ukitaka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tanzania ukitaka kutajirika wekeza kwa wajinga na masikini

    TANZANIA UKITAKA KUTAJIRIKA WEKEZA KWA WAJINGA NA MASIKINI. Anaandika Robert Heriel, Mtibeli. Taikon Leo sina mengi maneno. Leo ni Kwa wale wanaopenda kuwa na pesa lakini hawaelewi wazipataje. Taikon sio mchoyo wa maarifa hilo hata ninyi ni mashahidi. Haya nilisema sina maneno mengi, turudi...
  2. Ukitaka mwanaume sasa hivi ili akukubali lazima utoe kiingilio

    Wanaume wa Dar kwa hali ngumu atakupenda mtapiga story halafu muda kidogo utasikia babe nataka nijue kama unanipenda kweli naomba elfu 35 ili na wewe nikianza kutoa zangu ujue ni za kudumu. Nitakutunza mpaka ufurahi. So ukitaka mpenzi Dar lazima ujitoe kipesa atakuambia good day.
  3. D

    Msaada: Nikibadili kozi kwa chuo kile kile ili nichaguliwe chaguo la pili, nalipia tena?

    Nisaidien mawazo kwa anaejua ,jaman sijachaguliwa first selection naulizia je nikirudia kuomba course nyingne tofaut na nilizoweka mwanzo lakn vyuo vilevile second selection nalipia Tena hela au
  4. Ukitaka usimkinai mwanamke, usiwe unapiga bao!

    Saikolojia ya mwanaume iko hivi... Mwanaume rijali always huwa anatamani kulala (kufanya mapenzi) na mwanamke ambaye hajawahi kulala nae kabla. Si unasikiaga wanasema eti, wanaume ni watu wa tamaa, wao kila mwanamke anamtamani tu. Hiyo ndio sababu sasa. Yani iko hivi, mwanaume akishamgonga...
  5. Ukitaka amani katika ndoa, oa mwanamke Muislamu mbadilishe kuwa Mkristu

    Peace be upon you all, Wengi watasema tabia haihusiani na dini, well sio kweli tabia inajengwa kua njema au mbaya na mazingira ya mtu na hasa imani aliyo lelewa kwayo. Kuna msemo "Charity begins at home" Mimi ni Mkristu na kwa habari ya malezi ya heshima na adabu nikiri wazi wenzetu Waislamu...
  6. H

    Naombeni msaada ukitaka kuangalia account yako ya bank ilikujua imefungiwa au la? Unafanyaje

    Ndugu zangu nina account ya bank ya NMB so nikuwa nataka niicheki bado ipo hai au vipi naombeni msaada wenu kwa wanajua haya mambo
  7. T

    Ukitaka kuijua kesho ya Watanzania wasikilize viongozi wake, unaweza kulia

    Hii ndio Tanzania unayo ijuwa Hayati baba wa Taifa huko kaburini ana wish afufuke aje awachape viboko. Taifa alilo lijenga na kuweka misingi yake limetumbukia zama mpya zama zinatisha kuliko zama za ukoloni. Mwalimu ktk moja ya hotuba zake kuna wakati alilisema hili nadhani watu wachache sana...
  8. Kweli ukitaka huduma Wizara ya Kazi lazima uende Dodoma?

    Kichwa cha uzi chahusika, ndugu zangu kuna project ninataka kwenda kuifanya Wizara ya kazi. Je ni lazima niende Dodoma au ofisi ya wizara ya kazi ya DSM bado inatoa huduma? Anayefahamu kuhusu hili naomba afunguke tafadhali. WITH MUCH THANKS IN ADVANCE
  9. Ukitaka kuchonga kinyago kwanza lazima upate mpingo

    Mpingo ndio unafaa kwa kuchonga kinyago. Hivyo hivyo,tukitaka kujenga Taifa lazima kwanza tuwe na watu wanaoridhia kuwa Taifa moja. Vinginevyo, mahusiano katika Taifa yanakuwa kama ndoa ya kulazimishwa. Modern state inahitaji Kiongozi awe mmoja tu katika mioyo ya watu. Nilipokuwa China, wakati...
  10. Kumjua Mwanamke 'aliyechezewa' Kimahusiano na Wanaume na amewachoka, hizi ndizo kauli zao

    1. Siku hizi kuna Wanaume kwani? 2. Sina hata haja na Wanaume. 3. Watoto nilio nao ndiyo Faraja yangu. 4. Wanaume wa nini wakati Wote ni wale wale tu. 5. Natafuta tu Mwanaume wa Kuzaa nae ila sitaki Kukaa nae. 6. Wanaume ni Waongo sana. 7. Wanaume wa Siku hizi ni Wabahili kweli kweli.
  11. T

    Ukitaka kuuza gari ya Ulaya/Marekani ni changamoto sana

    Kumiliki gari ya Ulaya/Marekani ni changamoto sana hasa sisi wenye vipato vya chini. Changamoto zake ukiachia matengenezo ambayo huwa sioni tatizo lake kubwa iko kwenye kuiuza. Mwaka jana ndugu yangu alinunua Ford Everest ya karibu milioni 90, kaitumia mwaka mmoja na miezi kadhaa juzi hapa...
  12. Fanya haya ukitaka kuwa na mahusiano yenye furaha katika jamii

    USIMPIGIE MTU SIMU ZAIDI YA MARA 2 MFULULIZO - labda kama ni jambo lenye haraka sana, subiri mpaka wakupigie. UKIKOPA, LIPA! -Rudisha kabla hata hujaoulizwa au kukumbushwa UKITOLEWA DINNER AU LUNCH -Usiagize vyakula vya gharama sana na mara nyingine ununue wewe KUWA NA UTU -Kwa wahudumu...
  13. S

    Ukitaka kuuteka moyo wa single mother mpende mwanaye kuliko yeye

    Mbinu ya kivita nawapa ukitala kuuteka moyo wa single mother mpende mwanaye kuliko yeye
  14. Ukitaka kumjua mtu mstaharabu mpime katika chakula, hasa hawa wanawake

    Kiukweli wanawake wanakuaga na njaa Sana Jinsi Ahsubui wanavyogombana na watoto wakigombea Upolo Unakuta Mama mtu mzima anawafokea watoto wake kisa ajawekewa Upolo sad Wanawake badilikeni mmezidi ndo maana hampendi wageni tatizo Ni uroho unawasumbua . Maaajabu wanaume Ni mara chache Sana...
  15. S

    Ukitaka kuona raha ya pesa yako tafuta chawa

    Ukitaka kuona raha ya pesa yako tafuta chawa ,akyanani utajiona upo peponi.
  16. Ukitaka pesa fanya hivi kijana!

    Habari wanajamvi hili na poleni pia hongereni kwa majukumu yenu ya kila siku. Leo nimekuja kushika mkono vijana ambao kila kukicha wanahaha kuzitafuta pesa kila pande za dunia. Utakuta kijana anahangaika Mara kubeti Mara ajira Mara kuiba Mara hivi Mara vile miaka nenda rudi. Sasa kijana naomba...
  17. Ukitaka kufanya biashara, Anzia kuifanya Kichwani mwako na si usubiri ukiwa na Mtaji mkononi

    Huwa nasikitika sana ninapotoa ushauri kwa watu wenye mitaji mikononi,hasa wale wanaotoa na kuandika thread kuwa wana kiasi "flani cha pesa" Je wafanyie nini? Ukweli ni kwamba kila mtu hapo alipo ktk chochote anachofanya kumuingizia kipato anajua hela anayoitafuta anataka kuifanyia kitu...
  18. Ukitaka kujua jamii Fulani inajitambua, angalia Maeneo Yafuatayo

    Kabla jua halijazama niseme hili; Ukitaka kutambua jamii Fulani inajitambua, basi tembelea Maeneo Yafuatayo; 1. Makazi Yao. Makazi Yao yapo kwenye mpangilio. Kuna miti ya kutosha ya hewa, Bustani na Maua yakupendeza. Kuna sehemu maalumu za kuhifadhia taka, pia Choo kipo cha kiungwana. Makazi...
  19. J

    Msaada tafadhali ukitaka kubadilisha kada ya utumishi baada ya kujiendeleza kielimu

    Naomba kusaidiwa hatua za kufuata kubadilisha kada kwa anayefahamu na pengine amepitia hatua hizo.
  20. Hii habari ya kulazimika kudhaminiwa na chama cha siasa ukitaka kugombea nafasi yoyote inatakiwa ikome

    Hii ishu siyo ya kidemokrasia kabisa. Kwanza inamnyima haki ya kidemokarisia mwananchi mpaka alazimike kuwa kwenye haya magenge ya siasa. Pia inawanyima wananchi kuchagua wampendae, badala yake ni kama kwa sehemu wanachaguliwa na haya magenge. Fikiria kuna wagombea labda 3. Kila mtu/watu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…