Nikisikiliza kauli zao hawa watu, wamekosa hekima kabisa, serikali imejaa wajinga na wajivuni, na hakuna yeyote mwenye viashiria vya hekima ya kiuongozi kati yao na hasa kwa wale waongeaji ongeaji juu ya hili
Msisahau mnapo kuwa mnaongea hizo kejeli zenu dhidi ya yale mliyo wafanyia...
LATRA inafanya kazi kwa weledi, lakini haina ubunifu, in short watu wanajizungusha tu ofisini kwenye kiyoyozi na kutemblea magari ya serikali.
KERO:
1. MASAKI-SIMU 2000
Haya ndio magari mabovu kuliko daladala zozote Dar es salaam . Hizi Daladala zote ni Nissan Civilian za kabla ya mwaka 2000...
Inazua maswali kuona viongozi wa chama wakitukanwa kwenye baadhi ya makundi ya WhatsApp yanayodaiwa kuhusisha wanachama, huku kukiwa hakuna hatua za wazi za kinidhamu zinazoonekana kuchukuliwa.
Je, ukimya huo unatokana na tahadhari kuelekea uchaguzi wa ndani wa chama mwakani, au ni dalili ya...
Unaweza kutofautisha ukimya na ujeuri?
Kuna msemo unasema Silence is golden
Ni kweli, lakini not every silence is wisdom
Kuna watu wanaonekana ni wakimya, na kweli wanaweza kuwa wakimya kwa asili yao
Ila wakati mwingine sio ukimya tu, bali nyuma ya huo ukimya kuna jeuri, kiburi au dharau...
Nguvu ya Siri: Kwa Nini Ukimya Ndio Silaha Kubwa Zaidi Kwenye Mifarakano?
Fumba macho sekunde moja. Fikiria uko katikati ya mabishano makali. Joto limepanda, nyuso zimebadilika rangi, na maneno makali yanarushwa hewani kama risasi. Katika mazingira hayo, silaha yako ya kwanza kabisa inayokuja...
Waziri katambi alipootoa agizo la NIDA Jumapili alijitokeza Lucas kulalamika sana.
Tokea hapo Jumapili hakuna mada zake tena.
Wana JF kapatwa na nini huyu
Nimejitahidi sana kutaka kuelewa sababu gani viongozi wote wa juu wamekaa kimya juu ya haya ya KIBAGUZI yanayoendelea nchini.
Na kibaya zaidi ukisikiliza maneno yanayozungumzwa utagundua sii hoja ya NCHI wala MUUNGANO isipokuwa watu wake. (Wazanzibar vs Watanganyika)
Aidha utasikia wakitaja...
Kulikuwa na mji ambao wananchi wake walianza kudai haki zao. Walitaka huduma bora, usawa, na sauti yao isikike. Lakini badala ya kusikilizwa, wanasiasa walipanda majukwaani na kusema:
“Msilete fujo… amani ni bora kuliko yote.”
“Wanaodai haki si watu wa maendeleo… ni wavurugaji.”
“Hawa...
Freeman Aikaeli Mbowe,
aliwahi kua mwenyekiti wa chadema taifa kwa kipindi kirefu kiasi, lakini tangu uongozi mpya wa chama hicho ulivyoshika hatamu, Chadema masalia nayo imekosa utulivu wa kisiasa, lakini pia Chadema masalia haina agenda, sera wala hoja ya kueleweka.
Chadema masalia imekua...
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Rais wa Kwanza wa Tanzania alifanya Ziara ya kwanza Nchini Urusi Oktoba 1969, kipindi hicho Urusi ikijulikana kama (Shirikisho la Umoja wa Kisovieti/USSR). Kipindi dunia ikiwa imegawanyika katika kambi mbili kuu za Vita Baridi. Tanzania ilikuwa imeanza...
Mimi sio Ccm
Niwasalimie kwanza; chei chei
Sihusiani na CCM wala siopendi lakini nimependa utulivu wa yule mama na utulivu wake baada ya kutenguliwa
Ukizingatia na skendo aliyokuwa akihusishwa nayo.. ni mbovu sana kila mtu anaijua
Lakini pamoja na hayo yote alionesha heshima na utulivu...
Karibu miezi mitatu sasa imepita tangu niwasilishe maombi ya pasipoti, lakini hadi leo (Machi 2026) sijapatiwa huduma hiyo kutoka Idara ya Uhamiaji Tanzania. Kila ninapofuatilia naambiwa kuwa ‘mfumo unaboreshwa.’
Swali ni: Maboresho haya yana mwisho lini, na kwa nini hakuna taarifa rasmi, ya...
Nimekutana na bandiko moja la hadithi ya Idd Amin na ujasiri wa Maliyamungu(Maliyamungu) nikamkumbuka shujaa Humphrey Polepole na ushujaa wa kanisa Katoliki.
Andiko limeandikwa kwa kiingereza nikatafsiri kwa kiswahili kwa msaada wa Chatgp.
Soma hapo chini :-
Wanasema hofu huwafanya hata...
Wakati risasi zilipolia mtaani wananchi walikimbia kuokoa maisha yao na maandamano yakikabiliwa na nguvu ya Dola, vyombo vya habari nchini Tanzania vilikaa kimya.
Kwa wananchi kama Ismail Issa, mkazi wa Dar es salaam huu haukuwa uzembe wa kawaida wa vyombo vya habari, bali ni usalitiwa wazi wa...
NB: Hapa Maria Sarungi na Mange Kimambi hawahusiki wao ni Wanaharakai
Kwa miaka mingi tumekuwa tukipigiwa kelele nyingi za Feminism, wakitaka usawa katika fursa za kisiasa, kiuchumi na kijamii. Mbaya zaidi huko mitandandaoni tulikuwa hatupumui tena walikuwa hadi na majukwaa na mikutano ya...
Habar wana JF natumaini wote wazima poleni pia na majukumu yanayo wakeep busy .
Nilisha wahi kupewa nisimamie mradi wa misitu ya serikali mwaka fulani, lakin kwa bahati mbaya zilidaka moto kwenye heka 150, zilipona heka 40 ambazo ndo zilikua kwenye matazamio ya uzalishaji , na ndo ilikua kama...
Pindi ambapo migogoro inakomeshwa juu juu bila kushughulikia chanzo chake kama dhuluma, ukandamizaji, utekaji, mauaji, ubaguzi, umasikini au kunyimwa haki, hali ya utulivu inayopatikana huwa ya muda mfupi tu. Watu wanaweza kunyamazishwa au kuchoka kupigana, lakini maumivu, hasira na kutoridhika...
Balozi Emmanuel John Nchimbi, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nakuandikia ujumbe huu nikikuomba kwa heshima na unyenyekevu mkubwa uvunje ukimya ulisaidie taifa. Nchi yetu inaelekea kubaya kumeibuka wimbi kubwa la matamko yanayolenga kuwagombanisha wakristo na Serikali...
KUNA UKIMYA UNAITWA KUKUBALI KUTOKUKUBALIANA
Waswahili husema kubali yaishe, JAMBO hili linaweza likawa na AFYA kwa SIASA za Africa? SIJUI.
Ukimya uliolazimishwa ni kama hewa chafu — inaua taratibu. Lakini sauti huru, hata kama ni dhaifu, hubeba nguvu ya kubadilisha dunia.
Labda ni mimi tu. Labda mimi ndo tatizo. Labda nina uwezo mdogo wa kuelewa mambo.
Labda ni hivi au labda ni vile.
Labda nategemea mambo flani flani toka kwa watu ambao sipaswi kutegemea chochote au lolote toka kwao.
Kuna ukimya wa ajabu sana kutoka kwa baadhi ya watu na taasisi ambazo mtu...