Uingereza inatarajiwa kuwa na Nyuzi Joto 43C, kesho Jumanne Julai 19, 2022 ikiwa ni hali ya joto kali kuwahi kutokea katika historia ya Nchi hiyo.
Mamlaka za hali ya hewa za Uingereza (MET) zimeeleza kuwa leo Jumatatu Julai 18, 2022 hali ya joto inatarajiwa kuwa Nyuzi Joto 40C.
Source...