Ndugu zangu Watanzania,
Sina maneno mengi,lakini nilitaka tu utoe mawazo na mtizamo wako juu ya ujumbe aliotaka kutoa muandishi wa katuni hii.
Ambayo inamuonyesha Mheshimiwa Luhaga Mpina amebebwa mgongoni.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa...
Kwa wale wapenda nyimbo za wana harakati Roma mkatoliki katupa album kalii sana kuanzia track number 1 hadi 15 zote ni nzuri sana roma mkatoliki pokea maua yako je ipi ni track ipi umeipenda zaidi? Mimi yangu ni track number 11 derby paka na panya
"Siyo sawa, aliyemkubwa na amfanye mdogo pia apate furaha kazini," Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko akizungumza katika Mkutano wa Kumi na Moja wa Kitaaluma wa Makatibu Mahsusi Tanzania uliofanyika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.
Kwa atakayewapigia anifikishie huu ujumbe wangu muhimu Kwao kwani nawasikia tokea wameanza Kipindi chao leo ( ambacho huwa kinaanza Saa 3 Asubuhi hadi Saa 6 Mchana ) ni kama vile ama Wametendwa na Wapenzi wao au wana Hasira ( Usununu ) na Sisi Wanaume kuwa tunawapa Mimba Wanawake na Kukimbia...
Vyama vya kisiasa na wanasia, hasa katika nyakati za uchaguzi huibua na kuibuka na catchphrases, slogan au kauli mbiu za kusisimua wanainchi, kuwatambulisha au kuelezea hisia, uelekeo au shauku za uongozi wao na vyama vyao, endapo watapewa ridhaa kuongoza na wanainchi.
vyama na wanasiasa...
Napenda kuwa karibisha katika uzi wa misemo mbalimbali ya kifalsafa. Hili kuweza kuimprove our critical thinking skills, knowledge of logic, to unlock the gate of Wisdom(Hekima) na kuwa sehemu ya upendo kwa binadamu wenzetu.
Language Prerequisites:- Only Swahili and English Quotes
Note: Karibu...
Salaam nyingi za upendo kwenu.
Wazazi na Walezi, tunapoelekea kwenye siku ya familia duniani tarehe 15 Mei, 2024, tafadhali tuanze ukurasa mpya wa kuwa karibu zaidi na watoto wetu. Zawadi iliyo bora zaidi kwa mtoto wako kwenye nyakati za Dunia ya leo, ni kuwa karibu naye, tena karibu zaidi...
Kutoka Chadema Hq.
Ameandika Tundu Lissu.
Wajumbe wa Kamati Kuu salaam. Nimepokea barua hiyo kutoka viongozi wetu wa Njombe. Barua yenyewe inajieleza na mnaweza kuisoma na kuielewa wote. Pamoja na kwamba haijatumwa kwa wajumbe wote wa Kamati Kuu, sidhani kama ni sawa sawa kwangu kuikalia kimya...
Kwa mara ya kwanza tangu kuundwa kwa Taifa la Israel mnamo 1948, serikali ya Marekani ambayo imekuwa mshirika mkuu wa siasa na harakati za Israel pale Mashariki ya Kati, imeeleza kusudio lake la kuweka vikwazo kwa kikosi maalumu cha Jeshi la IDF kilichofanya oparesheni zake upande wa ukingo wa...
Chama umepewa, kusimamia serikali na Ilani ya chama.
Ila kuna sehemu unakwama.
Jambo utakaloliweza ni kukutuliza chama/kupunguza kasi ya vuguvugu chamani. Ila huku kitaa unapwaya. Wanao kuja kwenye mikutano yako ni viongozi wa CCM wa wanafunzi wanaolipwa posho. Mwananchi wa kawaida hawaoni...
Ndugu zangu Watanzania,
Kilichopatikana kwa Maombi hulindwa kwa Maombi na kilichopatikana kwa uchawi na makafara hulindwa kwa uchawi na makafara yakiambatana na matambiko yasiyo kwisha. Kwa kuwa Mwamba Mwenyewe Makonda amekuwa akipata vyeo na nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya serikali na...
“Unaweza kuanzisha fitna au kuumiza watu kwa siri na ukaona umefanikiwa. Maana hakuna anayekujua. Fitna hiyo fahamu itakuwa, itasambaa na itakomaa. Ikishakomaa huwa na tabia ya kurudi ilipoanzia na inaumiza kama vile wakati unaianzisha kwa lengo la kuwaumiza wenzio ukajisahau kama itarudi...
Watumishi wa umma Kwa umoja wenu ninawasalimu na kuwaomba msome ujumbe huu,wenye kilio cha Afisa utumishi Halmashauri ya Mwanga.
Mh Waziri uliyeaminiwa na Mh Rais Samia suluhu Hassani, tunakuomba , ufahamu, kumtambua na kumuondoa huyu kaimu Afisa utumishi wa hiyo Halmashauri.
Suala la haki...
Nimewaza sana uhuni uliofanyika South Africa je mashabiki hatuwezi fanya mandamano ili dunia ya soka ikajua uhuni tuliofanyiwa yani kwa idadi ile ya parade ya ubigwa tunavyokuwa wengi sasa hii iwe ya kupinga maamuzi ya refa South na mabango yetu kabisa uliwengu wa soka ujue ili next time uhuni...
Watu wengi hawafahamu kwamba "Bila Ofisi ya Papa Francisco, makanisa yangekuwa mengi mno duniani yenye mafundisho potofu kwasababu kungekuwa hakuna kanisa Katoliki ambalo ni moja, Takatifu, Katoliki na la mitume; ulimwenguni kote.
Hebu fikiria kama kungekuwa hakuna kanisa Katoliki Tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.