A
Anonymous
Guest
Shule ya Sekondari Bombambili iliyopo kata ya Kalangalala Wilaya ya Geita, Mkoani Geita, inakabiliwa na ukosefu mkubwa wa maji unaoathiri usalama wa wanafunzi ilihali maji ya GEUWASA yanapatikana 400m tu kutoka shule ilipo.
Ukosefu huu wa maji umesababisha uchafu uliokithiri wa vyoo vya wanafunzi ikiwa ni pamoja na baadhi ya vyoo kufungwa na kusababisha wanafunzi kujisaidia koridoni ama vichakani.
Swali ni je, nani anawajibika na hili?