ujenzi

  1. JamiiForums Tanzania Chato: Serikali kujenga Uwanja wa kisasa wa Michezo

    CHATO STADIUM KUJENGWA HIVI KARIBUNI‬ ‪Waziri Medard Kalemani amesema Serikali ipo mbioni kujenga Uwanja wa mpira wa Chato Stadium ambao amedai utatumika sana katika kuhamasisha Wawekezaji na hasa Watalii wanaotoka nje ya Tanzania --------- Serikali imetangaza kujenga uwanja mkubwa wa mpira...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania imelipa kampuni za China wastani wa $1B kwa mwaka kwa ujenzi pekee

    Kwa maelezo ya Raisi Magufuli mwenyewe Tanzania imelipa kampuzi za China $10B kwa miaka 10 iliyopita! hii ni wastani wa $1B kwa mwaka. Hii inashutusha kwa jinsi tunavyotoa wahandisi kwenye vyuo mpaka sasa bado kazi nyingi zinafanywa na makampuni ya China. Kazi nyingi kama za majengo, visima...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Kuchangia Ujenzi wa madarasa ni maendeleo ya Vitu au Watu?

    Nauliza tu maana hapa Kihesa Iringa kuna watu wanasuasua kuchangia ujenzi wa madarasa kwa madai kuwa hiyo siyo sera ya chama chao. Binafsi nimeshachangia mifuko 10 ya cement. Nawatakia ninyi nyote Dominica yenye baraka. Maendeleo hayana vyama
  4. JamiiForums Tanzania Nimeanza kuichukia CCM rasmi baada ya Serikali kuanza kuwatia ndani ndugu zangu kisa hawana pesa ya kuchangia ujenzi wa shule

    Nimekerwa sana na watendaji wa Serikali huko Shinyanga hususani wilaya ya Kishapu kuanzisha michango mikubwa, ndani ya wiki mbili mkulima analazimishwa kutoa elfu 70. Mheshimiwa Rais hivi ni kweli hii ni agizo lako? Maana wanasema ni maagizo kutoka juu. Kama ndivyo ilivyo, Mimi kuanzia Leo...
  5. JamiiForums Tanzania Nimeanza ujenzi, kaa hapa tujenge pamoja

    Miezi kadhaa nyuma niliomba ushari kuhusu ujenzi. Leo narudi tena kwenu. Wazoefu na wajuzi mnisaidie. Nitatumia tofali za kuchoma na ntajengea tope mpaka lenta ambapo ntamalizia kwa cement (ushauri wa fundi ni kwamba wakati wa upauaji tope halitahimili gonga gonga) Nimeanza na msingi na kesho...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya 300 walio nje ya nchi (diaspora) waungana na kuwekeza kwenye ujenzi wa majengo ya kifahari

    Yaani hii ni zaidi ya akili kubwa, hongereni sana ndugu zetu, tuijenge hii nchi yetu kwa pamoja maana ndio nyumbani kwetu, mkiwa huko mnafanya makubwa sana nyumbani. ======== A group of at least 300 Kenyans currently living in the United States of America has teamed up to embark on a...
  7. JamiiForums Tanzania Tanzania na China zasaini mkataba wa uendelezaji wa ujenzi wa reli ya kisasa SGR kutoka Mwanza - Isaka

    TANZANIA NA CHINA YASAINI MKATABA WA KUJENGA RELI YA KISASA (MWANZA-ISAKA) Serikali ya Tanzania na China vimeingia makubaliano ya kujenga reli ya kisasa ya Kilometa 341 kutoka Mwanza hadi Isaka Hicho ni kipande cha tano, ambapo kipande cha Kwanza ni kutoka Dar mpaka Morogoro, Cha pili ni...
  8. JamiiForums Tanzania Sikubaliani kabisa na utaratibu wa Serikali kuwataka wananchi kuchangia ujenzi wa vyumba vya madarasa ilihali imetumia bilioni 700 kujenga daraja

    Huu ndiyo ukweli wangu. Binafsi naumia sana kuona mipango mhimu kama elimu inafanywa bila utaratibu. Majengo mengi yaliyojengwa na wananchi yapo chini ya kiwango na bado Serikali inaendelea na utaratibu huu wa hovyo. How can we be safe? Pesa za umma zitumike kwenye elimu, afya na ulinzi...
  9. JamiiForums Tanzania Katavi: Watumishi wa Serikali matatani kwa kulipana posho fedha kwa ajili ya ujenzi wa Kituo cha Afya Mnyagala wilayani humo

    Watumishi katika Wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi, wameingia matatani baada ya kudaiwa kulipana posho Sh. milioni 16.177 ambazo ni kati ya Sh. milioni 200 zilizotolewa na Rais John Magufuli kwa ajili ya ujenzi wa Kituo cha Afya Mnyagala wilayani humo. Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Juma Homera...
  10. JamiiForums Tanzania Kishapu michango ya ujenzi wa sekondari ukikosa unapigwa bangiri

    Jamani jamani jamani, msitufanye tuanze kumuelewa sasa mzee wa miga convection featuring na braza Amsterdam kuwa walikuwa sawa. Mkulima sasa hivi anapigania angalau alime ,leo hii unataka atoe elfu 70 ndani ya week mbili na bado anawanafunzi wanahtaji mahitaji ya shule kuanza muhula wa masomo...
  11. U

    JamiiForums Tanzania China yajitosa Ujenzi wa SGR ya Tanzania

    Imeripotiwa na gazeti la Mwananchi la leo, januari 6; Chato. Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya China, Wang Yi anatarajiwa kutua nchini Tanzania kesho Januari 7, ambapo pamoja na mambo mengine atashuhudia utiaji saini mkataba wa ujenzi wa awamu ya tano ya reli ya kisasa (SGR) inayotoka Mwanza...
  12. JamiiForums Tanzania Video: Kenya kuanza ujenzi wa daraja linaloelea baharini kuunganisha Mombasa na Likoni

    Nadhani hii idea inaweza kutumika hata pale ferry kuinganisha Dar na Kigamboni. Picha na video vina maelezo ya kina
  13. JamiiForums Tanzania Maelekezo ya Naibu Waziri wa Afya kwa watendaji alipotembelea mradi wa ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Wilaya ya Songwe

    Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amewataka watendaji wanaosimamia ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Songwe kufanya kazi kwa weledi na kuzingatia taratibu za mawasiliano zilizopo serikalini Amewataka watendaji hao kutoa taarifa za maendeleo ya ujenzi wa mradi huo katika mamlaka...
  14. JamiiForums Tanzania Serikali yaanzisha ujenzi wa vituo vya malezi ya watoto ili kukabiliana na ukatili dhidi yao

    SERIKALI kupitia Wizara ya Afya- Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii kwa kushirikiana na Shirika la Brac Tanzania imeanza kuratibu uanzishwaji wa Vituo vya Malezi kwa watoto wadogo vitakavyomilikiwa na kuendeshwa na Jamii ya eneo husika. Hayo yamesemwa jijini Dar E s Salaam na Mkurugenzi wa Idara ya...
  15. JamiiForums Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefanikiwa - tuchangie ujenzi wa madarasa

    Wanaccm, CHADEMA, CUF, NCCR, act nk Salaam! Hakuna ubishi kwamba jitihada za Serikali inayoongozwa na Dkt John Pombe Magufuli za kuondoa ada shuleni, zimepelekea ufaulu wa watoto wa shule za msingi kuongezeka sana. Sasa tafadhali katika shule za Sekondari ambazo hazina miundombinu ya madarasa...
  16. JamiiForums Tanzania Tukumbushane! Mwongozo wa utoaji wa vibali vya ujenzi na usimamizi wa ujenzi wa majengo kwenye mamlaka za serikali za mitaa

    TAMKO LA WAZIRI WA NCHI NA KATIBU MKUU OFISI YA RAIS -TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA Walengwa wa Mwongozo huu ni Mamlaka za Serikali za Mitaa, Taasisi mbalimbali za Serikali zinazoshughulika na Ujenzi wa majengo, waendelezaji, wawekezaji wa ndani na nje pamoja, wananchi na wadau wengine...
  17. JamiiForums Tanzania Wakuu msaada wenu kuhusu ujenzi, nimekwama kwenye kuchimba choo kuna maji nifanyeje?

    Nimefikia stage ya kuchimba choo lakini maji yako karibu ft 4. Na ni maji mengi , je nisimamishe ujenzi wa choo mpaka kiangazi au kuna njia mbadala? Mbona sasa nakwama kuhamia kwangu jamani? Location: Mwanza Msaada Please.
  18. B

    JamiiForums Tanzania Tujadili kushuka kwa kasi kasi ya Ujenzi wa Miradi ya Maendeleo nchini

    Stand ya Mbezi nasikia haikukamilika Kama ilivyoelekezwa wakati wa kampeni Ujenzi wa shule na vituo vya afya unasuasua Ujenzi huko Dodoma speed si ya kuridhisha Reli ya kisasa nako nasikia speed si kubwa Kama awali Je, watendaji na wasimimizi mnasubiri hadi Rais atembelee hii miradi ndio...
  19. JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Ofisi za Serikali: Nazo tuchangishane!!!

    Wiki iliyopita nilikuwa Dodoma (Dodoma Mjini kabisa). Jioni moja nikachanganya makongoro kwenda kumsabahi rafiki wa muda mrefu mitaa fulani anayoishi, panafahamika kama Iringa Road. Muda wa kutoka, tutoke na jamaa, shemeji akamkumbusha kuhusu tangazo lililotolewa la uwepo wa mkutano wa mtaa...
  20. JamiiForums Tanzania UTU: Ubalozi wa Marekani wasaidia ujenzi wa vyoo vya kisasa kwenye shule za Iringa na Morogoro

    Taarifa inayosambaa inaonyesha kwamba maboresho hayo yamefanyika kwanye shule 25 za Mikoa ya Iringa na Morogoro , ambapo wanafunzi elfu 14 wametajwa kunufaika na mpango huo. Mojawapo ya choo kilivyoonekana kabla ya Maboresho. Hapa chini ni muonekano mpya baada ya Maboresho. Mungu wabariki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…