ukimya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    JamiiForums Tanzania Je, umewahi kujiuliza kuhusu ukimya wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali na uuzwaji wa Bandari za Tanganyika?

    Utangulizi: Ukisoma katiba ya JMT ibara ya 59 (1) imeanzisha ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali, na ibara ndogo ya (3) ya ibara hiyo ya 59, inaeleza wajibu mkuu ni kuishauri serikali katika mambo yote yanayohusu sheria, zaidi sana ibara ya 59 (5) kwa hadhi ya ofisi yake mwanasheria mkuu...
  2. JamiiForums Tanzania Ukimya wa Waziri Mkuu Majaliwa katika sakata la Mkataba wa Bandari

    Habari Wakuu! Kama tunavyojua role ya Waziri Mkuu kama mtendaji Mkuu (engine) ya Shuguli za Serikali. Tofauti na matukio mengine, katika hili la Mkataba wa kuuza bandari zetu hakuna mahali ambapo tumemsikia Waziri Mkuu wetu either akiunga mkono au akipinga udalali huu na zaidi, Ni Greyson...
  3. JamiiForums Tanzania Life! Sitolisahau hili

    Habari za muda huu wakuu, Kiafya siku poa, Ila nashukur muumba kwa kunipa nafasi ya kuendelea kuwa hai😔 Kuna muda unaweza kupitia magumu+aibu Hadi kuhisi ukimya au sehemu iliyokimya ndo sehemu pekee unaweza kukaa na serikali ya akili na kupata majibu juu ya kile unachopitia instead ya kueleza...
  4. O

    JamiiForums Tanzania DC Arusha mjini avunja ukimya kwa Gambo

    Arusha. Mkuu wa wilaya ya Arusha, Felisian Mtehengerwa amemtaka Mbunge wa jimbo lake Mrisho Gambo kutekeleza wajibu wake ndani ya halmashauri kuliko kubeba ajenda za ubadhilifu ili kujitafutia umaarufu wa kisiasa. Mtahengerwa amesema hayo leo April 19,2023 wakati akizungumza na waandishi...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ukimya wa mashabiki wa Yanga

    Yanga wanaogopa Nini? Mbona sioni shamrashamra kama za jana kwa wenzao Simba SC? Wasiwasi wa nini wajameni? Hebu jiaminini? Jana baada ya kutoka jumuiya asubuhi naona mashabiki wana shangwe na furaha wakipata pombe kuanza kushangilia. Leo mtaani kimya kama vile hamna timu kubwa inacheza mechi na...
  6. JamiiForums Tanzania Kupotea kwa M/K Umoja wa vijana NCCR na ukimya wetu!

    Habar za Asubuh waungwana! Jana nilikuwa Club House usiku mpaka saa 00:58 huko! Nilikutana na taarifa ya Mwenyekiti wa umoja wa vijana NCCR Mageuzi kupetea katika mazingira yakutatanisha huko kwake Buguruni tangia tarehe January 24, 2023 usiku. Kijana huyu ni mmoja wa wafuasi wa karibu wa Mh...
  7. JamiiForums Tanzania Uovu unaendelea kwa sababu ya ukimya wa wenye haki

    Mchungaji Dickson Kabigumila, amekemea kipindi cha Mr Right kinachorushwa na channel iliyoko kwenye king'amuzi cha startimes. Amesema katika kipindi hiko wanawaka kwa wanaume hutafuta wapenzi ambao amesema njia hiyo inaua maana ya ndoa kwa kuwa ni uchafu. Mchungaji amesema kama TCRA wanahusika...
  8. JamiiForums Tanzania Je ukimya wa Umoja part (UPT) ni kiashiria cha kupotea mazima?

    Tangu ujio wa chama kipya cha siasa UPT kumekuwa na maneno mengi yanayozungumzwa chini chini hasa uhusika wa baadhi ya viongozi waliohudumu katika awamu ya 5 ndani ya CCM kuhusishwa na chama hiki. Baada tu ya kusikika kilipotea ghafla. Ukimya huu unasababishwa na mkono wa Serikali juu ya hiki...
  9. JamiiForums Tanzania Ukimya wa mwanaume unampa mashaka mwanamke juu ya baba halali wa mtoto

    Hakika msaada wako utaokoa maisha ya mama au mama na mtoto, iko hivi: Huyu dada naweza sema ni ndugu au rafiki, alikua na uhusiano na kaka mmoja ila sio serious, baadae akapata jamaa mwengine aliekua serious ila uhusiano wa mwanzo ni kama ulikuepo chinichini. Dada akapata mimba akamueleza jamaa...
  10. JamiiForums Tanzania Ukimya wa wapenda Nchi

    Bila Shaka sasa Nchi inaenda vizuri katika mwendo ambao tunauhitaji na tumeridhika nao, ishara ya hili inajionesha pale wakosoaji na wapenda nchi, yaani wazalendo nguli waliojitokeza kipindi cha hayati JPM kunyamaa Kwa kimya kikubwa. Nadhani sasa mambo yapo safiiii, kijamii, kiuchumi...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Tuhuma za Kabendera dhidi ya Magufuli na ukimya wa Kikwete. Je, tuamini ni kweli?

    Tuhuma za Erick Kabendera dhidi ya Marehemu Magufuli, ni nzito mno ikiwa ni pamoja na madai ya Kabendera kuwa Magufuli alitaka kumkamata Kikwete kwa tuhuma za kuhongwa fedha na mfanyabiashara mmoja ambae hakumtaja japo yupo anaehisiwa. Katika hali ya kawaida, tulitarjie Kikwete ajitokeze...
  12. JamiiForums Tanzania Ukimya wa PSRS

    Mimi kama watu wengine wengi tunaotafuta ajira serikalini, niliomba nafasi za kazi zilizotangazwa mwezi MAY. Jambo la kushangaza ni kwamba miezi mitano inaenda kuisha bila kuitwa kwenye usaili na wakati huo nafasi zilizotangazwa mwezi August nyingine September watu wameitwa kwenye usaili tayari...
  13. JamiiForums Tanzania Mke mpya wa Manara avunja ukimya, "Sijafata Pesa"

    Mke mpya wa Haji Manara Rushaynah Bugati amevunja ukimya kwa wanaomshambulia kudai kwamba amefuata pesa kwa Manara jambo ambalo amelikana na halina ukweli wowote. Rushayna amesema alianza kufanya kazi na Manara kwa muda mrefu na anamjua vizuri hana pesa yoyote tofauti na watu wanavyomfikiria...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ukimya huu mkubwa wa Waziri wa Madini Dotto Biteko unanipa sana Mashaka!

    Viongozi wa dini husema ukijua umefanya dhambi moja kubwa sana hapa duniani basi jitahidi utubu na usali mno kabla Mwenyezi Mungu hajakuita mazima.
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Kambi ya Ruto haijafurahishwa na ukimya wa Rais Kenyatta

    Ukimya wa Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta kuhusu ushindi wa William Ruto imedaiwa haupokewi vizuri na kambi ya Ruto licha ya maandalizi ya maandalizi ya makabidhiano ya ofisi kuendelea kwa amani. Rais Kenyatta amekutana na vingozi wa dini Ikulu na kuwaaga akiwaeleza makabidhiano yatafanyika kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Wizi mpya, makufuli yanafunguliwa kwa gesi kimya bila kelele, tununue makufuli yapi?

    Ni kimya kimya tu, kufuli linapigwa moto wa gesi linaachia lenyewe ama kuyeyuka.... Nakumbuka kuna kipindi flani hapo miaka ya 2021 kuna mwizi alikuwa anahisiwa ndiye anaibia sana maduka ya mtaani kwa mbinu hii, alipoona watu wanamhisi ndiye ila hawana ushahidi ikabidi ahame mji, ni maduka kama...
  17. JamiiForums Tanzania Kelele za ukimya na usiri wa mama wa Kiafrika

    UVUMILIVU NA USIRI WA SIS OSINACHI NWACHUKWU UNAMUONESHA MAMA WA KIAFRIKA NA KELELE ZA UKIMYA. Mama wa Kiafrika anapitia safari iliyojaa kelele za ukimya zinazomtaka awe mstahimilivu na kikubwa zaidi awe msiri juu ya madhila yote anayoyapitia katika KIFUNGO cha staha. Siandiki kumtetea Mwanamke...
  18. JamiiForums Tanzania Sakata la Usiku wa Oscars: Jada Smith avunja ukimya, Mauzo ya Show za Chris Rock yaongezeka

    Baada ya kimya cha muda mfupi, hatimayeJada Pinkett Smith amevunja ukimya baada ya tukio la mumewe kumpiga kibao Chris Rock kwa kumfanyia mzaha katika usiku wa utoaji wa Tuzo za heshima za filamu, maarufu kama Oscars. Katika chapisho fupi katika mtandao wa Instagram, mwigizaji huyo aliandika...
  19. JamiiForums Tanzania Mbowe katoka gerezani, Tundu Lissu yupo kimya, inashangaza! Ukimya unamaanisha nini? Kwanini Mbowe hajamtaja Lissu katika interview zake?

    Freeman Mbowe kwa sasa ni mtu huru kama ilivyo kwa jina lake, kesi yake ilifutwa na Mahakama Kuu, mmoja wa watu waliokuwa wakipiga kampeni ya kuhoji juu ya kesi aliyofunguliwa Mbowe na wenzake watatu ni Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu. Lissu alifikia hatua ya kuomba kuonana na Rais...
  20. JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi avunja ukimya kwa kuelezea kuhusu covid-19 na umuhimu wa kuchanja

    Amepost tweet hii dakika chache zilizopita, je huo ukimya ni nini? Tusubiri saa 1:00 usiku ==== Update, Joseph Mbilinyi (Sugu) avunja ukimya kwa kuongelea Covid-19 Aliyekuwa Mbunge wa Mbeya Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu amejitokeza na kuvunja ukimya kwa kufafanua madhara ya ugonjwa wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…