Ujasiriamali wa kubadilisha taka zinazozagaa mitaani kuwa fenicha, mapambo na bidhaa mbalimbali

MUSSA MBOGONI

Member
Apr 14, 2019
9
1
Jipatie double ottoman kama hizi katika staili mbalimbali kwa matumizi yako ya kukalia kama vile chumbani,saluni, dressing room na kwa wale wasanii wanaochora kucha za wakina dada kuna base nzuri za kuwekea miguu ya wateja wenu na viti vyake.

Leta oda yako tukutengenezee design yoyote uitakayo, hivi ni vitu vitakavyofanya sehemu yako kuwa na muonekano wa kijanja na wa kisasa zaidi hapa mjini. Materials tunazotumia ni matairi ya gari, mbao, kamba za katani, godoro nk.

Tupo Kinondoni Mkwajuni tupigie 0713026995 tutakufuata ulipo. Usiogope bei ni nafuu sana kwa sababu ya urahisi wa upatikanaji wa materials.

Karibuni sana

OT.png
 
Back
Top Bottom