Kuiga Biashara: Ukosefu wa Ubunifu?

Kuiga Biashara: Ukosefu wa Ubunifu?

Kuiga biashara ndio nini ? Kuna biashara imeandikwa ni ya fulani ? Mbona mawazo mgando ?

Wewe kama una mtaji, umejipanga na unahisi unaimudu biashara flani wewe ifanye kwa maarifa yote ....
 
Je, kuiga na kufanya biashara zinazofanana ni kukosa ubunifu?
Sio kukosa ubunifu bali ni kuutumia udhaifu au mapungufu yaliopo kwenye biashara iliyopo(Current) na kuyatumia mapungufu hayo kama fursa.(Wajasiriamali wanalifahamu hilo vizuri).
Kwa mfano yupo mamantilie na biashara yake lakini hana kauli nzuri kwa wateja, hazingatii usafi wala hana wepesi katika kutoa huduma na hana vyakula tofauti-tofauti(Varieties). Huo ni udhaifu alionao katika biashara hiyo yake. Akitokea mtu mwingine atakayefanya biashara hiyo-hiyo na kuepuka hizo kero atampiku chap' na kujizolea walokuwa ni wateja wake. Kwa mantiki hiyo, huyo #2 ni mbunifu i.e. ni mwenye kujiongeza. Na hilo linakwenda hadi kwenye biashara kubwa kubwa e.g. Mchina yupo mbioni kuyapiku makampuni makubwa ya magari ya Western countries na anachoangalia na kurekebisha ni e.g. Ulaji wa mafuta wa chombo, Speed na Urahisi wa kukikontrol chombo kwa kutumia elimu kidogo kwa muda mfupi wa mafunzo, kwa kutumia Hydraulic systems, Automatic systems n.k. badala ya Manual systems.
Hapo ongeza urahisi wa upatikanaji wa spea na bei n.k.
 
Naam 👋
 
Back
Top Bottom