ujasusi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Tunataka Ujasusi wa kiuchumi uimarishwe Tanzania

    Asalam Aleykum, Niliwahi kusema hapa Jukwaani kwamba nchi yetu ni " A sleeping giant". Hii ni kutokana na kwamba licha ya kuwa na raslimali za kila aina lakini bado Watanzania wengi tunaishi chini ya dola moja! Hii kwa kweli inavunja sana moyo. Binafsi nilishasema na leo narudia tena kwamba...
  2. Urusi yaituhumu idara ya Ujasusi ya Uingereza MI6 kuunda kikundi cha mauaji kutoka Ukraine dhidi ya viongozi wa Afrika wanaoshirikiana na Russia

    Russia imeituhumu idara ya ujasusi wa nje ya Uingereza ya MI6 kuhusika na mpango wa kuunda kundi la wauaji au "Assassination Squad" ambalo kazi yake kuu itakuwa ni kuharibu miundombinu na kufanya mauaji ya viongozi wa nchi za Afrika ambao watakuwa wakishirikiana na Russia kiuchumi na...
  3. E

    Suala la mkataba wa bandari kati ya serikali ya Tanzania na DP World katika jicho la ujasusi

    Habarini wana JF Ebwana Mkataba wa bandari kati ya serikali ya Tanzania na DP WORLD unaendelea kubamba kila siku kwenye vyombo vya habari, mitaani na kwenye mitandao ya kijamii. Mkataba huu umetengeneza makundi mawili: wanaokubaliana nao kwa madai kuwa unafaida kedekede na wale wanaoupinga...
  4. Ujasusi wa kiuchumi na Yeriko Nyerere is real!

    Angalia mfano huu than connect dots, kwa kuangalia kitu kinachoitwa ujasusi wa kiuchumi. 1. Mimi ni Dubai ninataka kucontrol usafirishaji majini kwa Africa, 2. meli nyingi zinazotoka china kuja africa huwa zinapitia bandari yangu, 3. kuna uwezekano meli nyingi toka china zikapita bila...
  5. Unlocking Business Potential through Artificial Intelligence: A Comprehensive Guide-Kufungua Uwezo wa Biashara kupitia Ujasusi Bandia: Mwongozo Kamili

    Habari za Muda huu wakuu, Wengi wameandika kuhusu AI, ila na mimi ningependa kutia neno kidogo lakini katika angle ya baishara, kama title inavosema "Unlocking Business Potential through Artificial Intelligence: A Comprehensive Guide, kwa tafsi isiyo rasmi sana "Kufungua Uwezo wa Biashara...
  6. B

    Nasubiri Uchambuzi wa Yericko Nyerere Sakata la Kariakoo na Ujasusi wa Kiuchumi (Biashara)

    Ndugu zangu tusipige tu kelele kama watu wasiokuwa na mwelekeo bali tulitazame sakata la Wafanya biashara wa kariakoo kwa Angle kubwa ikiwemo athari za Kiuchumi, kisiasa na kiusalama ktk Nchi. Natamani kusikia yule mtaalam wa uchambuzi wa siasa za kiintelijensia ya uchumi (financial matters)...
  7. Je, unajua ndani ya idara za usalama na ujasusi kote duniani kuna idara ya kumdhibiti kiongozi wa nchi?

    Idara zote za usalama wa nchi kuna idara ya ndani ambayo jukumu lake kuu ni kumdhibiti sponsor. Kwa maslahi ya nchi. Idara hii ni ndogo na ya hatari mno na wote waliomo ni unnyonimous hata kwa wao wenyewe! Jukumu lao ni la hatari pia kwasababu kunapotokea ulazima wa kumu eliminate sponsor...
  8. Msaada: Mwenye vitabu vitakavyosaidia kutanua uelewa wa vita, ujasusi na maswala yanayohusu intelijensia.

    Habari wana jamii forum! Kama title inayojieleza hapo juu, Mwenye vitabu vitakavyosaidia kutanua uelewa wa masuala ya mbinu za vita, ujasusi pamoja na masuala ya intelijensia atupie humu tafadhali. Ninataka kufanya research & analysing ya hayo maswala sasa kabla sijaanza nahitaji kutanua uelewa...
  9. Ujasusi wa Kifamilia: Stadi za kazi (Maisha) kwa Watoto

    UJASUSI WA KIFAMILIA; STADI ZA KAZI(MAISHA) KWA WATOTO Anaandika, Robert Heriel Jasusi Wapi tulipotoka, wapi tupo, na wapi tuendako? Tulikuwa wangapi, tupo wangapi, na tunatarajia tuwe wangapi? Tulikuwa na nini, tunanini na tunahitaji kuwa na nini hapo baadaye? Tulifanya nini, tunafanya nini...
  10. Sekta ya utalii inatoa mianya ya kufanya na kufanyiwa ujasusi. Tuzibe mianya hiyo sasa na tuitumie sekta hii kwa manufaa ya taifa

    Usalama wa taifa ni muhimu kwa maendeleo ya taifa lolote duniani, Hii inajumuisha usalama wa ndani ya nchi na nje ya nchi ambapo wote kwa Pamoja unajumuisha ujasusi wa kiuchumi, Kisiasa na kijamii. Nchi isipokuwa salama matokeo yake huonekana moja kwa moja kwa raia wake hivyo suala la usalama wa...
  11. Lema ana ushirika na shirika la ujasusi la Kenya? George Wajackoya ni jasusi nguli la Kenya, ndilo lilimtorosha Tanzania

    George Wajackoya ni Jasusi ambalo limeajiriwa na shirika la ujasusi la Kenya, Kuna msemo kwamba jasusi hastaafu. Jasusi huyu ndiye alihusika na "mission" nzima ya kumtorosha Lema Tanzania, akamuweka Nairobi katika makazi ya Siri, na sasa ameingia Tanzania kumpokea. Lema ni agent wa shirika la...
  12. M

    Rais Samia unda Kikosi Maalum cha Ujasusi ili kukupa Ukweli wa hiki ninachokisikia na kinachosikika

    Kuwa Siku hizi ili upate Uteuzi Serikalini au katika Taasisi au Mashirika za / ya Serikali mpaka Ubalozini na kupata Ziara za kwenda nje unatakiwa Kuandaa kati ya Shilingi Milioni Mbili hadi Milioni Saba na wakati mwingine hata Milioni 10 na Milioni za Kitanzania. Na Mheshimiwa Rais Samia...
  13. Mwasisi wa TANU, Shushushu anayetajwa kufanya kazi na mashirika 8 ya Kijasusi duniani

    Nina ombi kwa Mzee wetu Mohamed Said utusaidie kuiweka sawa hasa maeneo yanayo husu TAA na TANU Mwandishi naona kama ana pishana sana na machapisho mengi uliyoyachapisha Kama vuguvugu kutoka kwa bwana sykies nk Kwa heshima yako tafadhari tusaidie na uwasaidie hawa waandishi wetu wanao andika...
  14. IDF Jeshi bora kabisa duniani na MOSSAD idara bora zaidi ya ujasusi duniani!

    Katika medani za kivita IDF ndio jeshi bora zaidi kwa record za kukacover military missions duniani akiwa na washirika wake na katika kitengo cha ujasusi Mossad ndio wanaongoza positive plus katika mission zaidi ya 1000 akiwa na washirika wake!!!Mataifa mengine yanafeli wapi?
  15. Ujasusi wa Kisoka

    Chondechonde viongozi wa Tanzania wakati ndio huu. Wakati nchi nyingi hapa Africa zinastruggle kutafuta kujulikana kisoka hapa nyumbani MWenyezi Mungu ametubariki kwa namna nyingine na ya kipekee, kuna mambo machache ambayo serikali yetu ikiwa makini nchi itafika mbali hata kama hatuna vipaji...
  16. Ujasusi Congo: Majasusi wa Rwanda wakamatwa nchini Congo

    Serikali ya drc imesema kwamba imekamata majasusi wa Rwanda jijini Kinshasa. Ambao walifanikiwa kujipenyeza na kuwa ba mawqsiliano na maofisa wa juu wa jeshi la congo. Majasusi HAO walikuwa wanapanga njama za kuangusha ndege ya rais felix. Serikali ya congo imesema wanao USHAHIDI wa kutosha...
  17. T

    Dunia ya ujasusi: Je, safari ya Zelenskiy Marekani ina siri gani?

    Igweeeeeee kumekucha kumekucha... Ulimwengu wa kijasusi unazidi kushika kasi kama mithili ya radi. Safari ya Rais wa Ukraine ni safari ya kijasusi pia ni safari yenye ujumbe mzito kwa Putin na Washirika wake kuwa Marekani wako tayari kwa vita mpaka tone la mwisho wa dam wakati Putin hatokuwepo...
  18. Ujasusi Kwa mtu binafsi katika shughuli za kila siku

    UJASUSI KWA MTU BINAFSI KATIKA SHUGHULI ZA KILA SIKU. Anaandika, Robert Heriel Jasusi wa kujitegemea. Dondoo • maana ya ujasusi • Ujasusi Kwa mtu Binafsi • manufaa ya ujasusi Kwa mtu binafsi Lengo kuu la andiko • Mwisho wa Andiko msomaji atapata maarifa na ufahamu katika namna ya kupanga...
  19. T

    Je, Ujasusi wa Nchi za Magharibi waweza kuwa moja ya ujasusi wakutisha zaidi ktk Karne ya sasa?

    Igweeee wana Jamii. Naipongeza sana Jamii forum kuwa sehem ya kila mtu wasilisha mawazo na fikra yake pasipo vunja sheria za nchi na kimataifa. Mimi leo nimependa kuchambuwa ujasusi wa Nchi za Magharibi ambao kwa sasa ndio Habari ya mjini. Uwenda unajuwa ama ujuwi ila Kuna jambo lakutisha sana...
  20. Ujasusi ni funguo waliyoipoteza vijana wengi. Sio ajabu wakahangaika

    UJASUSI NI FUNGUO WALIYOIPOTEZA VIJANA WENGI. SIO AJABU WAKAHANGAIKA. Anaandika, Robert Heriel Jasusi Huwezi ukafanikiwa kwenye Jambo lolote bila ya kuwa Jasusi. Never ever! Ujasusi ni maarifa na uwezo wa kutafuta na kukusanya taarifa kisha kuzichakata, kuzichambua na kuziweka katika mafungu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…