mkokamoto
JF-Expert Member
- Jan 2, 2024
- 1,313
- 1,671
Kwenye mikutano mingi ya kisiasa wanawake na watoto hususani wanafunzi huwa ndo wengi zaidi huku ni nadra kukuta kundi kubwa namna hii la wanaume
CCM na serikali yake wana la kujifunza hapa, watu wanatembea kwa miguu wengine umbali wa zaidi ya kilometa mbili,
Hawajasombwa kwa magari au maroli bila kulazimishwa na yeyote ila tu kwa sababu ya uzalendo walionao kwa nchi yetu pendwa ya Tanzania wamejitokeza kuisikia #no reforms no election
CCM cheche zimeshaanza kuonekana mkisubiria sana bila kukubali mabadiliko ndo tuende kwenye uchaguzi mkuu moto utawaka mwaka huu👿