ukosefu wa ajira

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Desi P

    JamiiForums Tanzania SoC01 Njia bora ya kuondoa tatizo la ukosefu wa ajira nchini

    Tatizo la ukosefu wa ajira ni janga ambalo lipo duniani kote, lakini ukubwa wa tatizo hili hutofautiana baina ya nchi moja na nyingine, mathalani nchi ambazo zimeendelea tatizo la ukosefu wa ajira ni dogo sana ukilinganisha na nchi zinazoendelea kama nchi yetu Tanzania. Kinachosababisha kuwepo...
  2. The Digital Prowess

    JamiiForums Tanzania SoC01 Ukosefu wa ajira au ubunifu?

    Mfumo wetu wa elimu nchini Tanzania na nchi nyingi za Kiafrika zilianzia nyakati za baada ya ukoloni. Waliotuletea elimu nia yao ilikuwa kutufanya "watumwa katika fikra zetu" kwa sababu tulikataa kuendelea kuwa watumwa katika mashamba yao. Embu fikiria, unapoamua kuwa Daktari, Mhasibu...
  3. Kilenzi Jr

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mikakati ya kupambana na wimbi la ukosefu wa ajira kwa vijana

    Kuna kila sababu ya kupitiwa upya kwa mfumo wa elimu unaowandaa wahitimu kuingia kazini ili kuepuka makosa yanayojitokeza wakati wa maombi ya kazi na kuwaandaa kisaikolojia kujiajiri wenyewe. Pia ushindani wa soko ajira inaweza kuwa sababu kwa baadhi yao kutumia vyeti vya kughushi kupata mpenyo...
  4. A

    JamiiForums Tanzania SoC01 Njia 3 'blogging' inanisaidia kupata kipato na inavyoweza kufanya hivyo kwako pia

    Ulimwengu umebadilika, hatuwezi kukataa kuwa teknolojia imebadilisha maisha yetu. Siku hizi vitu ambavyo wazazi wetu hawakuwahi kuota kuwa vingekuwa vyanzo vya fedha, vimekuwa vyanzo vya kipato kwetu, na hali ilivyo ya ugumu wa ajira na huku wahitimu ni wengi, tumejikuta kuwa inatubidi tutafute...
  5. Imalamawazo

    JamiiForums Tanzania SoC01 Tutumie Vyuo Vikuu na HESLB Kukabiliana na Ukosefu wa Ajira na Mitaji kwa Wahitimu wa Elimu ya Juu

    1. Utangulizi Inawezekanaje tutumie vyuo vikuu kukabiliana na tatizo la ajira ikiwa wahitimu wa vyuo hivyo ndilo kundi linaloongoza kwa kusota mitaani bila ajira? Japo ni kweli kuwa tatizo la ukosefu wa ajira nchini linadhihirika zaidi miongoni mwa wahitimu wa vyuo vikuu, ni vyema tukataraji...
  6. Elisha Emma

    JamiiForums Tanzania Serikali yetu inatakiwa kupambana na wimbi la vijana wengi kukosa ajira

    Kwa sasa Dunia nzima inahangaika juu ya vijana wengi kukosa ajira. Juzi nchi jirani iliamua kuwagawia vijana wasiokuwa na ajira chakula, lakini walisahau kuwa shida yao si chakula bali, ni nini kitawapatia chakula endelevu? Na vijana wale walikataa kile chakula na huku wakiendelea kuhitaji...
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania UN: Ukosefu wa ajira na elimu hufanya wengi wawe wahanga wa biashara ya binadamu

    Umoja wa Mataifa(UN) umeripoti kuwa ukosefu wa elimu huwafanya watu wengi waingie katika utumwa unaotokana na biashara ya binadamu Wahanga wa Biashara ya binadamu wametakiwa sana ili kuonesha namna ya kukomesha biashara hiyo haramu Aidha #COVID19 imetajwa kuwa na uwezekano wa kuongeza matukio...
  8. blessideal

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mapambano dhidi ya ukosefu wa ajira

    UKOSEFU WA AJIRA Ukosefu wa ajira ni miongoni mwa matatizo ambayo yamekua yakijitokeza miongoni mwa vijana katika jamii ya Tanzania na Afrika.Ukosefu wa ajira umekua ukipelekea Ongezeko la ajira zisizo rasmi mfano Wizi,Kuuza madawa ya kulevya na mengineyo.Zifuatazo ni baadhi ya mbinu ambazo...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Ukosefu wa ajira, ugumu wa maisha na Katiba Mpya ndio vitakavyoiondoa CCM madarakani

    CCM wafanye yote wanayofanya ikiwemo kutumia propaganda na dola kubaki madarakani, ila waeleze tatizo la ajira na ugumu wa maisha pamoja na Katiba hii mbovu tulionayo, ndio vitu vitavyokuja kuwaondoa madarakani. Hata hivyo, ili yatimie, lazima kwanza litokee jambo ambalo litatumika kama...
  10. inosgram

    JamiiForums Tanzania SoC01 Kwanini masomo yasipunguzwe mapema ili kuwaondolea Watoto mzigo?

    “Tunasema vijana wajiajiri wakati sisi wenyewe wametuajiri wao, kwanini sisi tusujiajiri kwanza alafu tuone kama kujiajiri ni rahisi ndio tuwaambie nao wajiajiri?”,maneno haya yalisemwa na mbunge mmoja akiwa bungeni wakati wa kuchangia hoja iliyohusu Ukosefu wa ajira. Ni ukweli usiopingika...
  11. G

    JamiiForums Tanzania SoC01 Suluhisho la Ukosefu wa Ajira Tanzania: Jinsi ninavyoweza kupunguza ukosefu wa Ajira kwa 10% Ndani ya siku moja

    Nawasalimu ndugu zangu wanajukwaa. Kutokana na changamoto za upatikanaji wa Ajira Tanzania na Duniani kwa ujumla wake kama Taifa tunatakiwa tuwe na Mawazo, mipango na ubunifu mbalimbali ili kutatua changamoto hii, tuweke mapendekezo mbalimbali yafanyiwe kazi. Miongoni mwa mapendekezo hayo ni...
  12. R

    JamiiForums Tanzania SoC01 Ukosefu wa ajira nchini na suluhisho lake

    Swali kuu litakalotuongoza ni, unapokosa ajira maana yake ni nini? Tunaangazia jitihada kadhaa wanazoweza kuzitafanya Vijana kutatua tatizo ya kazi badala ya kusubiri ‘mfumo’ uwatafutie majibu. Nafasi za ajira hazitoshi Tuanze na dhana ya soko la ajira. Soko ni utaratibu wa kuuza na kununua...
  13. Kasomi

    JamiiForums Tanzania SoC01 Serikali inavyoweza kupambana na Ukosefu wa Ajira

    Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo kwa sasa imekumbwa na Wingi wa vijana ambao hawana Ajira hii inatokea kwa sababu ajira zilizopo ni chache na wasomi wanao tegemea ajira wao wakiwa wengi. Hivyo tatizo la ukosefu wa ajira ndipo linapo chipukizi. Sababu zinazo fanya kuwepo na vijana wengi...
  14. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Tatizo la ajira ni bomu linalosubiri kulipuka

    Duniani kote ajira ni changamoto, lakini namna ya kulishughulikia ndiyo tatizo zaidi hapa kwetu Tanzania. Kwanza Serikali imekuwa chanzo kikubwa cha tatizo hili na kupelekea kutengeneza mpaka propaganda ili ionekane imeajiri. Suala la Serikali kudai imeongeza kiasi cha ajira kinakifikirisha...
  15. CCM Music

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, hivi ndivyo ambavyo unaweza kutumia BAHARI kuondoa tatizo la ukosefu wa Ajira nchini

    Sina maelezo mengi, PDF ya jamaa inajieleza zaidi. Sijui huyu ndio Kigogo au sijui ni nani. 1/10SHIRIKA LA KAZI TANZANIA (TANZANIA LABOUR CO-OPERATION) (Kumradhi Mama, naomba niandike kwa lugha za vijana wa mitandaoni)Mama Shikamoo!Mama, nilifurahi uliposema unataka kufungua nchi...
  16. N

    JamiiForums Tanzania "Siku hizi uko wapi?" ni swali linalonikera. Chini ya Rais Samia, huenda nikapata jibu lake

    Baada ya kumaliza masomo yangu ya chuo miaka 3 iliyopita, nilibahatika kwenda kufanya mafunzo kwa vitendo kwenye taasisi moja. Wakati wa hayo mafunzo nilizoeana vyema na watumishi wa pale hasa wale wa kwenye Idara niliyokuwamo. Ukaribu, maelewano, ushirikiano katika kazi ulikuwa ni wa...
Back
Top Bottom