ramani Kabla ya Kuanza Ujenzi. 1. Unakuwa na uhakika na Nyumba ya Ndoto Yako itakavyokuwa. 2. Fundi hatoikosea Nyumba ikiwa anajua kuitafsiri Ramani na Kama hajui Iwapo ukiwa umenunua Kwangu...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Basilla amwambia Rais Samia “Kuvujisha Siri ni utovu mkubwa wa maadili ila kufanya yanayovujishwa ni ukosefu mkubwa zaidi”

    Aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Basilla Mwanukuzi na Miss Tanzania wa Mwaka 1998 amezungumzia mambo kadhaa kuhusu kauli za WanaCCM wenzake, msome hapa… Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa heshima na taadhima na upendo mkuu kwako ❤🇹🇿 Kuvujisha Siri ni utovu mkubwa wa maadili,na...
  3. Tauceti Rigel

    JamiiForums Tanzania Ukosefu wa Mijadala ya Falsafa ya Maisha baina ya Waafrika Inanipa Wasiwasi Tofauti Yetu na Sokwe ni Kwamba Sisi Ni Sokwe Tuliochangamka

    Tangu nilipoanza kujitambua na kupitia misukosuko ya utu uzima, nimejikuta nikivutwa na hitaji la kutafakari maisha ya binadamu kiujumla — si kwa mtazamo wa mafanikio binafsi, bali kwa namna ambavyo maisha yetu yameumbika kama jamii, kama viumbe wenye akili. Maswali haya yamekuwa yakijirudia...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG: TANROADS na TARURA wabainika na mapungufu makubwa, Usalama wa barabara hatarini kwa ukosefu wa bajeti

    Ukaguzi wa kiufundi wa ufungaji na matengenezo ya vifaa vya barabarani na ishara za mawasiliano ya barabara uliofanywa kwa TANROADS na TARURA umebaini mapungufu katika upangaji wa miradi, usimamizi wa mikataba, na matengenezo, hali ambayo imeathiri kwa kiasi kikubwa usalama wa barabara na...
  5. Masalu Jacob

    JamiiForums Tanzania Suluhisho la ukosefu wa Ajira Tanzania: Tuwape Wahitimu wote hii kitu "Graduate Card"

    Habari Tanzania ! Naomba kuweka wazo langu hapa jukwaani. Nawaomba taasisi za Elimu ya kati na juu kupitia Wizara ya Elimu mkaja na hii huduma kwa hawa vijana wanaohitimu chuo hususani ngazi ya kati na juu ( Diploma & Degree holders) tuwapatie kadi maalumu kwaajili ya kupata kibali cha ajira...
  6. Mwanongwa

    JamiiForums Tanzania KERO Kata ya Kijombe (Njombe) bado uhaba wa Maji ni tatizo kubwa, Mamlaka ya WANGIWASA fanyieni kazi hii

    Licha ya sisi Wananchi kulalamika kila mara lakini ni kama Mamlaka zinazohusika zimeziba masikio, kwa kuwa haitusikii, wanatatuaje kilio chetu. Kwenye kata yetu ya Kijombe, Wilaya ya Wanging'ombe hapa Njombe uhaba wa maji ni kilio kikubwa kwa baadhi ya Wananchi hali inayosababisha kutumia maji...
  7. dorge

    JamiiForums Tanzania Ukosefu wa ajira sio walimu pekee

    Miaka ya 2010 nikamaliza degree yangu ya pili baada ya ile ya awali kutonipa manufaa. Kwa kuwa nilisoma nikiwa na cheki namba haikunipa shida kuhamia wizara nyingine kama mtaalam wa nilichokwenda kusomea. Idadi ya wahutimu vijana ni kubwa mno, na sio walimu ni kada nyingine kabisa. Wakati huu...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Bunge la Afrika Mashariki (EALA) limesitisha Shughuli zake kwa Ukosefu wa fedha

    10 February 2025 Arusha, Tanzania EALA yasitisha shughuli kwa sababu ya shida ya pesa Na Wycliffe Nyamasege Tarehe 9 Februari 2025 saa 03:31 Bunge la Afrika Mashariki (EALA) limesitisha shughuli zake kwa nusu ya kwanza ya 2025 kutokana na tatizo kubwa la fedha. Uamuzi huo uliofikiwa wakati...
  9. Akilindogosana

    JamiiForums Tanzania Ukosefu wa ajira kwa vijana, kutasababisha ongezeko kubwa la uhalifu

    Ukosefu wa ajira kwa vijana, kutasababisha ongezeko kubwa la uhalifu.
  10. Mikopo Consultant

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati wa Tanzania wanaugua ugonjwa wa ukosefu wa 'logical thinking'; haimaanishi harakati ni mbaya, tuwasaidie

    Harakati Harakatini Msingi mkubwa wa haki za binadamu ni mapokeo ya Universal Declaration of Human Rights ya mwaka 1948 ambapo humo kuna vipengele 30 vya hizi haki za binadamu. Ni document ya page 8; yeyote anaweza kuisoma na kujionea kilichomo. Ukipitia hiyo document ya haki za binadamu...
  11. S

    JamiiForums Tanzania KERO Ukosefu wa Maji Baadhi ya Wananchi Mtaa wa Luguruni Wilaya ya Ubungo

    Ukosefu wa Maji Baadhi ya Wananchi Mtaa wa Luguruni Wilaya ya Ubungo Tangu Februari 2024, baadhi ya wananchi wa Mtaa wa Luguruni tumekutana na tatizo la ukosefu wa huduma ya maji. Tumeshajaribu kuwasiliana na DAWASA ili kutafuta ufumbuzi, lakini hadi sasa hatujapata hatua za vitendo wala...
  12. Suley2019

    JamiiForums Tanzania BBC: Mapinduzi ya mafuta Tanzania yamekwama kutokana na ukosefu wa vituo vya mafuta

    Mapinduzi ya nishati ya magari yanazidi kushika kasi nchini Tanzania, lakini ukosefu wa vituo vya kujazia gesi unalifanya mchakato huo kusuasua. Kama ilivyo kwa Nigeria na baadhi ya nchi nyingine barani Afrika, Tanzania imeanza kukumbatia gesi asilia iliyoshindiliwa (CNG) kama mbadala wa...
  13. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania "Mama anatosha" Ni ukosefu Mkubwa wa Maadili wa Vijana wa sasa

    Unapata wapi Ujasiri wa kumwambia Baba yako kuwa Mama yako anatosha asiongeze mwanamke mwingine? Zamani ilikuwa ngumu sana kuona au kusikia jambo kama hilo. Jamii nzima itakushangaa. Kwa Wamila au Waislamu wanaruhusiwa wake mpaka wa 4. Wewe unaanzaje kumwambia babayo kuwa mama yako anatosha...
  14. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu ameanza kupuuzwa, umaarufu wake umeshuka kwa kasi mno

    Muungwana haaminiki tena, Idadi ya waliokua wakifuatilia siasa zake imeshuka na hakuna mtu anae mtilia maanani tena. Wanampuuza tu na kumuona kama mtu mwenye chuki moyoni alizokua nazo tangu siku nyingi dhidi ya viongoz wenzake Chadema. Ameonekana ni kama mtu manafiki mwenye makusudi ya...
  15. Insidious

    JamiiForums Tanzania KERO Ukosefu wa maji Tabata, DAWASA hawatoi taarifa yeyote; kwako Aweso

    Naandika haya malalamiko rasmi kwenda kwa Rais wa Januhuri Muungano wa Tanzania na Waziri wa maji, kuhusu kukosekana kabisa kwa usambazaji wa maji eneo la Tabata kwa kipindi cha zaidi ya mwezi mmoja sasa Kukosekana kwa maji kwa muda mrefu kumegusa maisha yetu ya kila siku na kumeunda hatari...
  16. S

    JamiiForums Tanzania KERO Ukosefu wa mawasiliano katika Kijiji cha Msamba kata ya Ninde wilaya ya Nkasi Mkoani Rukwa

    Tunaomba wizara ya mawasiliano itusaidie kutatua changamoto ya mawasiliano.tunateseka,
  17. M

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Kimara na kata zake hawana maji zaidi ya wiki sasa, DAWASA hamuelezi maji yatatoka lini!

    Uongozi wa mamlaka ya maji safi jijini Dar-es-salaam hautoi taarifa ni lini huduma ya maji safi itarejea Kimara na kata zake zote kwa ujumla. Wanawake na watoto wanasumbuka kutembea umbali mrefu kusaka maji bila ya mafanikio. Tunaitaka mamlaka ya maji Dar-es-salaam (DAWASA) kutuelezea ni lini...
  18. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Ukosefu wa "Siasa Safi" Afrika ndo chanzo cha Umaskini

    Afrika kote tunafanana kwa tabia zetu za kizombi. Siasa Safi inawekwa Kapuni na wachache. Watu wanapiga bila kupingwa. NB: poleni FRELIMO, SWAPO na Vyama vyote rafiki.
  19. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Tusimung'unye maneno, tatizo la ukosefu wa ajira hapa nchini Tanzania ni matokeo ya utawala wa Magufuli

    Hello! Najua kuna watu huwaambii kitu kuhusu Magufuli lakini ngoja niwaambie hata kwa ubabe. Tatizo la ajira ni global issue lakini kwa Tanzania halikupaswa kutokea sasa, lilipaswa lianze angalau 2030. Baada ya kuingia Magufuli Ikulu na kuwa Rais cha kwanza kabisa akaenda kupambana na...
  20. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mikumi: Kata 8 hazijaanza kupiga kura, msimamizi adaiwa kutopokea simu

    Wakati zoezi la upigaji wa kura za kuchagua viongozi mbalimbali wa serikali za mitaa likiwa limeanza tangu saa 02:00 asubuhi nchini, hali ni tofauti kwa jimbo la Mikumi, wilayani Kilosa, mkoani Morogoro ambapo inadaiwa kuwa kata nane (8) kati ya 15 za jimbo hilo zoezi la upigaji wa kura...
Back
Top Bottom