ukitaka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua mwanamke ni msafi angalia miguu yake

    Take Note.
  2. JamiiForums Tanzania Hivi ukitaka kumsahau mtu uliyempenda sana unafanyaje?

  3. L

    JamiiForums Tanzania Fanya Hivi Ukitaka Kuuza Kampuni Yako

    Wiki ya mwisho wa mwezi wa Saba nilikua namsaidia mteja wangu kufanya process za kuuza Kampuni yake, haya ni mambo ya kuzingatia ukitaka Kuuza Kampuni; 1. Elewa unauza Nini Kuna mambo kadhaa yanawezwa kuuzwa kwenye Kampuni 1.1 hisa za Kampuni 1.2 Assets au Mali za Kampuni 1.3 Kampuni yote...
  4. JamiiForums Tanzania Ukitaka kuoga matusi nenda kinyume na CHADEMA

    Tatizo huwa ni nini hasa kwa wafuasi wa CDM kwamba ukiwauliza swali ili ujifunze unapewa matusi Ukienda kinyume na maono yao unashambuliwa NB mimi sio mfuasi wa chama chochote mimi ni mtu huru😅
  5. JamiiForums Tanzania Zamani ukitaka mchumba lazima utongoze lakini siku hizi ukimuita "MY" tu tayari

    Hii nimetoa FB, je Kuna ukweli? My wangu haszu
  6. JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua maCCM ni Wahuni Angalia Athony Mtaka Alivyofichwa

    GT Wakuu such a potential person una mficha kwa madhumuni gani. Huyu jamaa kama JPM angekuweoo lazima angepewa nafasi kubwa sana kusimamia serikali. Najua kabisa moyoni ana majonzi analia kilio cha Samaki but he is a great Man wahuni hawataki kabisa kumsogeza mbele maana hawezi kukubali...
  7. JamiiForums Tanzania Ukitaka kuwa mtu mwenye Nguvu juu ya ulimwengu huu usifanye mapenzi

    Hawa watu wasiofanya mapenzi kwa namna yoyote ile hata kwa kuifikiria kwenye ubongo wao katika ulimwengu wa sayansi ya kiroho hawa ndio binadamu hatari zaidi kuwepo duniani. Hawa binadamu wa hivi shetani na malaika zake humwogopa kuliko unavyoweza kufikiria kwasababu ukiacha kufanya mapenzi ya...
  8. JamiiForums Tanzania Ukitaka kuoa zingatia yafuatayo

    Duniani Hutaambiwa kila kitu ila Ishi Humu itakusaidia 1.Usioe Mwanamke aliewahi Kuwa na Mahusiano na Wanaume zaidi ya wawili 2.Usioe Mwanamke anaetumia Tiktok au Snapchat 3.Usioe Mwanamke Single mother ambae baba wa mtoto wake yuko hai na akikuambia amekufa ukathibitishe Kabisa kwenye kaburi...
  9. JamiiForums Tanzania Ukitaka kujijua kuwa kama una positive Energy angalia hizi sifa

    Kama unataka kujijua kuwa Una positive energy. Hizi ni baadhi ya sifa. -Ukiona unapendwa Sana na watoto wadogo 1-5 , watoto wadogo Mara nyingi wana uwezo wa Ku-sense positive Energy -Ukiona ukikaa sehemu panastawi na watu unaokaa nao wanastawi pia. -Ukiona Una uwezo wa kuunganisha watu mfano...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ukitaka raha jiunge CCM

    Maisha muruwa, hakuna kulinda au kuzuia uchaguzi. Ukishapiga kura unaongojea kutangaziwa. Wapinzani unaweza ukajitolea hali na mali na ukapoteza kila chako siku ya siku anaujiuga ccm na kupata cheo wewe ukiuguza majeraha
  11. JamiiForums Tanzania Ukitaka kuamka kiroho pokea zawadi ya Kitabu hiki upate mwanga wa maisha

    KUAMKA KIROHO NI mchakato wa kuamka kutoka kwenye giza ( ujinga) na kutembea kwenye mwanga baada ya kufunguliwa kwa lock zilizoshikilia akili yako ili utembee kwenye Nuru. Kwenye Giza la kiroho kuna umasikini, matatizo, magonjwa, nadharia za kuogopa wachawi majini mapepo mizimu nk hivi ni...
  12. JamiiForums Tanzania Ukitaka Kuishi Tanzania kwa Aman Fanya yafuatayo

    1;Husiende kumdai mtu /kikundi Cha watu waliopokonya kilicho chako waache wakitumie siku wakikichoka watakurudishia wenyewe 2;Ungana na watesi wako ata kama moyo wako unavuja Damu 3; hakikisha unakuwa mjinga ata kama una kiwango Cha juu Cha uelewa 4; mwisho , subiri miujiza ya wagalatia siku ya...
  13. JamiiForums Tanzania Ukitaka kua Rais TFF ama uongozi wa juu, lazima uwe na PESA pole sana ndugu yangu Ally Mayay

    Asalaam Aleykum TUSIDANGANYANE hapa ama kuzungukazunguka, kwenye uongozi wetu wa mpira wa miguu nchini umejaaa figisu na tumeshaamza kuziona ila ukweli ni kwamba kama huna PESA huwezi kukalia hivyo viti, bila pesa hizo endorsement utazipata vipi? Pole sana kaka yangu Mayay Ally, ni pesa tu huna...
  14. JamiiForums Tanzania Ukitaka kufanya project yako ya ujenzi kwa uimara nunua vifaa sisi tulipe labor charge +255624004650 call us

    We do design and build services Tunapatikana sinza call/whatsap +255624004650
  15. JamiiForums Tanzania UJUMBE WA LEO: Ukitaka Kupata Vitu Haujawahi Kuvipata Inatakiwa Kufanya Vitu Haujawahi Kuvifanya

    Comfort zone is toxic☣️ Comfort zone is a trap🪤
  16. JamiiForums Tanzania Ukitaka Kuwa Mjanja Maishani, Haya Ndio Mambo 14 Ambayo Watulivu Huwaza Usiku na Kuyafanyia Kazi Wakiamka

    Maisha haya hayana ramani. Hakuna aliyewahi kuyaelewa kwa ukamilifu. Kadri tunavyoishi, ndivyo tunavyogundua kuwa yale tunayoyachukulia kuwa kweli—mara nyingi si kweli kabisa. Ni kana kwamba maisha yana kauli yao ya chinichini: “Utakapodhani umeelewa, ndipo tunapokudanganya.” Katika makala hii...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua Watanzania ni wajinga,angalia jinsi wanavyomjibu Gwajima

    Ukisikiliza wote wanaomjibu Gwajima,hawajibu yale aliyoyauliza muhusika,lakini wanakimbilia kumuatack muhusika,wamesahau hiki kizazi cha sasa siyo wajinga,bali wajinga ni wale wanaomjibu Gwajima kwa kutumia ujinga wao na ndiyo kundi kubwa linalowakilishwa na wana CCM kuanzia Viongozi,wanafunzi...
  18. JamiiForums Tanzania Kujua kama Serikali inahusika katika Matukio ya Mabaya dhidi ya raia wake ni rahisi sana!

    Wiki iliyopita nchini Kenya mbunge Charles Ong'ondo alishambuliwa na kuuwawa. Leo hii Wauaji wote wamekamatwa na kufikishwa Mahakamani hapo Kenya. Picha hii hapa👇 Huku Tanzania; Mwaka 2017 Tundu Lissu alipigwa risasi 17 kwenye Makazi ya Viongozi wanaolindwa na askari pale Dodoma. Waliofanya...
  19. JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua wengi wao wa hawa wenzetu boda boda hawako stable katika fikra zao tazama hii video aliopost Samatime

  20. JamiiForums Tanzania Ukitaka kuwaua simba wote mbugani ua swala wote, kinachofuata tunakijua?

    Hellow wakuu Tulifundishwa kuishi kwa kutegemeana kwa mazingira, Kila kiumbe kina nafasi yake ktk ecosystem Ukiwaua swala wote itatokea competion ya kufa mtu among predators, vitoweo vitaisha simba wataanza kufa mmoja mmoja kwa kupigania au kukosa chakula Urafiki na umoja wa simba utayumba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…