Mchochezi
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 11,451
- 9,974
Klabu za Leeds Utd na Burnley zimerejea Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) kwa msimu ujao wa 2025/26.
Leeds Utd na Burnley zote zina alama 94 baada ya michezo 44 huku wakibakiza mechi mbili mbili kabla ya ligi ya Championship kufikia ukingoni. Kwa alama hizo hazitoweza kufikiwa na vilabu vya chini yao.
Timu ya tatu kupanda itapatikana kwa play offs ambapo inahusisha timu ya 3 mpaka ya 6 katika msimamo kucheza kwa mtoano ili kupata timu itakayoungana na Leeds na Burnley.
Wakati huo huo, Southampton, Leicester City na Ipswich Town wameshuka daraja katika EPL.