ujinga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba tuache kuwajaza ujinga wachezaji wetu

    Hii tabia imekuwepo muda mrefu sana, kuna kipindi Mkude alikuwa akisifiwa sana wakati yeye alikuwa chanzo cha makosa mengi, walimsifia mpaka viongozi wakawa wanaogopa kumwacha kwa kuwaogopa mashabiki. Baadae akaja Shabalala pamoja na magoli mengi yalikuwa yanatokea kwake bado mashabiki...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kwa ujinga unaoendelea, sitashangaa kusikia Heche kakamatwa na kushitakiwa kwa makosa ya ugaidi

    Hapa ndio tulipofika kama Taifa kwahiyo sitashangaa hilo au la kufanana na hilo likitokea. Naamini Heche atakuwa amepenyezewa taarifa na watu waliko serikalini au kwenye vyo vya ulinzi na usalama na hii itakuwa ni ishira ya mgawanyiko baina yao Mjengoni wanafanya maigizo tu na sishangai...
  3. JamiiForums Tanzania Kuna mikoa inawaza ushirikina tu eti kupotolewa na nyeti huu ujinga hauwezi kusikia mikoa ya pwani au yenye waislamu wengi.

    Kuna mikoa inawaza ushirikina na imani potofu tu kuna mikoa ni ya ajabu sana yaani watu wake ni makatili na wamekosa elimu na mijitu inayowaza imani potofu eti kuibiwa nyeti huu ni ujinga wa kiwango cha lami fuatilia mikoa yote ambaye wameripoti huu ujinga wa kupotelewa na nyeti ni mikoa ambayo...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Nachoka Mimi; ujinga wa kishirikina umeenea lakini wasomi wa 'piechi di' wapo na serikali ya Samia tu.

    Na kale kambaumbau kao kule duniani kako bize na 'vimbavu' vyake eti "hizo ni drama tu kupotezea kupanda mafuta". Hivi wapi hakujapanda mafuta?!!!! Nyambaaaf
  5. JamiiForums Tanzania Kuacha kazi kwa ajili ya ndoto zako ni ujasiri au ujinga !

    Kuacha kazi kwa ajili ya ndoto zako ni ujasiri au ujinga !
  6. JamiiForums Tanzania TANZIA Seleman Said Bungara (Bwege) afariki dunia

    Aliewahi kuwa mbunge wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania jimbo la kilwa kupitia CUF ndugu seleman said bungala amefariki dunia leo akiwa hospital ambako alikuwa akipatiwa matibabu. 18 November 1961 - 30 Machi 2026 Pia soma Suleiman Bungara (BWEGE) Mbunge wa Kilwa Kusini: "Kwaheri...
  7. JamiiForums Tanzania Kununua ardhi halafu huna pesa ya kujenga ni ujinga, Bora hiyo hela ufanyie biashara

    Kuna jamaa alikua ana milion 5 zake akakimbilia kununua kiwanja mwaka jana halafu hela ya kujenga hana Sasa hivi anateseka Hivi Hawa watu wana akili timamu acheni ujinga fanyeni biashara ardhi ni hasara Kwa mtu unaejitafuta huyu jamaa sa sa hivi kachoka njaa imemjaa hela zake katupa ardhini
  8. JamiiForums Tanzania Kuhusu cheo cha Mufti na Ayatollah

    Wakuu hivi cheo alicho kuwa nacho ayatollah yule jamaa aliepigwa bomu ndo sawa na cheo cha mufti wetu hapa Tanzania? Asante
  9. S

    JamiiForums Tanzania Mfumuko wa vijana wenye Elimu Ndogo Pesa Nyingi Tanzania ni mkubwa sana; wanaongea ujinga na kuweka mbele kujionyesha na kujisifia mafanikio yao

    Tanzania hivi sasa tunakabiliwa kwa kiwango kikubwa sana cha vijana tunaowaita Elimu Ndogo Pesa Nyingi (Tuwaite EP kwa kifupi - Elimu Pesa), ambao utawatambua katika namna ya maongezi yao, kutamba kwao na kujionyesha kwao. Hata humu JF wapo wengi tu. Utaongea nae dakika tatu tu na kujua kwamba...
  10. JamiiForums Tanzania Eti Mwiguli Nchemba karudisha Tabasamu Monduli. Nani aliliondoa? Ujinga Mtupu😏😏

    Mwigulu Nchemba na Samia Suluhu ni genge moja lilishiriki Mauaji ya 29.10.2025 Nchi Tanzania.. Wananchi walliokuwa wanapinga Uchaguzi kkuyokuwa huru, walliuawa kama Nzi. Hadi Dunia ikashituka. Leo Mwigulu anadai eti amerudisha tabasamu kwa Wananchi.. Nadhani tunataka kujua ilipo miili ya...
  11. JamiiForums Tanzania Kobazi Wanashangiliaga Ujinga, Palestina alipoteza Iran nae Kapoteza

    Moja ya vitu vinavyoniuzi ni kuona wavaa Kobazi wakiwa wanashangilia pale vita vinapoanza. Mfano Palestina alipoanza kufanya mashambulizi pale Israel. Wavaa kobazi walianza vifijo na ndelemo, wakisema Israel lazima apotee. Mambo yakageuka Israel ikaanza kugawa dozi haswa. Wavaa kobazi wakaanza...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa Dini zote tulizoletewa; Hakuna dhambi wala Karma kumtenda ubaya mtu asiye jamii yako, ndugu yako. Waafrika tuache kuamini kwenye ujinga

    KWA MUJIBU WA DINI ZOTE TULIZOLETEWA; HAKUNA DHAMBI WALA KARMA KUMTENDA UBAYA MTU ASIYEJAMII YAKO, NDUGU YAKO. WAAFRIKA TUACHE KUAMINI KWENYE UJINGA. Anaandika, Robert Heriel Yule Kuhani Katika Hekalu Jeusi. Mtibeli. 1. Leo nitafundisha self awareness. Ili watu waache kujidanganya. 2...
  13. JamiiForums Tanzania POTOSHI Gazeti la mwananchi lilichapisha kuwa Watazania wanaongoza kwa ujinga Afrika

    Kwa siku za hivi karibuni kumwepo na jalada la kipande cha gazeti la mwananchi ambacho kinasomeka kuwa watazania wanaongoza kwa ujinga afrika Ufuatiliji unaonesha kuwa Kichwa hicho cha Habari ni potofu hakina ukweli wowote na kinalenga kupotosha umma dhidi ya watanzania Pia ufutailiaji zaidi...
  14. JamiiForums Tanzania CHADEMA inatumia mifano hovyo inawadanganya wafuasi wake kuwa Samia atahukumiwa ICC ,hii mifano ya kuondoa ujinga huo

    Hawa ndio viongozi wa Afrika waliowahi kushtakiwa na International Criminal court bila la maana kutokea au kutokamatwa kabisa 🇰🇪 Kenya (Kesi za 2007–2008 Post-Election Violence) 1️⃣ William Ruto Wakati huo alikuwa Waziri; sasa ni Rais wa Kenya. Alishtakiwa ICC mwaka 2011. Kesi ilifutwa 2016 kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Unakuta mbaba mtu mzima naye anakaa heti mama mama mama msituletee ujinga na umama kwenye vitu msingi

    Unakuta mbaba mtu mzima naye anakaa heti mama mama mama msituletee ujinga na umama kwenye vitu msingi. Ulekeo wa umama mnaofanya hauna msingi wowote bali ni ujinga na upumbavu mbona mlikuwa amumuiti mama akiwa makamu wa rais. Kwahiyo mnampenda samia kweli au mnataka vyeo na rushwa ? ukiona mtu...
  16. JamiiForums Tanzania Ni nani yuko nyuma ya huu ujinga!?

    Shirika la Haki za binadamu Duniani la Amnesty International imeikana barua iliyodaiwa kuwa yao iliyokwenda kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), iliyokuwa ikilaani na kukemea kuhusu baadhi ya wanachama wao walioingia nchini Kenya, kujitambulisha kama wakimbizi wa kisiasa na baadae...
  17. W

    JamiiForums Tanzania Ujinga wanaofanya watu wa parking za mjini

    Huwa kuna sehemu maeneo ya Mnazi mmoja kuna kama chuo kidogo huwa naenda , darasa ni kwa saa moja Huwa mara chache naenda na gari, ila Kuna kitu hakipo sawa, yaani haiwezekani nipaki kwa saa halafu bili ije 5000 Hicho chuo kipo kama gorofani, juzi wakati nashuka nakuta mtu wa parking yupo na...
  18. JamiiForums Tanzania Inakuwaje kwa chombo Cha habari kinachojiita super brand kufanyia ujinga huu

    Huu ni ujinga utoto na uoga kwani kila habari kwa sasa wanakuwa wanajua kabisa mapokeo yatakuwaje. Ni heri kama wameshalijua hilo
  19. JamiiForums Tanzania Kuwapangia wabunge nini cha kuongea Bungeni (wasifie tu) ni ujinga na upumbavu

    kuwapangia wabunge nini cha kuongea bungeni wasifie tu ni kinyume cha sheria na hakina msingi wowote ni ujinga na upumbavu. Nimesikia wabunge wanapangiwa cha kuongeea bungeni tena huongei mpaka uwe kwenye list kama watoto wa shule ya maingi. suala hili linalivua nguo taifa zima kwa ujumla na...
  20. JamiiForums Tanzania Ujinga: Silaha ya CCM kuwatawala watanzania

    Mtu mjinga siku zote ni mtaji wa mtu mwerevu. Na siku zote watu laghai na waovu huzuia watu wajinga wasierevushwe maana huo ndiyo utakuwa msiba wao. CCM tangu baada uchaguzi wa mwaka 2000, imekuwa ikitumia ujinga wa baadhi ya watanzania kuendelea kubaki madarakani. Hebu ona mjinga anavyomlaumu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…