ukimwi

  1. JamiiForums Tanzania Waziri Mambo ya Nje ya nchi Dr Balozi Kombo tolea ufafanuzi kukatwa Msaada ya TB, Malaria na UKIMWI kwa Tanzania

    Mheshimiwa huu ni wakati wa wewe kuitisha Mkutano na kufafanua mambo ya Kimataifa ikiwamo usitishwaji wa Msaada kwa Tanzania. Nataarifiwa EU nao wapo mbioni.
  2. JamiiForums Tanzania Weusi tulilala sana kupata mbadala wa dawa ya UKIMWI (ARV), Trump katuamsha

    Wakuu Kwanza mtanisamehe. Huu ni mtazamo wangu tu kuhusu sisi weusi yanapokuja mambo yanayohitaji tuwe siriazi, tumekuwa sio kabisa. - Mtu mweusi ana shida sana. - Naungana na wanaosema weusi tuna IQ ya chini mno. - Mweusi anaishi kwa LEO yake. - Anadeal na yanayomsibu LEO. - Hayo ya...
  3. JamiiForums Tanzania UKIMWI (AIDS) sio ugonjwa, bali ni mkusanyiko wa magonjwa, na yote yanatiba zinazofahamika, Kuna mtu anabisha?

    Ukimwi sio ugonjwa, bali ni mkusanyiko wa magonjwa (Syndrome), na magonjwa yote hayo yanatiba kamili zinatambulika na kufahamika vyema katika ulimwengu wa kitabibu. Nani anabisha? - Magonjwa haya husababishwa na kushuka kwa kinga ya mwili (upungufu wa kinga mwilini), lakini unaweza kuyapata...
  4. JamiiForums Tanzania Utafiti wa Viashiria vya UKIMWI

    Utafiti wa Viashiria vya UKIMWI wa mwaka 2022/23 unaonesha kuwa, kiwango cha maambukizi katika Mkoa Njombe ni 12.7% kiwango hiki kimeongezeka kwa 1.3% ukilinganisha na 11.4% ya utafiti uliofanyika mwaka 2016/17. Lengo la kongamano hili ni kujenga uelewa wa maswala ya VVU na UKIMWI kwa vijana...
  5. JamiiForums Tanzania Alikufa kwa ngoma

    Alikufa kwa ngoma.
  6. JamiiForums Tanzania Kuna walioanza mwaka 2025 kwa kupata magonjwa baada ya kufanya mapenzi kizembe

    Poleni sana, ni muhimu kujifunza kujali afya kwanza kabala ya starehe. Tazama sasa maumivu unayopitia, gharama na muda unaotumia kujitibu kwasababu tu ya starehe ya muda mfupi. Jifunze kutumia kinga na kuepuka kufanya ngono zembe kiholela. Baki njia kuu. Kunywa pombe kupita kiasi ni hatatari...
  7. JamiiForums Tanzania FANYENI MAPENZI SALAMA LEO MWISHO WA MWAKA HUU2024 , ILI KUANZA MWAKA MPYA 2025 KESHO BILA UTI, GONORRHEA, KASWENDE AU UKIMWI.

    Anza mwaka mpya 2025 ukiwa na furaha ya afya njema na sio kuchota maradhi kwa ngono zembe. Jizuie na ngono nzembe kuepuka magonjwa ya zinaa ya fedheha kama vile UTI Sugu, gono, kaswende au ukimwi. kwa wewe mwenye UTI au gono, jitibu kwanza na umalize dozi, acha kuambukiza wengine kwa tamaa na...
  8. JamiiForums Tanzania Faida za kuathirika na HIV (UKIMWI

    Ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️ Ndugu yangu leo ngoja nije na faida za kuwa muathirika wa HIV. Kama wewe ni muathirika wa HIV basi tafadhali soma hadi mwisho itakusaidia. Pia kama ulikuwa ukichukua tahadhari juu ya HIV (UKIMWI), yaani bado haujaathirika basi endelea kuchukua tahadhali maana...
  9. JamiiForums Tanzania Natafuta wimbo wa UKIMWI ni janga la dunia

    Ulikua ukipigwa kwenye maredio siku ya ukimwi duniani. Sana sana kwenye Rtd sasa TBC. Maneno ya wimbo' Jamani ee Sikilizeni niwaeleze haya, janga la ukimwi halina dawa wala kinga,.
  10. JamiiForums Tanzania Njombe: Baba abaka watoto na kuwaambukiza Virusi Vya UKIMWI (VVU)

    Watoto wawili wa familia moja ambao ni wanafunzi wa shule ya msingi katika halmashauri ya mji wa Makambako mkoani Njombe wanadaiwa kubakwa na kuambukizwa virusi vya ukimwi (VVU) na baba yao wa kufikia. Victor Nyato ambaye ni mwenyekiti wa mtaa wanapoishi watoto hao na mama yao, ambao mmoja...
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini mikoa yenye idadi kubwa ya Waislamu kuna maambukizi machache ya UKIMWI?

    Natafakari sana aisee hivi kwanini mikoa mingi ambayo kuna idadi kubwa ya waislamu kuna maambukizi machache ya virusi vya ukimwi? Tunaona kila mwaka mikoa kama lindi na sehemu kama zanzibar ambapo kuna idadi kubwa ya waislamu kunaripotiwa visa vichache vya amambukizi ya ukimwi je kwamba wana...
  12. JamiiForums Tanzania "Weka mate niteleze" inavyoeneza UKIMWI

    1. Hii kauli mbiu imemaliza vijana wengi Sana maeneo ya Vijijini na visiwa vya ziwa victoria ambako Kondom ni adimu Sana. 2. Kavu sio mpango
  13. JamiiForums Tanzania Siku ya Ukimwi Duniani: Tuzidi kuchukua tahadhari

    Desemba 1, 2024, Shirika la Afya Duniani (WHO) linaungana na wadau na jamii kote ulimwenguni kuadhimisha Siku ya UKIMWI Duniani. Kauli mbiu ya mwaka huu ni “Chagua Njia Sahihi: Afya Yangu, Haki Yangu!” Kauli hii inalenga kuwahamasisha viongozi wa dunia na wananchi kushiriki katika kuhakikisha...
  14. JamiiForums Tanzania December 1, siku ya UKIMWI Duniani

    Leo December 1 2024 ni siku ya UKIMWI duniani. Mpaka sasa kwa mujibu wa shirika la afya duniani (WHO) kuna zaidi ya watu milioni 39.9 duniani kote wanaoishi na virusi vya UKIMWI (VVU). Ni muhimu kuelewa kwamba si kila mwenye VVU ana UKIMWI. UKIMWI hutokea katika hatua za mwisho za maambukizi...
  15. Z

    JamiiForums Tanzania Mikoa ya Njombe, Iringa, Mbeya, Kagera bado maambukizi ya VVU yapo juu. Tatizo ni nini?

    Leo trh 1/12/ 2024 tunaadhimishi siku ya ukimwi duniani, zaidi ya miaka 50 sasa tangu ugonjwa huu ubishe hodi nchini Tanzania kupitia Mkoa wa Kagera, bado mikoa ya Njombe, Iringa, Mbeya na Kagera inaongoza kwa ukimwi. Tatizo ni nini haswa kwenye mikoa hiyo ambapo kuna maambukizi makubwa ya vvu?
  16. Z

    JamiiForums Tanzania UKIMWI bado ni ugonjwa hatari duniani kuliko magonjwa mengine

    Tukiwa tunaadhimisha siku ya Ukimwi duniani leo trh 1/12/ 2024, tusidanganyane, bado ugonjwa huu wa ukimwi ni hatari na tishio zaidi kuliko magonjwa mengine. Ukimwi ni mateso hadi kifo, chanzo kikuu cha ukimwi ni ngono. Serikali izuie/ishibiti vyanzo vya maambukizi ya VVU ambavyo ni...
  17. JamiiForums Tanzania Hizi ndio alama za mtu alieathirika na ukimwi kwa macho tu utamgundua

    Hii ni alama inayoonesha mtu huyo ameathirika na virus vya ukimw na hutokea kipind virus vina zaid ya miaka miwil kitaalamu tezi hiz huvimba kama ishara ya kukusanya virus na kuwarundika sehwm moja kutengeneza uvimbe yaan kama dead cell usaha uchafu virus na nk Hii hutokea kwa wanawake na...
  18. M

    JamiiForums Tanzania UKIMWI na magonjwa mengine makubwa: Je, kipi hatari zaidi?

    Kumekuwa na mijadala mingi kuhusu hatari za UKIMWI ikilinganishwa na magonjwa mengine makubwa kama figo kushindwa kufanya kazi, kansa, na kisukari. Watu wengine wanadai kuwa UKIMWI si hatari sana ikilinganishwa na magonjwa hayo. Ingawa ni kweli kwamba magonjwa kama figo, kansa, na kisukari...
  19. E

    JamiiForums Tanzania Tukiwa wakweli UKIMWI ni Overrated sana

    Muathirika wa UKIMWI akikubali hali na kufuata masharti tu anaishi miaka mingi sana hata ya maisha ambayo ingebidi aishi .kikubwa kuhakikisha kinga yako iko vizuri iwe kwa dawa -ARV plus lishe ..nk Watu wengi wakufa kwa magonjwa kama Presha ,stroke ,Moyo , Sukari,kansa Ajali na Majanga..nk...
  20. JamiiForums Tanzania SI KWELI Mwanaume mwenye vipele vidogo kwenye kichwa cha uume hawezi kupata UKIMWI na magonjwa ya zinaa

    Nimeona huko walimwengu wakijadili kuhusu vile vipele vinavyozunguka kichwa cha uume, sasa baadhi wanadai kuwa mwanaume mwenye hivyo vipele ana asilimia ndogo sana ya kuambukizwa UKIMWI hasa akiwa na damu group O-, lakini pia mwanaume mwenye navyo hawezi kupata magonjwa ya zinaa. Haya mambo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…