ujumbe

  1. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Bagonza: Jioni hii nimepokea ujumbe huu kutoka kwa Mwana CCM, Nao wanataka Reforms

    KAMA HUYU NI MWANA CCM, wako wana CCM wangapi wa namna hii? Ukurasa wangu hupokea maoni mengi kutoka pande zote za sarafu, CCM, Wapinzani, Wasio na Vyama kama mimi, Maadui zangu na marafiki zangu. Jioni hii nimepokea ujumbe huu kutoka Mwana CCM. Nauleta kama nilivyoupokea na mwisho nitaweka...
  2. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Video: Baada ya Mahakama kusitisha shughuli za chama, Tundu Lissu atoa ujumbe mzito toka gerezani kuhusu NRNE, asema Aluta continua..!

    https://youtu.be/rVoMmXxnrwc?si=3yJq9L7mgZsH9xe8 Asema: 1. MSIOGOPE. Jaji Hamidu Mwanga ni Jaji wa CCM. Aliwekwa ktk kesi hii kwa maslahi ya CCM. Huyu alikuwa mjumbe wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) chini ya uenyekiti wa Jecha Jecha iliyofuta matokeo ya ushindi wa CUF ya Maalim Shariff Hamadi...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Waumini wa Gwajima: Someni ujumbe wa Alberto Msando DC wa Ubungo, muwe makini kesho

    Ameandika kwa lugha ya kilatini na kingereza. Alberto ndie kiongozi wa kamati ya ulinzi na usalama mahal pale yalipo makao makuu ya taasis/kanisa lenu
  4. W

    JamiiForums Tanzania Ukiupata ujumbe huu usiufungue utadukuliwa

    Wadukuaji wamekuja na style mpya ya kusambaza link zao zitakazofanya udukuliwe taarifa zako zote pindi pale utakapobonyeza tu hiyo link..Wanajifanya kwamba wana picha zako halafu anakuambia ubonyeze hiyo link ilo kupata picha hizo, ukibonyeza tu umekwisha...Nakuonya ukipata ujumbe kama huo ufute...
  5. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania UJUMBE WA LEO: Ukitaka Kupata Vitu Haujawahi Kuvipata Inatakiwa Kufanya Vitu Haujawahi Kuvifanya

    Comfort zone is toxic☣️ Comfort zone is a trap🪤
  6. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo aongoza ujumbe wa Tanzania katika mkutano wa waratibu wa utekelezaji wa maazimio ya FOCAC

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), ameongoza ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa Waratibu wa Utekelezaji wa Maazimio ya Jukwaa la Ushirikiano baina ya China na Afrika (FOCAC), unaofanyika tarehe 11-12 Juni 2025 jijini Changsha...
  7. Ryan Holiday

    JamiiForums Tanzania Huu ndio ujumbe wa Wakili wa Kimataifa bwana Robert Amsterdam kwa Serikali ya CCM

    TANZANIA: DEMOKRASIA INAANGUSHWA KIMYA KIMYA "Huko Tanzania, jukwaa linaandaliwa. Sauti za upinzani zimezimwa, mikutano imepigwa marufuku, viongozi wamefungwa. Kadri uchaguzi wa mwaka 2025 unavyokaribia, kinachoandaliwa si uchaguzi—bali ni maigizo, na ni mwigizaji mmoja tu anayeruhusiwa...
  8. Cannabis

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kibango cha "No reforms No election" chatua Club ya Small Planet, wamiliki wakikana

    Baada ya video iliyoonyesha bango mjongeo lilikokuwa na ujumbe wa no reforms no elections, uongozi wa Bar ya Small Planet iliyopo Sinza waibuka na kulaani vikali tukio hilo ukisema hawahusiki na kilichotokea. --- Uongozi wa kampuni ya SMALL PLANET ENTERPRISES LIMITED ambayo ni miliki wa bar ya...
  9. kizeze

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa leo

    Akirudi Tutamsema.....
  10. P

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wangu kuhusu amani

    Mimi ni mwalimu, juzi kati nikiwa nafundisha kuhusu topic ya Promoting Peace” wanafunzi walikuwa na maswali mengi sana. Maswali yao yalikuwa ya kutaka kujua 1. kwa nini kuna nchi zipo vitani 2. kwa nini vita hutokea 3. Na ni namna gani vita uanza Mfumo wa ufundishaji wangu ni wa kuwafanya...
  11. LAZIMA NISEME

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, amekutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe kutoka Benki ya Dunia

    Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, amekutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe kutoka Benki ya Dunia kuhusu ushirikiano wa kimaendeleo kati ya Tanzania na Benki hiyo, kikao ambacho kilifanyika katika Ofisi za Wizara ya Fedha, Treasury Square, jijini Dodoma. Katika kikao...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Farid Hadi asema "Bila Shaka Sheikh Jabir amedhulumiwa kifo chake ni funzo kwetu tuzingatie sana", atuma ujumbe kwa Rais

    Chanzo: Zanzibar Today Sheikh Jabir Haidar Pia Soma ~ Sheikh Jabir Haidar akutwa amefariki Bumbwisudi, chanzo cha Kifo bado kitendawili ~ Utata kifo cha Sheikh Jabir, inasemekana alichukuliwa na watu waliojitambulisha kama polisi. Ukweli ni upi?
  13. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa leo "Jiumbe upya"

    Mambo vipi wana JF. Matumaini yangu wote mko poa, Uzi huu ni kwaajili ya watu wote, lengo ni kutiana moyo,kufarijiana,kusapotiana na kuleta maneno ya hekima, yenye misemo na methali mbalimbali yanayohusu maisha, mahusiano, afya, mapenzi, imani n.k.. Karibuni sana.. 🌟 UJUMBE WA LEO: JIUMBE...
  14. Mbepo yamba

    JamiiForums Tanzania Wapo watakaosalia, na huu ndo ujumbe mioyoni mwao

    Palitokea Rais mmoja mwanamke aliyerithi kiti hiko na akawa mbaya kupita maelezo. Wakosoaji wake aliwaua, akawapoteza na wengine akasimamia wafirwe. Viongozi wa dini akawatesa na wengine wakanusurika kifo. Mshindani wake mkuu alimuweka kwenye njia ya kunyongwa mpaka kufa. Rais yule alikuwa na...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Gwajima ni mjumbe asiye sahihi mwenye ujumbe sahihi

    Huwezi kuwataja matapeli papa ya madhabahuni kama Mwamposa, Tony, GeorDavie, Mwamakula, Kuhani Musa, Malisa, Bagonza, na Suguye bila kumtaja tapeli papa Gwajima. Huyu ni tapeli la madhabahuni na mzinzi mwandamizi linalojipatia hela za wajinga kwa kufanya ufufuo feki. Ikumbukwe alishindwa...
  16. Maleven

    JamiiForums Tanzania Kuwepo na option ya kuweka ujumbe mfupi tunapotuma pesa keenye simu

    Badala ya kutuma pesa na kupiga simu au tuma ujumbe kua pesa ni yanini, tuokoe muda. Unaweka kiasi cha pesa na ujumbe mfupi, mfano :mchango wa harusi kutoka kwa Stive ruso. Au wana jamii mnaonaje hii huduma?
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Tanzania watembelea Bandari ya Oslo nchini Norway

    Bandari chanzo kingine cha Biashara ya Kaboni, hayo yaamelezwa na Ingvar M. Mathisen, Mkurugenzi Mkuu wa Bandari ya Oslo, Norway kwa ujumbe wa Tanzania uliotembelea bandari hiyo hivi karibuni. Ujumbe wa Tanzania ukiongozwa na Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Unafikiri Nape Nnauye amemaanisha nini kwenye ujumbe huu aliouandika?

    Ndugu zangu Watanzania, Sitaki kuandika mengi bali soma Mwenyewe halafu utoe majibu yako. Huu hapa ujumbe wenyewe 👉 Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti. Lucas Hebel Mwashambwa, Mama...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa vitisho ninaotumiwa na Really Pesa, je ni sahihi?

    Nilikopa mkopo kutoka Really pesa na tarehe ya mwisho niliambiwa ni kesho ila wameanza kunitumia ujumbe wa vitisho. Ujumbe huu hapa chini " DHARAU, KIBURI NA KUPUUZIA TARATIBU UNAZOWEKEWA NA KAMPUNI ZITAFANYA UCHUKIE MIKOPO. NA USIPOKUWA MAKINI LEO UTAKOSA HAMU YA KUKOPA TENA. PUUZIA TU...
  20. Metronidazole 400mg

    JamiiForums Tanzania Mo dewji kaamua kuwasiliana moja kwa moja na raisi wa CAF, motsepe kuhusu mechi ya fainali kuchezwa zenji

    President of Tanzanian giants Simba SC Mr Mo Dewji has sent a direct message to CAF President Dr Patrice Motsepe. Mr Mo felt so much disappointed in the decision to send the 2024/25 CAF Confederation Cup final to Zanzibar. He asked CAF President to intervene in this and ensure that the game is...
Back
Top Bottom