ukosefu wa ajira

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Tusimung'unye maneno, tatizo la ukosefu wa ajira hapa nchini Tanzania ni matokeo ya utawala wa Magufuli

    Hello! Najua kuna watu huwaambii kitu kuhusu Magufuli lakini ngoja niwaambie hata kwa ubabe. Tatizo la ajira ni global issue lakini kwa Tanzania halikupaswa kutokea sasa, lilipaswa lianze angalau 2030. Baada ya kuingia Magufuli Ikulu na kuwa Rais cha kwanza kabisa akaenda kupambana na...
  2. B

    JamiiForums Tanzania NUKUU: Kutokana kanuni ya 50/50 wanawake kuajiriwa kumesababisha ukosefu wa ajira nchini

    Kwa mujibu wa historia ya Tanzania itakumbukwa miaka 1961 mpaka 1989 idadi ya wanawake wasomi haikuwa kubwa kama miaka 2020's, lakini pia idadi ya wanawake waliokuwa kwenye ajira ama biashara ilikua ni chache ikilinganishwa na leo hii Mwanamke alitambulika kama mama nyumbani Kitendo cha...
  3. technically

    JamiiForums Tanzania Kazi mnazotaka vijana wafanye ziko wapi?

    Mimi ni mtu najiusisha Sana na sector ya ujenzi na muda mwingi nakuwa field yaani kwenye mazingira ya kazi. Kumekuwa na dhana ya wanasiasa kuwaambia vijana fanyeni kazi Mimi najiuliza hizo kazi zipo wapi? Kwa siku napokea vijana wanaoomba kazi kwenye mizunguko yangu sio chini ya 3 wapya...
  4. ranchoboy

    JamiiForums Tanzania Namna Tanzania Inavyoweza Kuongeza Idadi ya Walipa Kodi: Suluhisho kwa Wimbi la Umaskini na Ukosefu wa Ajira

    Tanzania ni nchi yenye uchumi unaoendelea, lakini changamoto kubwa bado ni umaskini na ukosefu wa ajira, hasa miongoni mwa vijana. Katika hotuba ya hivi karibuni, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alibainisha kuwa kati ya Watanzania milioni 60, ni watu milioni 2 tu wanaolipa kodi. Hii ni...
  5. Thomson mtau

    JamiiForums Tanzania Serikalini hakuna ajira, viongozi ni muda wa kuwa wakweli

    Serikali na viongozi wake ni muda sasa wa kuwambia ukweli wahitimu wetu katika nyanja tofauti ukiangalia idadi ya vijana waliomaliza vyuo inatisha, wanaojitolea kwa posho kidogo ndio usiseme. Nini cha kufanya fanyieni marekebisho mitaala yetu ili kijana anapomaliza masomo aweze kujiajiri...
  6. realMamy

    JamiiForums Tanzania Ukosefu wa Ajira chanzo cha Maovu

    ukweli ni kwamba watu wengi ukosefu wa ajira unaokumba vijana wengi unasababisha maovu kuongezeka ikiwamo,Wizi na mauaji. Vijana wengi wamechomwa moto, wengine wako Mahabusu, wengine Gerezani kisa tu walikosa ajira wakaamua kushawishika kufanya vitu visivyofaa. Serikali iendelee kuzalisha ajira...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Gen Z wa Tanzania wapewe ajira maana ukosefu wa ajira ni chanzo cha maandamano tunayoshuhudia Kenya na sasa Uganda

    Wadau Asalam aleykum. Wanasema mwenzako akinyolewa zako tia maji. Nawashauri viongozi wangu mlioko kwenye vyombo vya kutunga sera, mfanye kuwaajiri vijana walioko mtaani wenye ujuzi na wasio na ujuzi pia watafutiwe kazi za kufanya. Hii itawafanya kuwa bize na hivyo kuwasahaulisha na ugumu wa...
  8. excel

    JamiiForums Tanzania Naishukuru sana serikali ya Rais Samia kwa kuniweka benchi miaka 10 bila ajira

    Kwa kweli niseme tu asante, nishukuru kwa kila jambo kama Biblia ilivyotuamuru. Nilihitimu Elimu yangu ya ngazi ya juu mwaka 2015 Katika Shahada ya Logistics and Transport Management, mpaka leo nasugua benchi tu😭 Mama Samia na serikali yako mbarikiwe sana kwa hili. Tupo wengi sana tunaosota...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wahitimu wengi wanajutia kusoma chuo kikuu. Mzazi mwandalie mwanao Mtaji. Zama zimebadilika

    Habari wadau. Wazazi wengi tunasomesha watoto kwa kujibana, Tena shule za gharama. Tunakopa huku na huku tuwalipie ada. Nawakumbusha tu tukumbuke na kuwaandalia mitaji ya biashara wakimaliza kusoma. Graduates wengi ambao wazazi wao hawajawapa mitaji wamekuwa wazururaji tu mitaani, walevi wenye...
  10. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tutengeneze mazingira rafiki kwa wawekezaji kupunguza ukosefu wa ajira

    Ukosefu wa ajira ni miongoni mwa changamoto sugu ulimwenguni kama taifa yatupaswa kuwa na mikakati mipya na endelevu kupunguza ukosefu wa ajira nchini. Bendera ya Tanzania. Kila mwaka mamia ya wahitimu wanatunukiwa vyeti vya kuhitimu katika kozi mbalimbali kutoka vyuo vya ndani na nje ya nchi...
  11. O

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mfumo bora wa elimu utakaopunguza utegemezi mkubwa wa bidhaa, teknolojia kutoka nje na kupunguza ukosefu wa ajira kwa vijana ili kukuza uchumi

    Kwa nini kumekuwa na wimbi kubwa la ukosefu wa ajira kwa vijana hasa wahitimu wa vyuo vikuu nchini Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla? Migogoro bungeni, wazazi kwa vijana, vijana na jamii kwa ujumla juu ya ukosefu wa ajira kwa vijana. pia utegemezi mkubwa wa bidhaa kutoka mabara ya dunia...
  12. sos_10

    JamiiForums Tanzania SoC04 Vijana wasomi na mikakati ya kupunguza tatizo la ukosefu wa ajira Tanzania

    Tanzania ni miongoni mwa nchi za Kiafrika zinazokabiliwa na tatizo kubwa la ukosefu wa ajira kwa vijana wasomi wanaohitimu katika taasisi mbalimbali za elimu ya juu. Utafiti uliofanyika mwaka 2019 na Taasisi ya utafiti wa kupunguza umasikini (REPOA) ilionyesha takribani vijana milioni moja...
  13. Golden Elimeleck

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mkombozi wa wimbi kubwa la Umasikini na Ukosefu wa Ajira kwa Vijana kuelekea Tanzania Tuitakayo

    Tatizo kubwa linaloikabili taifa letu pendwa la Tanzania ni ukosefu mkubwa wa ajira kwa vijana na wimbi kubwa la umasikini hivyo katika juhudi za kuelekea Tanzania tuitakayo ifikapo mwaka 2040, ni muhimu kuweka mikakati thabiti ya kuanza kutekelezeka hivi sasa ili kutatua tatizo la umasikini na...
  14. B

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mpango wa kupunguza ukosefu wa ajira na kujenga nguvu ya kiuchumi kwa vijana wanaohitimu chuo

    Tunaposhuhudia ongezeko la idadi ya wanafunzi wanaojiunga na elimu ya juu na serekali kuongeza wigo wa wanafunzi kupata mikopo, tunakumbana na changamoto ya ongezeko la vijana wanaohitimu elimu ya chuo lakini wanakosa ajira kutokana na uhaba wa nafasi za ajira. Suala hili nalichukulia kwa...
  15. A

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mpango wa miaka 25 wa kuondoa tatizo la ukosefu wa ajira Tanzania

    Bwana yesu asifiwe...... Nianze Kwa kushukuru MUNGU muumba mbingu na nchi na vyote viijazavyo Kwa, kutujalia amani, upendo na mshikamano. SULUHISHO LA UKOSEFU WA AJIRA -Ukosefu wa ajira ni janga linaloitafuna nchi yetu ya Tanzania, hivyo ili Kuondoa au kupunguza tatizo hili yafuatayo lazima...
  16. R

    JamiiForums Tanzania SoC04 Nini kifanyike kutatua tatizo la ukosefu wa ajira kwa vijana kuelekea Tanzania tuitakayo

    Tanzania imeendelea kuungana na mataifa mengine mengi hasa yanayo endelea kukabiliwa na tatizo la ukosefu wa ajira hasa Kwa vijana. Uwepo wa tatizo la ajira katika mataifa mbalimbali duniani hakuipi Tanzania uhalali wa kuto kuchukua hatua mbalimbali kuondokana na tatizo hili kwani Kuna weza...
  17. Akilibandia

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kufungua Uwezo wa Kidigitali: Kukabiliana na Ukosefu wa Ajira kwa Wahitimu na wenye ujuzi Tanzania Kupitia Fursa za Mtandaoni

    Utangulizi Katika moyo wa Afrika Mashariki, Tanzania inasimama katika njia panda kati ya mila na uvumbuzi. Ikiwa na idadi kubwa ya vijana, taifa lina hazina ya uwezo ambao bado haujatumika—wahitimu wakiwa wamejaa ujuzi na ndoto kubwa. Hata hivyo, ahadi hii inafunikwa na ukweli mkali: ongezeko...
  18. A

    JamiiForums Tanzania Nashauri Ajira za masaa kupunguza tatizo la ajira nchini

    Shida kubwa ni ajira kwa vijana wa sasa lakini kuna uwezekano wa kazi za masaa kama ilivyokuwa hospitalini kwamba kuna daktari ataingia usiku na mwingine asubuhi. Makampuni hapa Tanzania ni mengi kidogo lakini pale ambapo vijana watafanya kazi kwa masaa hata idadi ya wasioajiriwa itapungua...
  19. Frajoo

    JamiiForums Tanzania SoC04 Suluhisho la tatizo la ukosefu wa ajira rasmi kwa vijana

    SULUHISHO LA TATIZO LA UKOSEFU WA AJIRA RASMI KWA VIJANA NCHINI TANZANIA. Ndoto ya kila mzazi au mlezi ni kuona kijana anapata ajira rasmi mara tu anapohitimu masomo yake.Huku ajira ya serikalini ndio lengo kuu.Pia inachochea maendeleo kwa taifa kuajiri vijana wenye ufahamu wa ujuzi mpya...
  20. Thee MF

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa ajira nchini umeshindikana, bila connection hutoboi!

    Mfumo wa Ajira Nchini kwetu umeshindikana kabisa hasa kwa tusio na Koneksheni kabisaa! Mfano: nimewahi kuitwa kwenye interview nyingi tu za serikalini ila zote zinafanywa kwa ushahidi tu ili wale wasahili walipwe kwa kupoteza muda wetu. Viongozi wanakazia eti vijana mjiajiri wanasahau kama...
Back
Top Bottom