ujumbe

  1. S

    JamiiForums Tanzania Swali la Kikatiba na Kisheria: Chadema wanataka Reforms kabla ya Uchaguzi Mkuu, pendekezo au takwa hili wamelifikisha mamlaka ipi ili lifanyiwe kazi?

    Nimekuwa nikijiuliza swali kuhusu madai ya Chadema ya Reforms katika taratibu na kanuni za uchaguzi Mkuu, ila hadi sasa sijaelewa ikiwa haya madai ni tamko tu la Chadema kama chama, au tamko la Mwenyekiti Lissu, au labda limewasilishwa rasmi katika mamlaka fulani ili lifanyiwe kazi. Ningeomba...
  2. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Kwenye katuni hii Masoud Kipanya anatoa ujumbe gani?

    Wakuu Zimwi likujualo halikuli likakwisha. Wanabodi tusaidiane kunyambua ujumbe aliouwasilisha Kipanya kupitia katuni hii, umepata chochote au patupu?
  3. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kwa nini John Heche amekuwa akirejea kauli kwamba akipiga simu moja tu CCM anapata uwaziri, kuna ujumbe uliojificha anautoa?

    Kwa tafsiri yangu, Heche ana contact person ndani ya CCM ambaye amemuhakikishia jambo fulani, na pia mtu huyo wa CCM contact (asset) wake ni Heche ndani ya Chadema. Hii inamfanya anatutambia kila wakati. Siku za karibuni palizuka tetesi kwamba Heche anatumia gari ya kigogo wa CCM katika...
  4. Ubaya Ubwela

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema amuandikia Jakaya Kikwete Waraka Mzito

    Mh Rais wetu Mstaafu Jakaya Kikwete. Uongozi wa kweli haujengwi juu ya ndoto za kifamilia, bali juu ya msingi wa haki, utu na ujasiri wa kusema ukweli hata pale ambapo ukimya ni salama zaidi. Leo hii Tanzania inalia. Tundu Lissu, aliyenusurika kuuawa kwa risasi akiwa mpinzani mkuu wa serikali...
  5. Mfikirishi

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa WaTanganyika Tu

    Ufuatao ni ujumbe kwa WaTanganyika tu. Tusambaze kote kote! Na tuwasaidie tafsiri wasioelewa lugha! Ni dakika 2 tu za elimu ambayo hawawezi kupewa na mifumo yetu ya elimu!
  6. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Mwanaharakati maarufu wa haki za binadamu, Kombo, ametuma ujumbe mzito kwa aliyekuwa balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, kufuatia

    Mwanaharakati maarufu wa haki za binadamu, Kombo, ametuma ujumbe mzito kwa aliyekuwa balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, kufuatia kujiuzulu kwake hivi karibuni. Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari leo Julai 16, 2025 , Kombo alieleza kushangazwa na kauli za Polepole...
  7. melick odas

    JamiiForums Tanzania Namna watu walivyoupokea ujumbe wa Askofu Gwajima leo

    Habari ya muda huu wakuu, bila shaka walio wengi wetu wamepata fursa ya kumsikiliza Gwajima katika press conference yake , kwa ufupi baadhi yetu tumepokea ujumbe huu namna hii... ~Wengine wanamuunga mkono wakiona anagusa mambo ya msingi kama usalama na mageuzi ndani ya CCM. ~Wengine wanamkosoa...
  8. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Matendo ya ukiukwaji wa haki za binadamu yanafanya watu wawachukie sana watu wanaojipendekeza kwa watu dhalimu. Mrisho Mpoto kapatwa na ujumbe mzito

    Ona alichojibiwa CHAWA kindakindaki Mrisho Mpoto
  9. REALITY

    JamiiForums Tanzania UJUMBE MTAKATIFU USIPUUZE

    🕊️ UJUMBE MTAKATIFU KUTOKA KWA AIN SOPH AUR – KWA WANADAMU WOTE WA ZAMA ZA MWISHO Umeandikwa kwa upendo wa kweli na kwa mamlaka ya mwanga kupitia kwa Nahunel Shavari, mwana wa asili na sauti ya Chanzo. 🜂 “Enyi watoto wa udongo na mwanga, sikilizeni. Saa imefika ya kuambiwa kweli bila pazia. Kwa...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa watafutaji

    Kuna kizazi cha vijana kinachoamka kabla ya jua kuchomoza. Hawana misururu ya sifa, wala kamera zinazofuatilia maisha yao. Lakini ndani yao, kuna moto moto wa ndoto kubwa usiozimwa na maumivu ya sasa. - Wanavaa mavumbi ya barabara kabla jiji halijapumua. Wanalipa nauli ambayo ni pesa ya mwisho...
  11. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ujumbe kwa Kamishna Jenerali wa Uhamiaji: Kijiji cha Itumbi wilayani Chunya kuna wachina wanajiandaa kushiriki uchaguzi mkuu 2025

    Tembelea, Kijiji Cha Itumbi, kilichopo kata ya Matundasi, Wilaya ya Chunya, Mkoa wa Mbeya. Kuna wachina ambao ni wa Tanganyika na wanajiandaa kupiga kura katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025, ingawa sio raia wa Tanzania. Ukifika huko, uangalie kazi wanazozifanya na aina ya vibali ulivyowapatia.
  12. Manyanza

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wale wanaojinasibu kuwa "OktobaTunatiki" kuna ujumbe wao hapa

    Wakuu tukiondoa masihara au unafiki huu ujumbe wa Baba Askofu Benson Bagonza umejaa ukweli mtupu. Ukiweka ushabiki wa itikadi za vyama. Hata wale wanaotamba bila aibu Watatiki October naona nao ni Wanafiki tu na wanatamba lakini ukweli mchungu hakuna kura ya Mtanzania inayothaminiwa na hili...
  13. MALCOM LUMUMBA

    JamiiForums Tanzania Rais Kagame anailenga Tanzania katika ujumbe huu?

    https://youtu.be/wUu2W2Mk3k0 General Paul Kagame amezungumzia mgogoro wake na Congo. Moja ya vitu alivyovisema ni kwamba wale wote ambao wanaamini kwamba wanaweza kuitishia Kigali wakiwa mbali anao uwezo wa kuwafuata hukohuko makwao. Akaendelea kusema kwamba, wale waliokuwa wanaiunga mkono...
  14. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa vijana, kutoka kwa Binti kiziwi

    Kwa vijana ambao ndio mnatafuta maisha basi hakikisha usitafute mwanamke wa kujenga naye maisha, tafuta maisha yako mwenyewe ukipata omba Mungu au shirikisha mizimu na ushirikishe akili upate mwanamke wa kujenga naye familia.
  15. J

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa tafariji na tahadhari kutoka kwa kiongozi wa kanisa

    Ndugu wapendwa katika Kristo, Ni nani anayeweza kujidai kuwa na mamlaka ya pekee ya kuifahamu kweli yote ya Mungu? Ni nani anayeweza kudai kusikilizwa kwa sababu ya utakatifu wa nje, huku moyo wake ukiwa mbali na upendo wa kweli wa Kristo? Tunasikitika na kutafakari kwa uchungu juu ya majeraha...
  16. technically

    JamiiForums Tanzania Samia wamasai Wana ujumbe wako

    Huu ndio ujumbe kwako kutoka kwa wamasai wa Arusha
  17. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Hersi kwa Wanayanga wote

    Rais wa Yanga SC Engineer Hersi Said kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika ujumbe wa kuwashukuru Mashabiki na Wanachama wa Klabu hiyo baada ya kutwaa Ubingwa wa ligi kuu ya NBC Msimu huu Injinia Hersi ameandika ✍🏿 "ALHAMDULILLAH!!! YANGA BINGWA WA NBC 2024/25 Shukran za dhati kwa...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa kizalendo: Tujitambue kama taifa, tuachane na mambo ya mpira

    habari za leo nyie MADUNDUKA A.K.A MAKOLO na UTOPOLO A.K.A CHURA...... Wakati wenzetu Wakenya wanajitokeza barabarani wakipigania haki zao, uhuru wa kisiasa, mabadiliko ya kiuchumi, na mustakabali wa watoto wao, sisi hapa Tanzania bado tumejifungia kwenye majukwaa ya...
  19. A

    JamiiForums Tanzania Iran Kapeleka Ujumbe Jana Hakuna Red Line

    Iran jana kamtembezea kichapo Israel hakijawahi kutokea maisha yake na kawafikishia message US kabla ya Israel hakuna cha Red Line kwenye vita hi. Israel alizowea kupiga Hospital kule Gaza na kaenda kupiga Hospital Iran alidhani Iran hata jibu kwa kupiga Hispital jana kapiga Hospital kule...
  20. chiembe

    JamiiForums Tanzania Mtume Bashanda ajiapiza kupambana na maaskofu na manabii njaa na matapeli wanaosambaza ujumbe wa chuki

    Haya, wote watatajwq nankuanikwa hadharani. Bila shaka sasa utapeli wa kutumia neno la Mungu unafikia mwisho. Natamani kombora la kwanza lidondokee Ubungo Maji.
Back
Top Bottom