Uislamu dini ya haki yenye ustaarabu, hekima na busara

Zee la madawa

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2022
Posts
1,878
Reaction score
4,441
Wewe ambao si muislamu fanya hima haraka sana ya kuingia kwenye dini ya kiislamu kwani ndiyo dini itakufanya upate kuiona pepo shime shime ndugu zangu tufanye haraka tuingie kwenye dini hii ya haki,dini ya kweli na dini isiyokuwa na ubabaishaji ili uje kuienjoy maisha baada ya kifo ndugu zangu msije mkasema sijawaambia ndugu zangu mimi nimewafikishia tu ujumbe ndugu zangu.
 
Haki ya kuwalala watoto wa miaka 9? Huu ni ushetani dhahiri
 
Niambie sisi wanawake huko peponi, tuna thawabu Gani zaidi ya kutufanya vyombo vyenu vya umalaya?
 
Wewe ambao si muislamu fanya hima haraka sana ya kuingia kwenye dini ya kiislamu kwani ndiyo dini itakufanya upate kuiona pepo shime shime ndugu zangu tufanye haraka tuingie kwenye dini hii ya haki,dini ya kweli na dini isiyokuwa na ubabaishaji ili uje kuienjoy maisha baada ya kifo ndugu zangu msije mkasema sijawaambia ndugu zangu mimi nimewafikishia tu ujumbe ndugu zangu.
Wewe ushakufa mpaka ukajua maisha baada ya kifo yakoje?

Ni lini utajivua minyororo ya kifikra na kuacha kuwa mtumwa wa waarabu?
 
Imekuwa vizuri alivyoongea tumejua kuwa kelele zetu zinamfikia na kumchukiza hadi kuzitolea ufafanuzi badala ya wagombea wenyewe (mbeleko fc)
 
Kwa nini kwenye nchi za waislamu utulivu hakuna? Na asilimia 99 ya magaidi ni watu wa dini hiyo?
Hizo ni propaganda mlizolishwa na marekani

Gadafi kawakera nini wazungu mpk wamuue?

Ukiona machafuko nchi za kiislamu ujue wazungu ndo waanzilishi wa hyo machafuko chukua mfano wa gadafi tu utaelewa acha chuki pembeni
 
Kweli ni dini ya haki😁😁😁😁
 
Attachments

  • downloadfile-1.png
    downloadfile-1.png
    627.4 KB · Views: 36
Wewe ambao si muislamu fanya hima haraka sana ya kuingia kwenye dini ya kiislamu kwani ndiyo dini itakufanya upate kuiona pepo shime shime ndugu zangu tufanye haraka tuingie kwenye dini hii ya haki,dini ya kweli na dini isiyokuwa na ubabaishaji ili uje kuienjoy maisha baada ya kifo ndugu zangu msije mkasema sijawaambia ndugu zangu mimi nimewafikishia tu ujumbe ndugu zangu.
ni kweli, ni dini ya kistaarabu sana, ndio maana wanachinja wakristo na drunze kule syria, hawapendi kabisa fujo hawa jamaa.
 
Duniani kuna dini kuu mbili

Dini ya haki Vs dini ya Amani

Yani ni sawa na CHADEMA vs CCM
 
Duniani kuna dini kuu mbili

Dini ya haki Vs dini ya Amani

Yani ni sawa na CHADEMA vs CCM
Dini zote ni man made, hakuna dini ambayo ni absolutely perfect, pia Vyama vya siasa, Ideology zao ni kama ilivyo dini/madhehebu , huwezi sema you belong to a perfect political party or religion, while others are on wrong side (non believers), majority of people do not subscribe to any religion or political party, nyie wachache wenye vyama na dini mnasumbua walio wengi.
 
Back
Top Bottom