ujumbe

  1. Kutoka Uganda: Nadhani hii ndiyo njia rahisi ya kufikisha ujumbe kwa walioshika mpini

    Nimesoma mahali wananchi waishio kule Gom's maeneo ya Kivule, Chuo cha Biblia, Air wing, relini kuendelea huko mbele. Lakini hata wale wanaotoka Mbeya au Mwanza kupitia ile njia ya Chunya hata kwingine huko ulipo, hii hapa tumia kufikisha ujumbe. Mkipanda mimea mtavuna chakula. ... au...
  2. D

    Ujumbe muhimu Sana. Soma kwa makini ili uwe philosher kama wao

    Justice okoro, Mchungaji wa dhehebu la pentekoste, Zambia alisema; Mimi nawapenda Wakatoliki kwa kiwango cha kutokujali maneno ya watu wanasema nini juu yao, Unaweza kukosoa kanisa lao, viongozi wao au imani yao, kadiri unavyoweza watakusikiliza hadi umalize, kisha wataenda kanisani Jumapili...
  3. Marekani yatoa 'Ujumbe wa faragha' kwa Iran baada ya shambulizi Yemen

    Biden asema amewasilisha ujumbe wa faragha kwa Iran kuhusu mashambulizi ya Houthi Taarifa kutoka Washington hivi punde zinasema Rais Joe Biden anasema Marekani imewasilisha ujumbe wa faragha kwa Iran kuhusu Wahouthi wanaoungwa mkono na Iran waliohusika katika kuzishambulia meli za kibiashara...
  4. Leo natimiza miaka 5 na mke wangu, siku ya kwanza kutoka date alinipa ujumbe mzuri sana

    wakuu habari za uzima? Mimi na mke wangu niseme watu tunaopenda sana kusoma vitabu, sasahivi tuna mtoto mmoja handsome boy linanipa faraja sana na kunifanya niendelee kupambana. Niseme katika watu wenye wanawake smart mimi ni miongoni mwao, mke wangu tulikutana miaka mitano nyuma. Nadhani wote...
  5. Israel wametuma ujumbe EU kwa Hezbollah kuomba kusitishwa kwa mapigano' Hezbollah wamekataa

    Wanaukumbi. BREAKING: ⚡ 🇪🇺 🇮🇱 Israeli inadai 'kusitishwa kwa mapigano' kupitia EU Josep Borell alikutana na ujumbe wa Hezbollah Mwakilishi wa Umoja wa Ulaya katika mambo ya nje Josep Borell, amekutana na ujumbe kutoka Hezbollah, katika jitihada za mwisho za kudhibiti mvutano kwenye mpaka wa...
  6. Kwa wale wenye MAADUI Wengi au MNAOCHUKIWA sana pokeeni huu Ujumbe wenu Kuntu kabisa.....

    Muwe na Weekend Njema na MAADUI zetu tafadhalini msiache Kutuchukia akina GENTAMYCINE. Kudadadeki.....!!
  7. X

    Ujumbe kwa wanaume wote tulio kwenye mahusiano tunapouanza mwaka 2024

    GENTLEMAN OF 2024 FAHAMU [10] KUKUHUSU. 1. Kumwaga bao wakati unamuandaa mwanamke (foreplay) hata bado haujaingia Ukeni don't take it easy, hilo ni tatizo. 2. Kuwahi kumwaga kila round, angalau kwa round ya kwanza, ila kwa zinazofuata hilo ni tatizo, changamka. 3. Kuwahi kufika kileleni Kila...
  8. Ujumbe kwa DPP juu ya kumfutia Kesi ya Jina Pauline Gekul

    Mosi, hili shauri limefunguliwa chini ya Kifungu 128(2) cha CPA na mshtaki binafsi (private prosecutor), ambapo utaratibu huu sheria inamtaka Hakimu kwanza AJIRIDHISHE kuna ushahidi wa kutosha kabla ya kuanzisha mashtaka. Hakimu alifanya hivyo na akakubali kuanzishwa kwa mashtaka kwa sababu...
  9. Ujumbe fikirishi: Usigeuke nyuma utakuwa jiwe la chumvi

    Halo marafiki poleni na urefu wa mwaka uliofikia ukingoni Tuende kwenye mada fupi sana lakini utapata lolote litakalo kusaidia maishani mwako baadae Usigeuke nyuma utakuwa jiwe la chumvi sio ujembe wa kwanza kuusikia masikioni mwako ktk kisa cha maangamizi ya sodoma na gomora wakati lutu...
  10. R

    Muungano wetu: Ujumbe huu kwenye bango la Timu ya Taifa Zanzibar unamaanisha nini?

    Timu ya Taifa ya Zanzibar maarufu kwa jina la Zanzibar Heroes imebeba bango lenye logo ya CAF likiwa na ujumbe huu; "Zanzibar should be restored as the 55th member state. Its time now to take us seriously" ~ "Zanzibar inapaswa kurudishwa kama mwanachama wa 55. Ni wakati sasa wa kutuchukua kwa...
  11. R

    Rais, Makamu na Waziri Mkuu wameshiriki misa ya Krismasi katika Manisa gani? Ni upi ujumbe wao kwa Watanzania?

    Nimependa kuona salam za Christmas's za viongozi wa Kitaifa. Ningependa kusikia kauli zao kuhusu upungufu wa maadili, kuongezeka mauaji, kero za huduma ikiwemo upungufu wa umeme. Lakini bado sijaweza kusikia salamu zao rasmi. Au awajashiriki misa ya Christmas's? Au watazungumza nasi jioni...
  12. J

    Hamas wajibu sababu ya kuteka na kuua raia wa kigeni: Inatuma ujumbe taifa haramu la Israel sio salama kuingia

    Kundi la Hamas limejibu kuhusu shutma mbalimbali zinazotolewa kwa kundi hilo kuwa limeua raia wa kigeni ambao hawahusiki na mgogoro wake na Israel Hamas wamejibu tuhuma hizo kwa kusema kuwa raia wa kigeni kuuawa kunatuma ujumbe kwa mataifa mengine kuwa taifa haramu la Israel sio salama na raia...
  13. Rais Ruto huu ni ukweli au mipasho Kwa jirani zako?

    Huku kuwachokoza Wana jumuiya ya Afrika mashariki, “Mmesikia kuhusu safari zangu za kwenda maeneo mbalimbali Nje ya Nchi mara kwa mara. Ninasafiri kwa Mipango, Mimi sio Mtalii” William Ruto
  14. O

    Kama unataka kuoa au kuolewa haraka soma ujumbe huu

    HABARI NJEMA KWA WANAUME NA WANAWAKE WANAIHITAJI MKE AU MME Kama wewe ni manadada unatamani kuolewa lakini hakuna WANAUME walio serious kukutongoza ili wakuoe Sasa tatizo Hilo linatatuliwa Kwa HARAKA sana Kwa kutumia dawa unakuwa umepata mchumba WA uhakika WA kukuoa na SIO kuchezewa Kwa...
  15. Wanamibia wang'aka baada ya watoto wanne wa Rais kujumuishwa kwenye ujumbe wa Serikali kwenye mkutano wa hali ya hewa COP28

    Baadhi ya WaNamibia wamekasirishwa baada ya kujua kwamba watoto wanne wa Rais Hage Geingob walijiunga na ujumbe wa serikali kwenye mkutano wa hali ya hewa wa COP28. Walikuwa miongoni mwa watu sita kutoka familia ya rais iliyoorodheshwa kama sehemu ya ujumbe wa Namibia huko Dubai. Ofisi ya Rais...
  16. D

    Wishing you a blessed Advent Season

    As we begin the Advent season, we think of those brothers and sisters confronted with war and violence. We prepared a report for you focusing on the situation of the small Christian minority living in the Holy Land. In addition, watch Pope Francis' moving meeting with Israeli and Palestinian...
  17. Vijana mliozaliwa Miaka ya 90 naomba mpite hapa Kuna ujumbe wenu

    Habari zenu Sio Kwa ubaya ila napenda kuwaomba vijana wa Miaka ya tisini muondoke hapa duniani maana tumewachoka. Kila jambo baya nyinyi ndo wakwanza kulifanya Hiki kizazi kimekithili umalaya na kimedhamiria haswaaa kueneza umalaya duniani kote..nyinyi vijana tunaomba mtupishe duniani sio...
  18. M

    Ujumbe wangu kwa wanasiasa wote waislam

    Naomba niwapa darasa kidogo waumini wenzangu wanaisiasa. Hatujakatazwa kushiriki ktk siasa wala kuwatumikia wananchi kwa njia ya kisiasa. Siasa ni moja ya kazi binaadam inampatia rizik zake. 1. Watoto kuwapa elimu ya shule na elimu ya dini. Wengi wenu tunawapa watoto elimu ya shule na kuwaacha...
  19. Ujumbe Maalumu Wa Mwalimu

  20. Polisi Michael Rasha Atoa ujumbe kwa IGP Wambura. Rais Samia ampe Ukuu wa Wilaya

    Kumbe sio kila Polisi ana roho mbaya wala katili. Wapo Polisi baadhi wema. Yupo Rasha mmoja kwa Polisi 1,000. Sema watu kama hawa wanakomolewa kwa kupelekwa Vijiji vya ndani ili wasionekane kitaifa. Rasha alitakiwa ahudumie japo Wilaya nzima sio kata tu. Wanaotenda mema bila kujali mapito...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…